Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Wanatuona mafala

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ushangae..ndio maana hilo takataka ni useless. Mungu fundi sana.

Hawa viongozi ni Selfish sana wamepewa dhamana ya Uongozi..wamewasha Ndege kwa gharama za walipa kodi wamefuata hiyo wanayosema ni dawa kwa ajili ya Rais na watu wake tu....hii ni Roho mbaya na ya kishetani sana....na Mwenyezi Mungu atawalaani huu ni Ubinafsi wa hali ya juu...

Poleni sana Watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania bhana,kwa nini akili zetu ni kama mataahira?

Yaani mmeshindwa kuelewa nini hapo?Mmeshindwa kutumia mantiki kuelewa kuwa zimekuja kwa ajili ya familia za wateule wachache?

Hayo majaribio wanaogopa zitamdhuru nani wakati wao wanakunywa tena mbele ya camera?

Sisi hatuna kitu zaidi ya Mungu anayetupa uzima hadi muda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitake kupotosha watu kwa kutaka kugeuza maana ya alichomaanisha waziri, acha ajenda za kijinga, ovyo kabisa!
 
Nimemsikiliza Mh Palamagamba Kabudi na wataalamu alio andamana nao kwenda kufata KIKOMBE cha MADAGASCA.

Hakika nimepatwa na mshangao mkubwa hasa pale nilipo sikia kuwa walipanda ndege ya Rais kwenda kufata chupa mbili kwa ajili ya kufanya uchunguzi kama kweli ni dawa au la?

Sasa najiuliza kama umefata Dawa ya majaribio kaa nini kuna picha zinaonesha ukiwa unakunywa kikombe hicho ambacho hakija dhibitishwa wataalam wa kutoka Tanzania?

Unakunysaje sumu ujui uwaziri wako ni nyara ya wananchi? kwa mfano jngekunhwa na ukafa hapo hapo nani angelaumiwa?

Twambieni kuwa mmeleta Dawa kwa ajili YENU TU NA SISI WANANCHI YUENDELEE KUFA tutaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom