Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

Kumekuwapo na maneno kuwa eti Lipumba hana mke!.

Naomba mwenye kuweza kutufahamisha, Mke wa Proffessor Lipimba ni nani?

Huyu ni kiongozi wa kitaifa
(PUBLIC FIGURE), and one of the potential candidates for Presidency.
Hivyo kuna umuhimu wa kulijua hili.


Kuna wakati fulani alishawahi kuulizwa swali hili naye alimjibu muuliza swali jibu kama hili kama ninakumbuka vizuri " Mimi ni mwislam, naruhusiwa kuoa wake wanne, kama una dada yako anayetafuta mme kaniletee..."
 
Awe na mke au asiwe na mke siyo issue...... Mnamwuliza leo kwani Lipumba kaanza kugombea urais leo?


Uwezo wa mtu na ushawishi wake kwa wananchi ndiyo issue, tunaweza kujadili
 
Kumekuwapo na maneno kuwa eti Lipumba hana mke!.

Naomba mwenye kuweza kutufahamisha, Mke wa Proffessor Lipimba ni nani?

Huyu ni kiongozi wa kitaifa
(PUBLIC FIGURE), and one of the potential candidates for Presidency.
Hivyo kuna umuhimu wa kulijua hili.

Khaa!! Nasikia kigezo cha kwanza cha UKAWA kwa mgombea urais lazima awe na mke. nimesikia tu :doh:
 
kudadadeki lipumba funiko,nadhani katika wanasiasa wa tanzania lipumba anaongoza kwa mke mzuri
sasa kwanini kikwete siku ile anajitambulisha jangwani alimtania lipumba kuwa hana mke hivyo alikuwa anategemea kwenda ikulu bila first lady, akamtania na slaa kuwa alitaka kwenda ikulu na mke wa kuazima.

pia yule mbunge wa lindi/mtwara mwenye albinism alipokuwa akichangia bungeni bunge la mwisho hili alisema lipumba anatakiwa kutafutiwa mke yaani wanawake wanakaribishwa kwa lipumba kwani ni msomi mwanauchumi aliyebobea na mbunge mwenyewe ni cuf mwenzie. i hope kweli huyo atakuwa mkewe, kwasababu its so bad kwa mwanaume tena pande la mtu kuishi bila mwanamke, unkuwa unaeleweka vibaya.
 
Bruce Lee,

..mwaka 1995 Prof.Lipumba alikuwa anaandamwa na CCM kwa kuvunja ndoa ya mama mmoja wa Kichaga anaitwa Georgina.

..CCM walikwenda mbali zaidi na ku-question Uislamu wa Prof.Lipumba kwasababu ya kuwa involved na mwanamke Mkristo.

..baada ya uchaguzi ule na mpaka leo sijasikia tena kama alikuja kumuoa huyo mama au waliachana.

NB:

..hata Pius Msekwa naye alipoonyesha nia ya kugombea Uraisi naye alitumbukizwa ktk kashfa kwa kulazimika kuthibitisha kwamba ndoa yake na Anna Abdalah ni halali.
Uislamu hauna tatizo na kuoa mwanamke mkristo.
 
Kwenye suala la uongozi wa nchi ni lazima tuwe makini na viongozi wetu. Tuwajue background yao.

Hata ukiomba ajira mahali ni lazima utaulizwa marital status yako!

Mambo mengine yana msingi wake.

wacha uongo, mbona gavana wa benki kuu ya Kenya hana mke?
 
Lipumba ana mke mi nlimsikia cku akitangaza kuchukua form ila mke wake anafanya kazi kwenye taasis ambayo haruhusiwi kujishughulisha na mambo ya siasa
 
Wake Za Akina PR. Lipumba na Seif Sharifu Hamadi Kitendawili

Jamani wana JF sijawahi kusikia juu ya Mke wa Lipumba na Hamadi au bado wapowapo kwanza, Mwenye data Tufahamishe.

Hivi wameoa hawa maana nataka kuwajua mafirst lady wao

Hakuna mwenye habari ya hawa mafirst Lady wa mabwana hawa?

=======
Mwingine (Oktoba 2012):



=======
Notable responses:

Kweli huna cha kuandika mkuu hapa JF, swali la kizembe kabisa hawa watu wanafamilia kubwa sana maalim ana watoto na mke tokea hajaingia kwenye siasa.
 
Back
Top Bottom