Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Yaani ulitarajia waende wizara ya afya kwani umesikia mzigo ni wa wizara ya afya ule?

Mzigo unaenda Chato ule jombaa!!

Yaani Jiwe atoe ndege yake hadi Madagascar kufuata kikombe halafu awape nyie kabla hajahakikisha umeshatosheleza Chato?

Kule kwa wajomba zangu wangekuambia ".. kalaghabao...!"
Negativity brain
 
Kwenye kunywa sample hapo kaniacha hoi. Sasa Kama ina madhara inakuwaje? Mi nadhani ilikuja ikiwa dawa baada ya criticism ikageuka kuwa sample.
 
Mwishoni kwa March 2020 Prof Kabudi alikuwa Paris Ufaransa kwenda kuomba mkono ambao alipata. Aliporudi anapenda kumpa brief boss wake kuwa mkopo umepatikana.

Mwezi wa March maambukizi ya COVID19 ya Ufaransa ndiyo yalikuwa yanachipuka kwa kasi. Kwa hiyo Kabudi alikuja wanaanza kujisikia vibaya, na alipokuwa akakutwa yuko Positive. Akajipeleka Quarantine hadi katikati ya April alipotokea bungeni.

Yawezekana alimuambukiza na Jiwe alipokwenda kumpa brief na ndiyo kisa Jiwe HATAKI KUTOKA Chato alikojificha.

Kwa hiyo Kabudi hajakwenda Madagascar kuchukua hiyo togwa kama Waziri wa Mambo ya Nje bali alikwenda kama Waziri aliyepata mabmbukizi ndiyo maana akanywa openly. Nadhani picha mumeiona.

Just connecting dots
 
Sukuhizi udhibiti wa usalama wa vifaa tiba na dawa unasimamiwa na wanasiasa na sio wataalamu wa afya mzee, usishangae.Sasa dawa haijawa approved na ni sampuli ya majaribio ye unakunywa sijui maana yake nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi Kabudi aliiongoza ujumbe uliofuata dawa nchini Madagascar kwa ndege yetu. Inasemekana zimeletwa maboksi 13 zikiwemo dawa za aina mbili. Hapo hapo tukaonyeshwa akijaribisha kwa kunywa na pale tukaona chupa mbili. Jana ameongea na vyombo vya habari na pia tukaonyeshwa walioshiriki akiwemo Mganga Mkuu wa Serikali...
Yaan unamlaumu Kabudi vile umemuona tu kwenye picha?

Sent using iphone pro max
 
negativity brain
Wewe mwenye positivity brain jibu maswali yafuatayo...

1. WHY Kabudi badala ya Waziri au angalau Katibu Mkuu Wizara ya Afya?
2. Unapima nini wakati aliyeaminiwa na Magufuli kufuata kikombe keshapiga live?! Au aliamua kujisevia mapema manake aliona akizubaa zubaa mzigo wote utaishia Chato?
 
Prof Kabudi aseme ukweli kuwa wamepigwa mikwara na wazungu, hii dawa ilikuwa kwaajili ya matumizi ya watanzania na walichukua cotton za kutosha.

Watu wanashindwa kucheza beat moja na wazungu... Hii dunia ina wenyewe hii
Siku hizi sample ni miksi kwa miboksi... sample za utafiti ja kujaa kisoda hazitoshi
 
Nilisema mimi, amekunywa dawa za mwenye dawa zake akidhani ni Vimto. Ila sasa kama zililetwa kwa ajili ya utafiti ilikuwaje yeye akafungua chupa na kuanza kuinywa hadharani?

Hivi hawa majamaa yameshawaoneni kwamba Watanzania ni maamuma sana au?
Kweli kabisa Mkuu. Angeweka wazi tu kwamba imeletwa kwa kazi maalum kwa watu maalum. Kwani hata ndege iliyokwenda kuchukuwa huko ni ya Rais na siyo ile ya ATCL. Na hata yeye siyo Waziri wa Afya. Tumsubiri Dada yetu wa Wizara ya Afya nae aruke na ndege ya ATCL kutuchukulia mzigo wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom