Madhara ya sukari mwilini hayapo kwenye chai tu. Mwili hausemi kuwa hii ni sukari ya kwenye keki pita kulia, hii ni ya kwenye chai pita kushoto. Hata sukari ya kwenye matunda pia sio nzuri especially kwa haya matunda yatokanayo na GMO.
Hiki ni kizazi chenye access to information kwa kiasi kikubwa sana chukua muda wako Google kuhusu fructose na madhara yake halafu uone pia kama unapenda kujisomea vitabu tafuta kitabu kinaitwa the diabetes code, author ni Dr. Jason Fung kimeeleza kwa undani sana kuhusu type 2 diabetes.