Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

Mke wa Prof ni mchaga na ni mkristu mkatoliki kwa dini..

Ishu ni kwamba yeye ni Answarisuna na ameoa na anaishi na ------!!!

Unauhakika na unachokisema? Unaweza kutueleza anasali kanisa gani? Unauhakika hakuwahi kumsilimisha? Pengine labda unababaika na jina.Uislam si majina ni imani.Nenda Egypt uone.......Hakuna padre anayeitwa John au Michael, kuna padre Moustapha, padre Tarik, padre Hassan n.k
 
Mke wa Lipumba Mama Georgina Mtenga

Georgina Mtenga.jpg Georgina Mtenga1.jpg
 
Wadau amani kwenu,

Ninafahamu vyema swala la Privacy na personal affairs, lakini ukishakuwa public figure basi wananchi tuna Haki ya kufahamu maisha yako.

Mimi nimevumilia kwa muda mrefu lakini leo nimeona niwaulize wadau maana JF ni jungu kuu.

Huyu baba kusema ukweli tangu nimfahamu sijawahi hata siku moja kumuona na mwanamke wala kuambiwa huyu ni mtoto wa Lipumba.

Hata kwenye viwanja vya watoto wa mjini baba huyu sijawahi kumuona huwa nawaona mawaziri na viongozi waandamizi tu wakijiachia na totoz.

Hivyo basi mwenye taarifa sahihi za baba huyu ni vyema akitujuza maana kwenye Mkasi wa Salama J hawajawahi kumuita.

Hata kwenye maktaba yangu nikiangalia sioni picha yoyote hata akiserebuka na ke bali nyingi anakuwa amewakumbatia wanaume wenzake tu.

Nitafurahi nikipata taarifa kutoka kwa Mzee Mohammed Saidi katika uzi huu.

Haya tiririka.......
 
Kipindi hicho cha miaka ya 2000 mwanzoni nilikua namuona sana kwanza school akija na mkewe alikua na mtoto anasoma hapo... Mimi nilikua namdogo wangu akisoma hapo .. ...yule mwanamke ni chombo haswaaaa
 
Wadau amani kwenu,

Ninafahamu vyema swala la Privacy na personal affairs, lakini ukishakuwa public figure basi wananchi tuna Haki ya kufahamu maisha yako.

Mimi nimevumilia kwa muda mrefu lakini leo nimeona niwaulize wadau maana JF ni jungu kuu.

Huyu baba kusema ukweli tangu nimfahamu sijawahi hata siku moja kumuona na mwanamke wala kuambiwa huyu ni mtoto wa Lipumba.

Hata kwenye viwanja vya watoto wa mjini baba huyu sijawahi kumuona huwa nawaona mawaziri na viongozi waandamizi tu wakijiachia na totoz.

Hivyo basi mwenye taarifa sahihi za baba huyu ni vyema akitujuza maana kwenye Mkasi wa Salama J hawajawahi kumuita.

Hata kwenye maktaba yangu nikiangalia sioni picha yoyote hata akiserebuka na ke bali nyingi anakuwa amewakumbatia wanaume wenzake tu.

Nitafurahi nikipata taarifa kutoka kwa Mzee Mohammed Saidi katika uzi huu.

Haya tiririka.......
Mtoto wa kiume kutaka kujua mambo ya ndani ya mwanaume mwenzako inaleta ukakasi sana... Chakula
 
Back
Top Bottom