omben
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 822
- 480
Una maoni gani kuhusu upimaji korona kwenye kware, kondoo, mbuzi na mapapai?Hili nalo litapita.
Aliyetengeneza hivyo vifaa vya kupimia katengeneza hiyo dawa?Kunyweni wenyewe.
Sijawahi kumwamini mbongo.
Mtu anaingia Instagram anaona jinsi watu wa uswahilini wanavyonadi tangawizi, ukwaju na limau kuwa zinatibu corona na yeye anakwenda kutengeneza.
Kama mtu umeshindwa kutengeneza kifaa cha kumchambua(kumwona) huyo corona uliwezaje kutengeneza dawa kama si lamri hiyo.
Humo hawajaweka sampli za kware kweli?Hiyo dawa inatibu yale magonjwa yanayoambatana na corona kama mafua, kikohozi, kubanwa mbavu, kichwa kuuma nk. Ni kama inampa unafuu mgonjwa kwa kupunguza magonjwa ambatanishi ili kinga yake ipambane moja kwa moja na corona
Ukijua nini lilikuwa lengo basi utajua ni big brain tu yaweza fanya vile, subiri ripoti ya tume.Una maoni gani kuhusu upimaji korona kwenye kware, kondoo, mbuzi na mapapai?
Wewe si ulisema hutaonekana tena humu maisha yamekushinda? Au ulitaka kiki tu? Pumbavu!
Wewe kuondoka kwake kulikufurahisha?Kwa hiyo kurudi kwake kumekukera?
https://www.researchgate.net/profile/Hamisi_Malebo/ampTupate japo tu cv basi twa huyo prof...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaaaa,,Midawa ya kibongo, inatibu corona huku inaua nguvu za kiume, chagua moja, ufe imesimama, uishi imelala.
Hiyo negativity yako haitakufanya ujifunze kutoka kwa wenzako! Upo hapa JF kupoteza muda wako na kama kuvuruga wenzako. Kila sred wewe na negativity zako. Punguza munkari dogoTUNAKOELEKEA TUTANYWESHWA HADI TOMATO SOUCE AISEE
Watu tumechoma mafuta ya ndege afu yeye anazindua dawa leo
Uwezo wetu wa kufikiri ndio unaonekana huku JF,tuna safari ndefu..
Keshapata na cheti kabisa.. Sasa kwanini tukakimbilia Madagascar?
Nimegundua kuna wakati hawamwambii Mzee baba ukweli kwenye mengi
Jr[emoji769]