Ni kweli, wanachodhibitisha ni usalama wake, hata kama haitibuHiyo maabara ya Mkemia mkuu huwa inajiridhisha kama dawa husika ni salama kwa matumizi ya binadamu wala siyo uwezo wa kutibu maradhi husika.
(Haya maelezo yalitolewa kipindi kile dawa ya kuongeza nguvu za kiume ilipewa cheti na hiyo maabara)
Wagonjwa Amana si wapoIfanyiwe majaribio ya kitabibu sasa
Siunajua kale kandege halafu ukae ilw siti ya mukulu, kana raha yake. Basi mwenzio nikiona mawingu yanavyorudi nyuma taratiiiiibu nasikia raha😀Keshapata na cheti kabisa.. Sasa kwanini tukakimbilia Madagascar?
Nimegundua kuna wakati hawamwambii Mzee baba ukweli kwenye mengi
Jr[emoji769]
Hii nimeikubali kwa sababu moja kuu, hawakuwa na sababu ya kuvaa barakoa na gulovu sana uhakika wa asilimia 101 ufanisi wake. Kuna watu watasema wanataka ya mitishamba siyo ya kizungu ya ndani ya chupa.COVIDOL tayari imethitishwa na Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Imevumbuliwa na mtanzania Prof. Hamisi Malebo (PhD), huyo wa kuliaView attachment 1445471View attachment 1445472
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]Siunajua kale kandege halafu ukae ilw siti ya mukulu, kana raha yake. Basi mwenzio nikiona mawingu yanavyorudi nyuma taratiiiiibu nasikia raha[emoji3]