Prof. Hamisi Malebo (PhD), azindua dawa ya Corona

Prof. Hamisi Malebo (PhD), azindua dawa ya Corona

Acha nichukue nafasi hii kumpongeza prof.kwa ithubutu huo angalau.

Najua sisi watanzania tumekuwa nyuma sana katika kuthubutu.Wengi wetu wakiwemo watu waliopewa mamlaka kwa sababu ya elimu yao,wamekuwa wakisubiri kukosoa,kukamata na kutunga sheria za kudhibiti spirit ya uthubutu inayoonyeshwa na watanzania wenzetu.

Naamini hata humu wamo.Ila wanaumia tu kwa kuwa Rais yuko msitari wa mbele kuwatia moyo watu kama hawa.Nimtakie kila la heri huu ni mwanzo mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana, huu ni ujinga wa mtu amesoma tena anajiita Prof! Mamiti shamba kakusanya katwanga eti ni dawa. Mwambie how does it attack the virus? (Mode of action)... upuuzi mtupu! Chemical ingredient or active ingredient ni ipi?
Mfano: Penicillin kills bacteria through binding of the beta-lactam ring to DD-transpeptidase, inhibiting its cross-linking activity and preventing new cell wall formation. Without a cell wall, a bacterial cell is vulnerable to outside water and molecular pressures, and quickly dies
Viungo vya hii dawa ni mchanyato wa pili pili kichaa , kitunguu swaumu na kitunguu maji.
Mode of action ni kufubaza kirusi
 
Wewe si ulisema hutaonekana tena humu maisha yamekushinda? Au ulitaka kiki tu? Pumbavu!
Kuna jamaa aliwahi kuniambia hivi.....
Mtanzania ukimpa heading pekee inatosha, habari kamili ataitengeneza mwenyewe.
Wewe ni one of them.
Na wapi niliandika kwamba sinto onekana tena humu?
Ebu basi jaribu kuficha upumbavu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunyweni wenyewe.
Sijawahi kumwamini mbongo.
Mtu anaingia Instagram anaona jinsi watu wa uswahilini wanavyonadi tangawizi, ukwaju na limau kuwa zinatibu corona na yeye anakwenda kutengeneza.
Kama mtu umeshindwa kutengeneza kifaa cha kumchambua(kumwona) huyo corona uliwezaje kutengeneza dawa kama si lamri hiyo.
Slave minds
 
Kunyweni wenyewe.
Sijawahi kumwamini mbongo.
Mtu anaingia Instagram anaona jinsi watu wa uswahilini wanavyonadi tangawizi, ukwaju na limau kuwa zinatibu corona na yeye anakwenda kutengeneza.
Kama mtu umeshindwa kutengeneza kifaa cha kumchambua(kumwona) huyo corona uliwezaje kutengeneza dawa kama si lamri hiyo.
Ye kaweka kwenye kifungashio.
 
Yaani hawa walisubiri kwanza Jiwe atume dege Madagascar ndo waibuke na mitishamba yao? WaTZ tumetisha sana..
 
Kaka hakuna dawa inatengebezwa kama supu ya asbh halafu mnaanza kunywa. Dawa zote lazima zipitie hatua za uthibitisho wa kufanya kazi, madhara n.k kwa kulinganisha na placebo. Si kila mtu akitengeneza kidonge au juice akaiita dawa ni lazma tukubali kuwa ni dawa hata kama haijathibitishwa.

Slave minds
 
Keshapata na cheti kabisa.. Sasa kwanini tukakimbilia Madagascar?
Nimegundua kuna wakati hawamwambii Mzee baba ukweli kwenye mengi

Jr[emoji769]
mkemia mkuu wa serikali siyo kazi yake kupima kama dawa inatibu au la.Anachofanya kupima kama ina sumu kwa binadamu au la.waganga wa kienyeji mara nyingi hupeleka dawa zao huko kwa ajili hiyo
 
Back
Top Bottom