Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

Tusitarajie chochote cha maana kutoka kwa JK,hamkumbuki kuwa mkulu le profesa huwa anafikia kwa mama TIbaijuka kila atembeleapo Bukoba badala ya ikulu ya Bukoba.Dalili ya mvua ni mawingu,nadiriki kuamini kuwa hakuna atakachomfanya huyu mama.
 
Subirini muone leo Pro mwenzie JK atakavyo muunga mkono kwa kauli hiyo ya jana. Tanzania kushangaa shangaa ni mwiko maana utashangaa mangapi?
 
Pesa zimeenda kuwasomesha watoto masikini. Maendeleo gani unayotaka wewe fanya kazi acha uvivu

kuna masikini anayeweza kulipa ada milion 4.5 kwa mwaka? Unaifahamu shule ya mama tibaijuka? Wanaosoma pale ni watoto wa mabosi2. Tafakari
 
nani kamwambia aje kwetu kutuambia mambo hayo

MAAZIMIO YA KAMATI YA BUNGE NI KWAMBA AOENDOLEWE NA UCHUNGUZI DHIDI YAKE UFANYIKE ILI HATUA STAHIKI ZICHUKULIWE,,TUNASUBIRI KUTEKELEZWA KWA MAAMUZ HAYO NA RAIS

YEYE MWEHU TUH SISI ATATUELEZA NINI.

Uchunguzi gani tena wa zaidi mkuu zaidi ya ule wa CAG& PCCB
 
huyu mama ana wasiwasi mkubwa juu ya maamuzi ya kikwete kuhusu yeye.
ameshauriwa na wapambe wake ajitokeze ku-buy trust ya rais.
too late mama umejipaka kinyesi, kikwete kukumbatia kinyesi ni uamuzi wake.
 
BABA YETU KIKWETE NAOMBA UMUACHE TIBAIJUKA PIA MUHONGO KATIKA BARAZA LAKO LA MAWAZIRI, CHONDE BABA NISIKILIZE KWA HILI.
CHONDE CHONDE NANYI AKINA TIBAIJUKA PIA MUHONGO NA WASHIRIKA WENU MUKIASI CHAMA CHA MAPINDUZI IWAPO KIKWETE TU AKITHUBUTU KUWAWAJIBISHA.

WEWE KIKWETE NDO UTATUSAIDIA KATIKA KUIANGUSHA NA KUIDELETE CCM KABISA KATIKA NCHI HII YA TANZANIA TUSAIDIE MZEE JK KWA HILI TUKO CHINI YA MIGUU YAKO UKU MACHO YETU YAKIWA JUu
 
Pesa zimeenda kuwasomesha watoto masikini. Maendeleo gani unayotaka wewe fanya kazi acha uvivu
Kama kuna watoto wanaosoma bure katika shule hiyo watakuwa ni wachache sana . Walio wengi (kama sio wote) wanalipa ada tena kubwa sana . Inawezekana ilipoanzishwa hilo lilikuwa ndio lengo lake lakini sio sasa
 
Hata watanzania tuna imani nawe. endelea kutafuta pesa za kuendeleza watoto wetu wa kike. Chapa kazi tupo nyuma yako.
 
Nahis ana washauri ambao ni wa kabila lake zaidi ya yule boy friend mzee wa Vijisenti. Unaweza kuona kiburi cha kijinga kilivyo

Asee kwa hiyo kumbe ni loose ball si na mkulu nae anapiga aloo
 
ongozi vijiji 2708
mitaa 644
vitongoji 26,300

Tarehe rasmi ya uchaguzi 14/dec/2014
Mitaa inayoshindaniwa 3741
vijiji 12443
Vitongoji 64,616

Mapingamizi na ccm kujitwalia u

Viongozi waliojitwalia uongozi kwa mapingamizi aslimia 33%

Viongozi walioshinda kwenye uchaguzi siku ya 14/dec/2014= ccm47% ukawa 53%

ccm wanajivunia ushindi wa 80% wakijumuisha na 33% ya mapingamizi
 
Tusitarajie chochote cha maana kutoka kwa JK,hamkumbuki kuwa mkulu le profesa huwa anafikia kwa mama TIbaijuka kila atembeleapo Bukoba badala ya ikulu ya Bukoba.Dalili ya mvua ni mawingu,nadiriki kuamini kuwa hakuna atakachomfanya huyu mama.

Taratibu jamani,Mama Salma huenda anapitia humu!
 
Back
Top Bottom