Prof. Kabudi afunika bungeni

Mwalimu wa Family Law wa muda mrefu chuo kikuu cha DSM
 
Profesa yupi huyu huyu anayelala ofisini?
 
and why mention Sugu... kwa nini usimtaje naibu spika kwamba ndiye anatoa macho

Naibu spika anayajuwa hayo Kwa Kuwa ni daktari wa sheria,sugu yeye hutoa macho na kusubiria kuonesha kidole cha kati.
 
huyu hana maisha marefu ktk hiyo nafasi maana ccm haitaki watu wa aina kama ya kabudi waingie ktk vyombo vya maamuzi.mda utaongea
 
Umemsifia sana lakini naomba nikuulize kwa nini maswali ya nyongeza ya Mh Mulugo amejibu kwa kusoma majibu? Ina maana hata hayo maswali ya nyongeza alishapewa hivyo ni kiini macho
Kwa mfano hayo maswali hata ungepewa na majibu yake ungekuwa mahiri kama Professor kwa mfano!
 
Profesa hatumpimi kwa kuongea au kukariri historia, profesa anapimwa kwa kazi zake zilizoleta msaada kwa jamii na kutatua matatizo hususani kwa taifa kama hili ambalo watu wake bado wanaishi stone age...
 
Mwalimu wa Family Law wa muda mrefu chuo kikuu cha DSM

Kama ni mwalimu wa Family law basi anapaswa kujua kwamba ndoa za utotoni ni mbaya hata kama hazibagui wavulana na wasichana.

Huwezi kutetea ndoa za watoto eti kwa vile sheria inaruhusu hata vivulana vya miaka 14 kuoa. Kwa hiyo ni sawa kwa vile inaumiza hata vivulana?

Hauko tena darasani mbele ya watoto wa chuo , tunategemea Waziri ujenge hoja makini mbele ya Bunge na wananchi.
 
Pole kwa kutumika vibaya,ila ujue ni dhambi kutumika vibaya hasa kwa upotoshaji.
 
Kujibu maswali uliyoyaandaa kujibu si kazi ngumu kama maswali ya papo kwa papo anayoulizwa waziri mkuu majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…