Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

Prof mzima anaweza taga mayai viza namna hii?

Kauli ngumu wakati una njaa.

Mkuu kua na adabu na heshima usije ukarudia kusema kua pro kabudi ana njaa au watanzania wana njaa, ni kheri kufa na njaa lakin so kukubali kuvuliwa nguo sokoni , hii ni nchi na sio kijiji weka akili hii na kingne 2025 tanzania ni kitu kingne tofauti na unavyozani,

Asantee mungu kwa kutupa dereva mzur anae jua sheria za barabarani maan bamsi kama nyny ndo mnafanya dereva wetu anapungunza mwendo wa kutufikisha kule ss tunapo pataka
 
Safari hii Kalamaganda Kabugi amebugi vibaya sana maana anaenda kuozea jera
Najiuliza ningekuwa Melo Id kama yako nimgehangaika kuikingia kufua isijulikane hadi kwenda mahakamani? Kwa michango kama huu wa kijinga?
 
Mkuu kua na adabu na heshima usije ukarudia kusema kua pro kabudi ana njaa au watanzania wana njaa, ni kheri kufa na njaa lakin so kukubali kuvuliwa nguo sokoni , hii ni nchi na sio kijiji weka akili hii na kingne 2025 tanzania ni kitu kingne tofauti na unavyozani,

Asantee mungu kwa kutupa dereva mzur anae jua sheria za barabarani maan bamsi kama nyny ndo mnafanya dereva wetu anapungunza mwendo wa kutufikisha kule ss tunapo pataka
Mkuu kwanza kuandika unakosea na ni kawaida yenu pro-MATAGA watu msiojua chochote kazi kukubali tu.

mungu badala ya Mungu
kua badala ya kuwa
pro badala ya Prof.
ana njaa badala ya hana njaa

Makosa hayajaisha twende kwenye mantiki. Kwa hiyo kama Prof. Kabudi hana njaa ndio atuharibie status yetu kimataifa? Kisa yeye ana uwezo wa kula kodi zetu wakati tukiwa na maisha magumu kutokana na effects za kauli zake za kejeli.
 
Yaan mpk muda huu najiuliza kuwa huyu kabudi hiyo elimu ya profesa mbona kama haitendei haki mweupe kichwani
Bunge la ulaya linauliza vigezo gani vilitumika kuipatia Tanzania hela wakati wao walisema corona free country nilitegemea majibu yake yangeanzia hapo alichokuja kujibu La Haula yaan kama ingekuwa swali la essay hata mtoto wa form four angejibu vizuri
Sitoaacha kusema elimu sio kuelimika bali ni kupata kazi ili uendeshe maisha yako
Yaan kama maprofesa wenyewe ndio dizaini ya kina Kabudi tumekwisha nina mashaka na uprofesa wake labda tumpe profesa wa jalalani mwenyewe alishasema ametoka jalalani naanza kuamini
Sema wewe umeifanyia nini tz cha maana zaidi? Au talalila za kwenye jamii forum
 
Ni kweli mzee Kabudi kajibu kiwango cha chini kuhusu hoja za wapi zimetumika pesa za msaada wa kupambana na corona ,amejibu kisera za mambo ya nje badara ya matumizi yenyewe kama swali lilivyotaka, ingawa EU wahaja tuuliza sisi tumetumiaje bado wako na maafsa wao wakiwahoji kwa nini tulitupa pesa ilhali tunasema hakuna corona kuwa vigezo gani vilitumika sisi tupewe;

1. Kila nchi haikuwa na pesa za kupambana na corona awali hivyo ilihitaji pesa ya dharura tu ambayo haikuwa imepitishwa kwenye bajeti ya nchi husika inawekana pesa yao ilikuja kurudishia matumizi ya awali ambayo nchi yetu ilikuwa tayari imeshatumia kwenye

a) Kununua vifaa viba kwa ajiri ya matibabu ya awali ya corona hasa kutibu dalili (kumbuka corona haikuwa na dawa wala chanjo)

b) Kuanzisha vituo vya kuwatunzia wagonjwa wa corona maeneo yaliyokuwa yametengwa

c) Kuwa ajiri vijana wa kufanya kazi kwa muda kutoka maeneo mbalimbali nchini hawa walikwenda sambamba na walijitea kupiga dawa mitaani na sehemu mbalimbali zenye mikutaniko ya watu.

d) Kununua dawa za kupulizia maeneo yenye mikutaniko ya watu.

e) Kusafirisha wagonjwa wa corona kutoka maeneo mbalimbali na kuwaweka kwenye maeneo tengefu kwa kutumia magari ,posho za madereva na watumishi ikiwa ni pamoja na mafuta (kumbuka nchi hii ni kubwa )

f) Utoaji wa elimu kwa jamii hasa media zote ilihitajika pesa ya kutosha kufanya jambo hili.

2. Pesa ya watanzania ilitumika kufuata dawa Madagascar kwa ndege maalumu nigharama kubwa sana

3. Kutoa pesa za tafiti mbalimbali kule NIMRI na Muimbili ilihitaji pesa za kutosha

KWA KUWA PESA ZILIZOTUMIKA NI PESA AMBAZO ZAZIKUWA KWENYE BAJETI PESA WALIZOTUPA KAMA MSAADA ZILITUMIKA KUFIDIA HAYA

USSR
Nadhani sasa wameelewa UFIPA ila kwa ninavyo wajua ni SIKIO LA KUFA😂😂😂
 
Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.

Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.

Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
=========

Prof. Kabudi: Nayasema haya kwa sababu kizazi cha sasa wanadhani hii nchi ndogo, sisi ndio nchi pekee hatujawahi kushindwa vita, hakuna mahali majeshi yetu yalipokwenda yakashindwa vita. Si Zimbabwe, Msumbiji, Comoro, Seychelles, si Uganda na hivi karibuni sio DRC Congo.

Nawahamasisha pia na vyombo vyetu vya habari tujue nini cha kuiambia dunia na watanzania, uchaguzi huu katika bara la Afrika umekuwa tulivu, wa amani.

There is nobody in the world has ever conducted a perfect election, give me one country! There is no country in the world which has conducted a perfect election. Perfect election is only conducted in heaven.

Mataifa yote yanafanya uchaguzi ambao ni huru, haki na wawazi na sisi wa utulivu na amani. Lazima tuiambie dunia hivyo na Taifa hili, nimesema na narudia, halijawahi kupigishwa magoti.

Na si jambo la kukumbusha kila wakati, sipendi, haina maana tunataka kufanya hivyo. Tulivunja uhusiano wa kibalozi na Uingereza mwaka 65 mpaka 72 na Mwalimu hakuvunja tu balozi na Uingereza, aliwarudishia msaada wao wote wa paundi milioni 5 na wakati ule zilikuwa nyingi, aliwarudishia.

Sisi leo watu wakisema vikwazo tu, tunaanza tetemeka nini? Hivi mngekuwa wakati wa Mwalimu! Hivi Tanzania ya 65 ni Tanzania ya leo? Lakini aliona kati ya heshima ya Tanzania na kudhalilishwa, aliwaambia waingireza, tumeshindwa kuelewana katika haya, basi. Ingawa tulibaki kuwa wanachama wa commonwealth.

Wajerumani mwaka 64 walipoanza kumpa masharti mwalimu baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ujerumani mashariki iko Zanzibar, Ujerumani Maghiribi iko Tanzania bara, tukawaambia hapana, hamuwezi kuanza kunipa masharti. Suala la kufunga ubalozi wa Ujerumani Mashariki Zanzibar, si la kuamua mimi, tupeni muda.

Walipomletea kejeli alilihutubia Taifa, aliwafukuza wataalam wote wa kijerumani na aliwarudishia hela yao dochmark milioni 35, sisi leo watu wachache tu wakikaa kuzungumza, ooh tutafanya hivi! tayari watu kwenye mitandao.

Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima ya nchi yetu. Kati ya misaada na utu wetu, tutasimamia utu wetu. Hatutakubali kutoheshimiwa na utu wetu kudharauliwa kwa sababu ya misaada na pesa lakini tutashirikiana na mataifa yote duniani ambayo, moja yatatuheshimu sisi ni Taifa huru na yanatuheshimu sisi ni binadamu tulio sawa na wanadamu wengine wote na tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima yale ambayo wanadhani yamepungua kwetu na yale ambayo tunadhani yamepungua kwao, tuko tayari. We are ready for constructive engagement with those that respect we are sovereign state but who also respect that we are equal and as humans we have our dignity on those matters of principal, we will not compromise.

However we are ready to work with all nations in the world who share our values, sovereignity, equality of nation, human dignity and respect of all human kind and we will never, never allow anyone to use aid or assistance to undermine our sovereignity, NEVER.

That did not happen during the time of Mwalimu, it will never happen now and this is why I distributed this booklet to all staff from mwalimu Nyerere.

Kweli kabisa ila zirudisheni fedha za watu ili tubaki na heshima yetu
 
Kabudi ni Prof anaedhani kila mhadhara ni kueleza theory za hustoria. You talking to the world alafu unatumia lugha ya ubabe na iliyokosa diplomasia?

Sishangai maana bado ni mbunge wa viti maalum
Mkuu unaonekana hata ujui unacho ongea kama mpaka Leo unadhani Prof kabudi ni mbunge wa viti maalum basi inaonekana wewe uliondoka kabla ya Mr mzungu
 
Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.

Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.

Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
=========

Prof. Kabudi: Nayasema haya kwa sababu kizazi cha sasa wanadhani hii nchi ndogo, sisi ndio nchi pekee hatujawahi kushindwa vita, hakuna mahali majeshi yetu yalipokwenda yakashindwa vita. Si Zimbabwe, Msumbiji, Comoro, Seychelles, si Uganda na hivi karibuni sio DRC Congo.

Nawahamasisha pia na vyombo vyetu vya habari tujue nini cha kuiambia dunia na watanzania, uchaguzi huu katika bara la Afrika umekuwa tulivu, wa amani.

There is nobody in the world has ever conducted a perfect election, give me one country! There is no country in the world which has conducted a perfect election. Perfect election is only conducted in heaven.

Mataifa yote yanafanya uchaguzi ambao ni huru, haki na wawazi na sisi wa utulivu na amani. Lazima tuiambie dunia hivyo na Taifa hili, nimesema na narudia, halijawahi kupigishwa magoti.

Na si jambo la kukumbusha kila wakati, sipendi, haina maana tunataka kufanya hivyo. Tulivunja uhusiano wa kibalozi na Uingereza mwaka 65 mpaka 72 na Mwalimu hakuvunja tu balozi na Uingereza, aliwarudishia msaada wao wote wa paundi milioni 5 na wakati ule zilikuwa nyingi, aliwarudishia.

Sisi leo watu wakisema vikwazo tu, tunaanza tetemeka nini? Hivi mngekuwa wakati wa Mwalimu! Hivi Tanzania ya 65 ni Tanzania ya leo? Lakini aliona kati ya heshima ya Tanzania na kudhalilishwa, aliwaambia waingireza, tumeshindwa kuelewana katika haya, basi. Ingawa tulibaki kuwa wanachama wa commonwealth.

Wajerumani mwaka 64 walipoanza kumpa masharti mwalimu baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ujerumani mashariki iko Zanzibar, Ujerumani Maghiribi iko Tanzania bara, tukawaambia hapana, hamuwezi kuanza kunipa masharti. Suala la kufunga ubalozi wa Ujerumani Mashariki Zanzibar, si la kuamua mimi, tupeni muda.

Walipomletea kejeli alilihutubia Taifa, aliwafukuza wataalam wote wa kijerumani na aliwarudishia hela yao dochmark milioni 35, sisi leo watu wachache tu wakikaa kuzungumza, ooh tutafanya hivi! tayari watu kwenye mitandao.

Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima ya nchi yetu. Kati ya misaada na utu wetu, tutasimamia utu wetu. Hatutakubali kutoheshimiwa na utu wetu kudharauliwa kwa sababu ya misaada na pesa lakini tutashirikiana na mataifa yote duniani ambayo, moja yatatuheshimu sisi ni Taifa huru na yanatuheshimu sisi ni binadamu tulio sawa na wanadamu wengine wote na tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima yale ambayo wanadhani yamepungua kwetu na yale ambayo tunadhani yamepungua kwao, tuko tayari. We are ready for constructive engagement with those that respect we are sovereign state but who also respect that we are equal and as humans we have our dignity on those matters of principal, we will not compromise.

However we are ready to work with all nations in the world who share our values, sovereignity, equality of nation, human dignity and respect of all human kind and we will never, never allow anyone to use aid or assistance to undermine our sovereignity, NEVER.

That did not happen during the time of Mwalimu, it will never happen now and this is why I distributed this booklet to all staff from mwalimu Nyerere.
Profesa Majalala pumbavu Kabisa, huyu na Bashiru ndo wanamjaza Ujinga Magufuli
 
Heshima gani hiyo? hii hapa ni heshima ya nchi kweli? Ama aibu ya nchi? Ukisiia nchi kuwa mikononi mwa mbwa, ndio hiihapa.

1606070612183.png

1606070652705.png

Back
Top Bottom