Huyu ndo mke wake Lipumba
Nenda pale ofisi ya UNICEF ukaulizie kila mtu anamjua
View attachment 269275
Anae mke anaitwa Georgina Mtenga mzaliwa wa Rombo.
ulivyotaja tu rombo nimekumbuka mbali sana mkuu halafu sasa hivi nacheka tu. mwaka huu watu wa rombo wameweka historia na wameacha rekodi ya kutukuka nchini tanzania.
Kumekuwapo na maneno kuwa eti Lipumba hana mke!.
Naomba mwenye kuweza kutufahamisha, Mke wa Proffessor Lipimba ni nani?
Huyu ni kiongozi wa kitaifa
(PUBLIC FIGURE), and one of the potential candidates for Presidency.
Hivyo kuna umuhimu wa kulijua hili.
masuala mkuu... Sipendi Kujadili Watu, Napenda Kujadili Maswala.
Kumekuwapo na maneno kuwa eti Lipumba hana mke!.
Naomba mwenye kuweza kutufahamisha, Mke wa Proffessor Lipimba ni nani?
Huyu ni kiongozi wa kitaifa
(PUBLIC FIGURE), and one of the potential candidates for Presidency.
Hivyo kuna umuhimu wa kulijua hili.
Huyu ndo mke wake Lipumba
Nenda pale ofisi ya UNICEF ukaulizie kila mtu anamjua
View attachment 269275
sasa kwanini kikwete siku ile anajitambulisha jangwani alimtania lipumba kuwa hana mke hivyo alikuwa anategemea kwenda ikulu bila first lady, akamtania na slaa kuwa alitaka kwenda ikulu na mke wa kuazima.kudadadeki lipumba funiko,nadhani katika wanasiasa wa tanzania lipumba anaongoza kwa mke mzuri
Uislamu hauna tatizo na kuoa mwanamke mkristo.Bruce Lee,
..mwaka 1995 Prof.Lipumba alikuwa anaandamwa na CCM kwa kuvunja ndoa ya mama mmoja wa Kichaga anaitwa Georgina.
..CCM walikwenda mbali zaidi na ku-question Uislamu wa Prof.Lipumba kwasababu ya kuwa involved na mwanamke Mkristo.
..baada ya uchaguzi ule na mpaka leo sijasikia tena kama alikuja kumuoa huyo mama au waliachana.
NB:
..hata Pius Msekwa naye alipoonyesha nia ya kugombea Uraisi naye alitumbukizwa ktk kashfa kwa kulazimika kuthibitisha kwamba ndoa yake na Anna Abdalah ni halali.
Kwenye suala la uongozi wa nchi ni lazima tuwe makini na viongozi wetu. Tuwajue background yao.
Hata ukiomba ajira mahali ni lazima utaulizwa marital status yako!
Mambo mengine yana msingi wake.
Hajiulizi mbona gavana wa benki kuu ya Kenya hana mke?Jamaa eti anaomba CV ya mke wa mtu. Ya nini? Unataka kuangalia kama ana vigezo vya kuwa mke? Kwani kuwa mke ni ajira?
Wake Za Akina PR. Lipumba na Seif Sharifu Hamadi Kitendawili
Jamani wana JF sijawahi kusikia juu ya Mke wa Lipumba na Hamadi au bado wapowapo kwanza, Mwenye data Tufahamishe.
Hivi wameoa hawa maana nataka kuwajua mafirst lady wao
Hakuna mwenye habari ya hawa mafirst Lady wa mabwana hawa?
=======
Mwingine (Oktoba 2012):
=======
Notable responses:
Huyu ndo mke wake Lipumba
Nenda pale ofisi ya UNICEF ukaulizie kila mtu anamjua
View attachment 269275