...Hili angalizo lako pia amepewa na mbunge Mwita Waitara kwamba prof umeanza vizuri sana lakini tatizo huko mbele ya safari watakuvurugaAmeongea vizuri ila bahati Mbaya sijui kama ataweza kudumu kwenye utawala wa JPM,inaonyesha ni mtu mwenye msimamo wake na mawazo yake.Sijui kama atasurvive
..mlinganishe Prof.Kabudi na Mzee wa "catalyst".
..uongozi, haswa wa kisiasa, hauhitaji mtu anayewaza kudhalilisha wenzake wakati wote.
..natumaini ustaarabu na utu uzima wa Prof.Kabudi utalisaidia bunge na serikali.
NB.
..pamoja na ustaarabu wa Prof sijapenda alivyofanyia mzaha suala la wanawake kupigwa. Prof akumbuke matamshi yake bungeni yanarekodiwa kwenye hansard.
Yes soma na utanue wigo sio lazima uwe professor pata tu knowledge ya kuweza ku -reason mbivu na mbichi.
Je, ni sahihi kwa nchi kuwa na sheria ambazo zina favour baadhi ya makabila? Iweje kuwe na sheria zenye vifungu vinavyo-favour ukabila halafu Tanzania kusiwe na ukabila?
Kulikuwa na haja gani ya kujipambanua kuwa yeye ni Prof. wa sheria?
'kwa bahati mbaya' ila kwenye Kiswahili hakuna bahati mbaya. Sasa alitamkaje hilo neno kama hakuna kwenye Kiswahili?
Katoa factors za kubadilisha au kutunga sheria na kuziacha nyingine halafu alikuwa amesahau hiyo ya wa Maasai na Mabohola as if wao muda umesimama.
Je, hiyo sheria ya ndoa bado serikali ina negotiate na Wamaasai na Mabohola?
Hatutaki majibu mazuri bungeni blah blah nyingi tunataka action watu wanatekwa kuna ukatili wa haki za binadamu wanaohusika wachukuliwe hatuaMagufuli anatisha sana. Maana ma prof ma dokta aliowateua ndio wanaonyesha huu uwezo
Ndivyo sera mpya ya elimu inavyosema. Au wewe Ni mgeni nchi hii? Mmesema kuanzia chekechea hadi kidato cha nne inaitwa ELIMU MSINGI na Ni ya lazima. Japo sijajua utekelezaji wake utakuwaje lakini ndivyo ilivyo.mlugo bado anaendelea kuonyesha ukilaza wake... eti elimu ya lazima ni chekechea mpaka kidato cha nne!!!
Kweli kabisa. Nimesikiliza kwa bidii nipate hicho kitu cha ziada kilichosifiwa.Mzee...baadhi ya wabongo huwa wanakuwa impressed na vitu vidogo vidogo na vya kawaida mno.
Hapo hujamwona Pasco....si ajabu akakwambia jamaa ni bonge la 'kichwa'...whatever the hell that is...
Ndivyo tulivyo
Swali la msingi hutolewa mapema na waziri hupewa muda wa kuandaa majibu ila maswali ya nyongeza ni ya hapo kwa hapo hivyo mtu majibu huwa hajaandaa majibuKajifundishe bunge linavyofanya kazi
Huna akili ndugu....ungepita udsm faculty of law ungemfahamu...kwa kuwa nyinyi mmesoma maporini bakini kama mlivyo nyambafNjaa kitu kibaya, hatari mno.
Ameongea utani na mipasho ya kutetea serikali.
Kifupi kaulizwa kwa nini sheria zilizopendekezwa zibadilishwe na Tume ya 1980 zipo mpaka leo?
Jibu lake, kasema, kwa anavyojua yeye kama profesa wa sheria, na muelewa wa mambo ya legal anthlopology, ni kwamba sheria zinazohusu mambo ya kimila, kiitikadi, kidini, kijima, hazibadilishwi kwa kukurupuka.
Akaendelea kusema, ndio maana mpaka leo kwao yeye Waziri wanakeketa vitoto vya kike, na pia kwao mbunge muuliza swali, ambae ni Mkurya, wanawake zao hawapendeki bila kupigwa. Kwa hiyo sheria hizi inshallah zitakuja kubadilishwa. Ndio maneno ya waziri hayo.
Hapo kwenye jibu hilo kuna weledi gani wa kusifiwa?
Upeo wa chini hauwezi tambua upeo wa juu kwa sababu peo zinasafiri katika different radiousMbona sioni alichofunika nacho? hata makuti sijaona achilia mbali mabati ya ALAF.
Kwa hiyo wewe na iq yako kwa sasa bombadia ndio kipaumbele cha watanzania walio wengi!! Kama ni hivyo basi sawa tuwasubiri kipindi cha kampeni. Hivi USA ina shirika la ndege la kibiashara la serikali? Naomba kujuzwa tuTatizo lenu hamna original thinking; you can't make it with reactionary strategy of doing politics. You need to be original. Hivi kuna Mtanzania mwenye akili timamu anaweza kubeza uamuzi wa Serikali kuhakikisha nchi inakuwa na shirika imara ndege (national flag bearer). Nyie sijui mmelogwa na nani. Ndege zimenunuliwa kiwandani kwa mtengenezaji ili kuepuka madalali vishoka wapigaji kama ilivyokuwa wakati wa ununuzi wa radar na ndege ya Rais (2003). Kuweni original thinkers ili watu wenye intellect waweze kuwaunga mkono vinginevyo mtaishia kunawa tu, basi.