Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,140
- 28,287
MABINTI watafutwe warushwe live katika ""RADIOS"",ili jamii iwasikilize tuone lipi wanazungumza kwa "KINAGAUBAGA PAMOJA NA VIELELEZO"
Haya ndio madhara na matokeo ya uzushi uongo na utapeli wa kusiasa
Haya ndio madhara na matokeo ya uzushi uongo na utapeli wa kusiasa

Kiukweli kwa ile kauli ya serikali haiwezi kumfanya chochote nilijua Rais Kikwete hatomwacha.
Atamshughulikia kimya kimya.