Prof. Hamisi Malebo (PhD), azindua dawa ya Corona

Prof. Hamisi Malebo (PhD), azindua dawa ya Corona

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,943
COVIDOL tayari imethitishwa na Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Imevumbuliwa na mtanzania Prof. Hamisi Malebo (PhD), huyo wa kulia
IMG-20200510-WA0007.jpg
IMG-20200510-WA0008.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Alifanya utafiti lini?
2. Utafiti huo aliufanya kwa muda gani?
3. Alishirikiana na nani kwenye utafiti huo?
3. Huo utafiti aliufanyia wapi?
4. Dawa hiyo aliijaribisha wapi?
5. Dawa hiyo aliijaribisha kwa nani?
6. Basi tupate hata idadi ya wachache walio pona kwanza
 
1. Alifanya utafiti lini?
2. Utafiti huo aliufanya kwa muda gani?
3. Alishirikiana na nani kwenye utafiti huo?
3. Huo utafiti aliufanyia wapi?
4. Dawa hiyo aliijaribisha wapi?
5. Dawa hiyo aliijaribisha kwa nani?
6. Basi tupate hata idadi ya wachache walio pona kwanza
Wewe si ulisema hutaonekana tena humu maisha yamekushinda? Au ulitaka kiki tu? Pumbavu!
 
Kunyweni wenyewe.
Sijawahi kumwamini mbongo.
Mtu anaingia Instagram anaona jinsi watu wa uswahilini wanavyonadi tangawizi, ukwaju na limau kuwa zinatibu corona na yeye anakwenda kutengeneza.
Kama mtu umeshindwa kutengeneza kifaa cha kumchambua(kumwona) huyo corona uliwezaje kutengeneza dawa kama si lamri hiyo.
 
Tupate japo tu cv basi twa huyo prof...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom