labda na tamko lenyewe sio la kwake, amesingiziwa.Hivi kapuya ameona namba aliyoweka kwenye tamko lake?
tanzania daima nalo waandshi wake wanaandikaga kupata umaarufu tu. Zero brain kama bosi wao
Mzee acha kuweweseka Kinana na Kova walisha sema hilo ni lako binafsi.
]Tanzania daima inakufa rasmi kwa kupenda siasa za maji taka. Lazima liburuzwe kotini na kutoa majibu sahihi
Hapo kwenye red naamini ulikusudia LIKAPUYA BAKAJI,otherwise tanzania daima ni kama speaker tu,aliyebakwa ni mtoto, Nb-naona hii thread imewavunja nguvu kabisa buku7 fc, wanaichungulia kwa mbaliiiiii, Ritz tu ndiye ameamua kujilipua na kusema ukweli kuwa kpy ni mbakaji,nadhani Ritz ana chanzo kingine cha mapato tofauti na hizo buku 7 za aibu.
Ukisoma between lines utagundua mzee anajichanganya, katoa tamko lisilo na kichwa wala miguu.
eti hana kesi ya kujibu kwasababu ubakaji na kuambukiza ni swala binafsi..
hahahaha, mkuu huyo ni kiherehere chake, na huyo alifuata hela ya pango, mkuu sura haiuzi mtu, waswahili wa Tanadale na Manzese wanasema hapendwi mtu, pesa mzee, ndo maana Remi Ongala (R.I.P) alioa mzungu, hahahahaha.cc Mkuu zumbemkuu huyu naye alifuata karo? Hebu mwangalie vizuri Kapuya kweli kuna mtoto atathubutu kumkalia uchi? Hao changu wanayataka wenyewe acha yawakute!
Hv hii dunia ya leo ya utandawazi utakuja na sababu nyepesi namna hiyo ueleweke? Mi naona hata mwanasheria wake kashindwa kumshauri vizuri.
kapuya ni mtu wa totoz na machangudoa wengi wanasema anapiga bila jezi kuvaa, pia ni mtu wa kujiachia sana nenda new msasani beach j2 MBELE UCHEZA NA VITOTO kabisa na kuondoka navyo, pili mtoto kapimwa tayali na mwisho wa ni kukili kosa na kuendelea na maisha yake vizuri ( kwani kapuya ana ukwasi, watoto wauza unga baraka na authumani, wake wengi n.k) basi niache bhani naangalia ITV live now
Hapo kwenye RED, kumbe na CCM napo kuna mtafaruku ndani ya chama? Siasa za bongo w have a long way to go....
C:C Chilisosi a.k.a Chris Lukosi, kiwatengu, Mamndenyi, Mungi, Arushaone ZeMarcopolo, Simiyu Yetu,