lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,608
- 2,064
Ileteni tuchanganye vyote kikubwa uzima.
Mh Rais Maghufuli anayo Maono ya mbali, ndo maana akasema anafikiria kuruhusu ligi ya soka iendelee.
Analiona Tumaini, Kuomba Mungu, Kufukiza, kuvaa barakoa, kunawa kwa sababuni .
Anaamini suluhisho liko karibu .