Hivi ikiwa kapuya atathibitika ni negative wewe mwandishi utajibu mini?
Unajua ukweli unauma,waandishi wengi ni wahuni sana,hivi mpaka wanaandika habari hiyo just kwa habari ya kumsikiliza Huyu binti,hivi niwaulize wangapi mnarhibitisha kuwa kapuya ni muathirika wa ukimwi?hivi kapuya akipimwa ikathibitishwa hajaathirika mwandishi utakua na la kujibu,au mtaendekea kulazimisha siasa zenu za kihuni mnazochafua watu?kwa nini tunajenga taifa la watu wanaotunga kusingizia na kuchafua watu?kwa nini hayuhangaiki kuyakabili mabonde mazuri na misitu kulima na kuzalisha badala yake siasa za kihuni ndo kazi zetu za kutwa?tunashabikia utumbo vijana kwa wazee,tunawezajekushindana katika ulimwengu huu kwa kuwa na kundi kubwa la vijana wanaofikiria siasa chafu na kuzishabikia?
Kama kijana Makini nawashauri vijana wakitanzania tuibane setikali tuzalishe katika kilimo,ufugaji na usindikaji,tuyakabili masoko ya ndani na nje,tuijenge nchi,tuache kushabikia mambo ambayo yanadumaza akili na utashi wetu,Tanzania ni nchi pekee katika Ukanda wa Afrika ya mashariki ambapo kila kijana Amekua politician,
Vijana wengi hatuna makazi bora,tuishinikize serilali tuzalishe na kukopeshwa nyumba,tuna viongozi makini kama skins Mchechu wa NHC tuwstumie kuliko kujipendtkeza kutwa kwa wanasiasa tukidhani tunalikomboa taifa.
Hakuna mijadala ya maana,kutwa kushabikia umbea na uzandiki,Kuna mambo ya Elimu,Ajira,Kilimo na sayansi,lakini vijana wote humu ni upuuzi tuu,wachache watanielewa.
Really? Kapuya find another lawyer you are going to rot for what you have done...maana ushaanza kuingiza siasa afu hiyo number so alimpa mtu? Kwa namna yoyote huyo mtu atakuwa na mahusiano nae ya kindugu au kikazi..na imekuaje unayo tena wakati ushampa mtu?
Huyu si aliwahi kuwa waziri wa elimu?Tamko la Kapuya linachekesha.
Kila baada ya mistari miwili "Heshima yangu niliyojijengea kwa muda mrefu"
Bila shaka heshima anayozungumzia ni hii hapa:
![]()
Really? Kapuya find another lawyer you are going to rot for what you have done...maana ushaanza kuingiza siasa afu hiyo number so alimpa mtu? Kwa namna yoyote huyo mtu atakuwa na mahusiano nae ya kindugu au kikazi..na imekuaje unayo tena wakati ushampa mtu?
utetezi wake huo utamsaidia sana wakili wa mlalamikaji,kama kweli kesi hiyo itakuwa kwenye mikono salama ya hakimu mpenda haki,basi hukumu itatolewa ndani ya dakika mbili tu,ili kumpa mheshimiwa kapuya muda wa kutosha kupumzika gerezani for the rest of her life,sasa yeye anatakiwa aburuzwe kotini kwa kosa la kubaka,hapo hapo anatishia kumburuza kotini Victim wake!! makubwa!! Mlalamikiwa anapogeuka mlalamikaji!! Siku hiyo bila woga ntaingia mahakamani na chibuku yangu ya mbege,na kamkulima kangu huku nikifungulia yondo sister kwa sauti ya juu kabisa,kwa sababu ile hadhi ya mahakama itakuwa imehamia Mwafrika Bar.
Ivi ndo huyu au mwingine ??View attachment 121613
mkuu Masolwa hivi huyu porofesa amesomea nini? yaani uporofu aliupataje kwa kubaka?wakati wote ukimtukuza na kumuita.