April 30, 2020
Ifahamu NIMR CAFE; Dawa lishe kwa wagonjwa wa Corona iliyobuniwa Tanzania
Mitishamba yaelezwa na taasisi ya uchunguzi wa NIMR tumsikilize : Dr. Justin J. Omolo , Principal Research Scientist at the National Institute for Medical Research (NIMR) in Tanzania.
Wakati dunia ikipambana na chanjo ya virusi vya Corona, Wataalam wa Kitengo cha Tiba Asili na Tiba Mbadala kutoka Taasisi ya Ufatifiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kimekuja na dawa mahususi kwa ajili ya wanaoogua ugonjwa wa Corona
Source : Daily News Digital