Hatuna chombo cha kuangalia ubora wa dawa? Zamani kiliitwa TFDA, sasa ndio mkemia mkuu wa serikali?COVIDOL tayari imethitishwa na Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Imevumbuliwa na mtanzania Prof. Hamisi Malebo (PhD), huyo wa kuliaView attachment 1445471View attachment 1445472
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndom huondoa radha halis ya mikito mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba unaipa hongera corona amekuja kutuondolea na ukimwi .Mkuu naona unafuraha ya hali ya juu
Kama inatibu si shidaTUNAKOELEKEA TUTANYWESHWA HADI TOMATO SOUCE AISEE
Watu tumechoma mafuta ya ndege afu yeye anazindua dawa leo
Mzee wa kugoogle via wikipedia hapo unajiona fundi kuliko aliyefanya utafiti na kupitishwa na maabara kuuMshana, huu ni ujinga wa mtu amesoma tena anajiita Prof! Mamiti shamba kakusanya katwanga eti ni dawa. Mwambie how does it attack the virus? (Mode of action)... upuuzi mtupu! Chemical ingredient or active ingredient ni ipi?
Mfano: Penicillin kills bacteria through binding of the beta-lactam ring to DD-transpeptidase, inhibiting its cross-linking activity and preventing new cell wall formation. Without a cell wall, a bacterial cell is vulnerable to outside water and molecular pressures, and quickly dies
Nnavyomfahamu Prof. Malebo alianza kufanya kazi na NIMR kituo kilichopo Amani Medical Research kilichopo Amani Tanga kama Research Scientist then akajiendeleza kupata Masters na PhD kama sikosei sana Nairobi University then akahamia NIMR HQ lakini kitengo cha utafiti wa Dawa Asili amefanya kazi hapo kwa kipindi kirefu kabla ya kupata post mpya kama Mkurugenzi wa UNESCO hivyo ni kifupi nnavyoweza kumuelezea... menvineyo googleTupate japo tu cv basi twa huyo prof...
Sent from my iPhone using JamiiForums
1. Alifanya utafiti lini?
2. Utafiti huo aliufanya kwa muda gani?
3. Alishirikiana na nani kwenye utafiti huo?
3. Huo utafiti aliufanyia wapi?
4. Dawa hiyo aliijaribisha wapi?
5. Dawa hiyo aliijaribisha kwa nani?
6. Basi tupate hata idadi ya wachache walio pona kwanza
Kwa Sababu imegunduliwa na Mtanzania,Wabongo kwa Roha Mbaya hawawezikani,Angekuwa kagundua Mzungu Mngesikika mkimwaga Sifa.Uchawi siyo mpaka Uruke na Ungo.Mbona kama chili source za dabaga?
"Ramli"Kunyweni wenyewe.
Sijawahi kumwamini mbongo.
Mtu anaingia Instagram anaona jinsi watu wa uswahilini wanavyonadi tangawizi, ukwaju na limau kuwa zinatibu corona na yeye anakwenda kutengeneza.
Kama mtu umeshindwa kutengeneza kifaa cha kumchambua(kumwona) huyo corona uliwezaje kutengeneza dawa kama si lamri hiyo.
Mnaoiogopa msiinyweMimi naogopa , msijekupewa supu ya mavi
Hiyo maabara ya Mkemia mkuu huwa inajiridhisha kama dawa husika ni salama kwa matumizi ya binadamu wala siyo uwezo wa kutibu maradhi husika.
(Haya maelezo yalitolewa kipindi kile dawa ya kuongeza nguvu za kiume ilipewa cheti na hiyo maabara)
1. Alifanya utafiti lini?
2. Utafiti huo aliufanya kwa muda gani?
3. Alishirikiana na nani kwenye utafiti huo?
3. Huo utafiti aliufanyia wapi?
4. Dawa hiyo aliijaribisha wapi?
5. Dawa hiyo aliijaribisha kwa nani?
6. Basi tupate hata idadi ya wachache walio pona kwanza
Alifanya utafiti miaka mitatu iliyopita baada ya kuoteshwa kuwa dunia itakuja kumbwa na Corona, imejaribiwa kwenye visiwa vya Great Ruaha kwa miaka minne na kuonesha mafanikio makubwa ambapo njiwa 50 waliojaribiwa kwa kuambukizwa wanne walipona kabisa pasi na shaka.1. Alifanya utafiti lini?
2. Utafiti huo aliufanya kwa muda gani?
3. Alishirikiana na nani kwenye utafiti huo?
3. Huo utafiti aliufanyia wapi?
4. Dawa hiyo aliijaribisha wapi?
5. Dawa hiyo aliijaribisha kwa nani?
6. Basi tupate hata idadi ya wachache walio pona kwanza
Mbona ile ya Madagascar tumeikubali na kuipokea? Tusubiri na hii iliyofanana na chili source ikifanikiwa tutafurahi. Kwani hujawahi kipenda kitu kinachofanana na kitu kingine? Kwani mm nimeichukia?Kwa Sababu imegunduliwa na Mtanzania,Wabongo kwa Roha Mbaya hawawezikani,Angekuwa kagundua Mzungu Mngesikika mkimwaga Sifa.Uchawi siyo mpaka Uruke na Ungo.