Kwani hujaheshimiwa? So ulisaini mkataba wenye masharti ya namna ya kunufaika na misaada! Sasa kama mmekiuka matakwa ya mkataba, mnataka mchekewe?Safi sanaaaaaaaa Prof. Kabudi ni lazima ifikie sehemu watuheshimu na sisi.
TANZANIA IS SOVEREIGN STATE.
Ushaashindwa nyamaza. Maendeleo Hayana chama !!!Utu wa kuua watu na kuiba kura?
Huo UTU basi na ufe kabisa!
Eti UTU....Utu anaosema ni ruksa ya kuua wananchi innocent na kuiba kura!
Jalala
Tatizo la mtu huyu ni kujidai anajua kila kitu! Halafu anazungumza utadhani mwana FRELIMO wa miaka ileee! Ni tatizo kwetu maana tukumbuke huyu ni mtu wa miaka 64 ingawa anaonekana ana miaka zaidi ya 70. Kwa umri wake hastahili kuiharibu future yetu. Yeye kishamaliza muda wake. Serikalini kisha expire!Prof Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
AiseeMuhimu ni kuhakikisha Viongozi wetu wanapata mahitaji yao sisi Wanainchi tutafunga mikanda hata kwa mlo mmoja kwa siku, tutasonga tu hao Wazungu wasitutishe.
Hapo sasa.yaani kwavile yeye anauhakika wa posho ya uwaziri anadhani watz woote ni sawa na yeye
Nendeni mkaishi huko basi, yaani watupangie kila kitu tuwaangalie tuuKwani hujaheshimiwa? So ulisaina Mkataba wenye mashrti ya namna ya kunufaika na misaada!Sasa kama mmekiuka matakwa ya mkataba,mnataka mchekewe?
Nikipata visa na ajira nzuri unadhani nitabaki hapa bongo nafanya nini?Nendeni mkaishi huko basi,yaani watupangie kila kitu tuwaangalie tuu
Wakuheshimu kwa kipi ulichonacho? Mtu mwenyewe huna japo uwezo wa kudhibiti maralia.Safi sanaaaaaaaa Prof. Kabudi ni lazima ifikie sehemu watuheshimu na sisi.
TANZANIA IS SOVEREIGN STATE.
Unataka niwaze kama unavyowaza wewe au?Wakuheshimu kwa kipi ulichonacho? Mtu mwenyewe huna japo uwezo wa kudhibiti maralia.
Shilikisha akili yako kutoa mitazamo yako kwenye hoja shilikishi!
Sasa unadhani wamewaheshimu au wamewaona mapunguwani?Safi sanaaaaaaaa Prof. Kabudi ni lazima ifikie sehemu watuheshimu na sisi.
TANZANIA IS SOVEREIGN STATE.
Akiendelea kukodoa ile mijicho yake atakuja kupata cancer sijui hana washauriKabudi katoa jicho sijapata ona!!
Hiyo ndio maana halisi ya wasomi bado ni watumwa kwa wanasiasa.. Huwezi amini kabisa huyo nae ni professor..Faza kabudi akili zake Anaijua mwenyewe na kumbuka alishawai mwambia magufuli anamshukuru kwa kumtoa jalalani
Hivi akiongea akiwa amerelax kwani hataeleweka!!Sijui kama pooooooh haikutoka nyuma maana ametumia nguvu nyingi mpaka macho yamemtoka