Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

Atajiuzulu...
siyo kujiuzulu tu, badi inabidi ajitathimini uanachama wake ndani ya chama chetu maana kavunja ahadi ya 4 na ya 5 za mwanaCCM.

4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa.

5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
 
waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, prof. Anna kajumulo tibaijuka, leo alhamisi atarajia kukutana na waandishi wa habari saa tano asubuhi katika hoteli ya grand hyatt (kilimanjaro).

Taarifa zilizothibitishwa na prof tibaijuka mwenyewe, zinasema waziri huyo atazungumzia ukwapuaji wa mabilioni ya sh. Katika akaunti ya escrow na jinsi anavyohusishwa kunufaika nayo.

“ni kweli nimelekeza wasaidizi wangu wizarani waniandalie mkutano na waandishi, ninataka kuzungumzia kwa kina, tuhuma ninazohusishwa kuhusu mimi kunufaika na fedha zenye utata kwente akaunti ya escrow,” alieleza prof. Anna tibaijuka kwa njia simu.

Prof. Anna tibaijuka hakutaka kuingia kwa undani kuzungumzia juu mapendekezo ya kamati ya bunge ya hesabu za serikali (pac) iliyotaka kujiudhuru wadhifa wake wa uwaziri.

Aliishia kusema, “wewe si mwandishi? Si umenusa na ukajua kuwa nina mkutano na waandishi habari kesho? Subiri mambo yatajulikana hapo,” alisema prof. Anna tibaijuka huku akicheka.

Mytake:naona mzee wetu muheshimiwa kuliko wote tanzania ameshakuwa mtaalamu wa "chenga za mwili"kwasababu na yeye yupo kwenye mgao wa mlungula hivyo hawezi kuwafukuza kazi lakini alishajadiliana nao hivyo alivyotuambia "nitawawajibisha kwanzia wiki ijayo" wewe ulidhani atawawajibishaje???? Ndio hivyo sasa

swali lililobaki ni je, mama tibaijuka atafuata nyayo za werema?

=================================

updates
attachment.php

prof. Anna tibaijuka akiwa kwenye press conference hyatt regency hotel dar es salaam leo

-anatolea ufafanuzi wa msaada wa fedha uliotolewa na rugemalira kwenye shule yake

-anasema watu wanaona kujiuzulu ni 'fashion' ila yeye hayuko katika 'fashion' hiyo

-nikijiuzulu hata rais atanishangaa maana katika yale mapendekezo ya bunge hakuna sehemu iliyonitaka kujiuzulu.

-amesema kaja kufafanua sakata, hawezi kujiuzulu

-lengo la kuzungumza na waandishi wa habari ni kuzungumza yale niliyokosa nafasi ya kujitetea wakati wa sakata la tegetaescrow

-yeye aliomba mchango wa shule, akijiuzulu anasema atakuwa hajaitendea haki jamii

*hajajiuzulu na sasa ni kipindi cha maswali na majibu

huyu mama anafaa sana ni mchapakazi na nimsomi. Ulionaga wapi msomi akawa mbuzi wa kafara? Hawa wasomi maprofesa ni watendaji wenye uthubutu na ambao huchapa kazi nzuri na nzito. Hatakiwi kujiuzuru maana hizo pesa sio zake bali ni za kuwasaidia wanawake kupata elimu katika shule zake kabambe zenye viwango vya hali ya juu.
 
siyo kujiuzulu tu, badi inabidi ajitathimini uanachama wake ndani ya chama chetu maana kavunja ahadi ya 4 na ya 5 za mwanaccm.

4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa.

5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
acheni ushabiki wakijinga. Huyu mama hana kosa hata. Na kwenye chama kama mnataka fitina mkidhani ni ushindi mtaangukia pua. Tuache ushabiki wa kijinga, make a research before.
 
since last week anatumia stk .....na sio kibao cha wzr ar kwenye gari anayozunguka nayo town ndio kilishanuka?

acha kuchizika wewe. Gari la waziri lina plate no. Nyingi sana na anaweza kubadili jinsi yeye anavyojisikia. Mbona waziri mmoja namuhifadhi jina akiendaga bar anaweka no.ya kiraia? Shame apon uuu tena angeweza weka hata no. Ya jina lake direct.
Duh, watu mmekosa kazi hadi mnafatilia no. Awekayo duh? Mtafanya kazi saangap?
 
waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, prof. Anna kajumulo tibaijuka, leo alhamisi atarajia kukutana na waandishi wa habari saa tano asubuhi katika hoteli ya grand hyatt (kilimanjaro).

Taarifa zilizothibitishwa na prof tibaijuka mwenyewe, zinasema waziri huyo atazungumzia ukwapuaji wa mabilioni ya sh. Katika akaunti ya escrow na jinsi anavyohusishwa kunufaika nayo.

"ni kweli nimelekeza wasaidizi wangu wizarani waniandalie mkutano na waandishi, ninataka kuzungumzia kwa kina, tuhuma ninazohusishwa kuhusu mimi kunufaika na fedha zenye utata kwente akaunti ya escrow," alieleza prof. Anna tibaijuka kwa njia simu.

Prof. Anna tibaijuka hakutaka kuingia kwa undani kuzungumzia juu mapendekezo ya kamati ya bunge ya hesabu za serikali (pac) iliyotaka kujiudhuru wadhifa wake wa uwaziri.

Aliishia kusema, "wewe si mwandishi? Si umenusa na ukajua kuwa nina mkutano na waandishi habari kesho? Subiri mambo yatajulikana hapo," alisema prof. Anna tibaijuka huku akicheka.

Mytake:naona mzee wetu muheshimiwa kuliko wote tanzania ameshakuwa mtaalamu wa "chenga za mwili"kwasababu na yeye yupo kwenye mgao wa mlungula hivyo hawezi kuwafukuza kazi lakini alishajadiliana nao hivyo alivyotuambia "nitawawajibisha kwanzia wiki ijayo" wewe ulidhani atawawajibishaje???? Ndio hivyo sasa

swali lililobaki ni je, mama tibaijuka atafuata nyayo za werema?

=================================

updates
attachment.php

prof. Anna tibaijuka akiwa kwenye press conference hyatt regency hotel dar es salaam leo

-anatolea ufafanuzi wa msaada wa fedha uliotolewa na rugemalira kwenye shule yake

-anasema watu wanaona kujiuzulu ni 'fashion' ila yeye hayuko katika 'fashion' hiyo

-nikijiuzulu hata rais atanishangaa maana katika yale mapendekezo ya bunge hakuna sehemu iliyonitaka kujiuzulu.

-amesema kaja kufafanua sakata, hawezi kujiuzulu

-lengo la kuzungumza na waandishi wa habari ni kuzungumza yale niliyokosa nafasi ya kujitetea wakati wa sakata la tegetaescrow

-yeye aliomba mchango wa shule, akijiuzulu anasema atakuwa hajaitendea haki jamii

*hajajiuzulu na sasa ni kipindi cha maswali na majibu

huyu mama anafaa sana ni mchapakazi na nimsomi. Ulionaga wapi msomi akawa mbuzi wa kafara? Hawa wasomi maprofesa ni watendaji wenye uthubutu na ambao huchapa kazi nzuri na nzito. Hatakiwi kujiuzuru maana hizo pesa sio zake bali ni za kuwasaidia wanawake kupata elimu katika shule zake kabambe zenye viwango vya hali ya juu.
 
ajiuzulu..ndio ajue ukiwa waziri halafu unazungukia matajiri kuomba hela kwa miradi yako binafsi sio maadili. kwani wanaomchangia anawapa hisa kwenye huo mradi wake wa shule? alichofanya ni matumizi mabaya ya ofisi yake kama waziri. kwa mtindo huo rugemalila akitaka hisani yoyote kwa waziri ataweza kumkatalia?
 
Nimefatlia sana maelezo yake prof. Anna tibaijuka nikagundua kwamba ni mwanamke mkweli sana anayejitoa kwa jamii na kuwaletea watanzania maendeleo.

Amewahi kuchakalika sana kutafuta pesa nje ya nchi na ndani ya nchi ili kuwasaidia watanzania katika taasisi ambazo yeye ni muanzilishi.

Anafaa hata tumpe uongozi mkubwa zaidi ya hapo, sure.
 
Mambo mengine aibu! Tibaijuka atuwekeee maombi yake hapa ya kuomba msaada huo kwa Rugemalira. Tutajua ni kiasi gani aliomba, lini, na ilikuwaje akapata msaada huo. Kama ni-coincidence (kwamba alipotuma maombi yake kwa Rugemalira) na wengine akina Muhongo, Chenge...nao walikuwa wametuma maombi yao kwa mtu yule yule (bilashaka noa watakuwa na sababu za maombi yao). Oneni aibu, ombeni msamaha, achieni ngazi za kisiasa.....

Ninachokiona ktk hili Prof Muhongo na Prof Tiba wanataka kumwaga mboga kama 'Prof' JK atawarazimisha kujiudhuru. Hii ni faida si kwa watanzania tu bali hata nchi wahisani ambao pesa zao kwa muda mlefu zimeibwa na watu wachache ktk nchi hii.
 
Ni wenye tafakuri pana tu wataona madudu ya Huyu Prof. Mwizi, mnaaongozwa na sympathy hamuwezi kuona, mwandikie article kwenye gazeti pendwa, mwombe na ukwe kama ana binti ambaye hajaolewa bado!
 
nimefatlia sana maelezo yake prof. Anna tibaijuka nikagundua kwamba ni mwanamke mkweli sana anayejitoa kwa jamii na kuwaletea watanzania maendeleo.

Amewahi kuchakalika sana kutafuta pesa nje ya nchi na ndani ya nchi ili kuwasaidia watanzania katika taasisi ambazo yeye ni muanzilishi.

Anafaa hata tumpe uongozi mkubwa zaidi ya hapo, sure.
huyu mama anafaa sana ni mchapakazi na nimsomi. Ulionaga wapi msomi akawa mbuzi wa kafara? Hawa wasomi maprofesa ni watendaji wenye uthubutu na ambao huchapa kazi nzuri na nzito. Hatakiwi kujiuzuru maana hizo pesa sio zake bali ni za kuwasaidia wanawake kupata elimu katika shule zake kabambe zenye viwango vya hali ya juu.
 
ni wenye tafakuri pana tu wataona madudu ya huyu prof. Mwizi, mnaaongozwa na sympathy hamuwezi kuona, mwandikie article kwenye gazeti pendwa, mwombe na ukwe kama ana binti ambaye hajaolewa bado!

kumbe unataka ukwe? Ww toka ulipoangukiaga chooni bado hujapona tu akili zako? Mwishowe utachizika
huyu mama anafaa sana ni mchapakazi na nimsomi. Ulionaga wapi msomi akawa mbuzi wa kafara? Hawa wasomi maprofesa ni watendaji wenye uthubutu na ambao huchapa kazi nzuri na nzito. Hatakiwi kujiuzuru maana hizo pesa sio zake bali ni za kuwasaidia wanawake kupata elimu katika shule zake kabambe zenye viwango vya hali ya juu.
 
Kama ukimkimbiza mnyama nguchilo atakimbia sana hadi pale atakaporikaribia shimo lake. Akiwa karibu na shimo lake la kujifisha na kuwa na uhakika kuwa hayuko hatarini tena kukamatwa ataonyesha bwebwe zake kwa kusimama kwa miguu yake miwili na kuanza kutoa sauti za kejeli kwa aliyekuwa anamfukuza. Mtamsikia nguchilo akibwata, akisonya, kucheka na kumzomea anayemkimbiza. Ukiona nguchilo anafanya hivyo ujue yuko karibu sana na mashimo yake. Ukizidi kumkaribia anaingikia kwenye shimo lake na kupotelea humo. Namna ya kumpata ni kwa kulichimba shimo lake kwa majembe na sululu na ikiwezekana muwe na mbwa karibu.

Je, Mh. Tibaijuka jana alipotangaza kuwa hatajiuzulu ng'o alikuwa karibu na shimo lake? Je, watanzania tunayo majembe, sululu na mbwa wa kumtoa kwenye shimo lake kama akiingia na kujificha humo?

Pesa alizopewa mh. hazikutoka mabibo wine bali escrow na yeye alikuwa anafahamu hivyo, pesa ziliwekwa kwenye account yake binafsi badala ya account ya shule anazodai ni za ukombozi wa watoto wa kike. Mgogoro wa IPTL, tanesco na escorow alikuwa anaufahamu na ulikuwa haujamalizika bado. Tunasubiri kuona namna atavyojinasua kwenye sakata hili.

Tunasubiri kuyaona mashimo yake anayoringia ni akina nani hasa, hadi jana apate ujasiri wa kusimama kwa miguu miliwili mbele ya wanaomfukuka (vyombo vya habari, PAC, CAG, PCCB, bunge, EU, USA na watanzania wanaojenga maabara kwa kuuza mchicha) na kuongea yale aliyoyaongea. Yeye siyo mjinga hivyo, atakuwa yuko karibu na mashimo yake.
 
Huyu mama anafaa sana ni mchapakazi na nimsomi. Ulionaga wapi msomi akawa mbuzi wa kafara? Hawa wasomi maprofesa ni watendaji wenye uthubutu na ambao huchapa kazi nzuri na nzito. Hatakiwi kujiuzuru maana hizo pesa sio zake bali ni za kuwasaidia wanawake kupata elimu katika shule zake kabambe zenye viwango vya hali ya juu.
 
Ni kweli mkuu tum tumchague akisaidiwa na kakaake Rugemalira, Singasinga Seth wa IPTL, Chenge, prof. Muongo pamoja na Werema itakuwa combination poa sana kwa kupiga dili kubwa ndani na nje ya nchi.
 
waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, prof. Anna kajumulo tibaijuka, leo alhamisi atarajia kukutana na waandishi wa habari saa tano asubuhi katika hoteli ya grand hyatt (kilimanjaro).

Taarifa zilizothibitishwa na prof tibaijuka mwenyewe, zinasema waziri huyo atazungumzia ukwapuaji wa mabilioni ya sh. Katika akaunti ya escrow na jinsi anavyohusishwa kunufaika nayo.

“ni kweli nimelekeza wasaidizi wangu wizarani waniandalie mkutano na waandishi, ninataka kuzungumzia kwa kina, tuhuma ninazohusishwa kuhusu mimi kunufaika na fedha zenye utata kwente akaunti ya escrow,” alieleza prof. Anna tibaijuka kwa njia simu.

Prof. Anna tibaijuka hakutaka kuingia kwa undani kuzungumzia juu mapendekezo ya kamati ya bunge ya hesabu za serikali (pac) iliyotaka kujiudhuru wadhifa wake wa uwaziri.

Aliishia kusema, “wewe si mwandishi? Si umenusa na ukajua kuwa nina mkutano na waandishi habari kesho? Subiri mambo yatajulikana hapo,” alisema prof. Anna tibaijuka huku akicheka.

Mytake:naona mzee wetu muheshimiwa kuliko wote tanzania ameshakuwa mtaalamu wa "chenga za mwili"kwasababu na yeye yupo kwenye mgao wa mlungula hivyo hawezi kuwafukuza kazi lakini alishajadiliana nao hivyo alivyotuambia "nitawawajibisha kwanzia wiki ijayo" wewe ulidhani atawawajibishaje???? Ndio hivyo sasa

swali lililobaki ni je, mama tibaijuka atafuata nyayo za werema?

=================================

updates
attachment.php

prof. Anna tibaijuka akiwa kwenye press conference hyatt regency hotel dar es salaam leo

-anatolea ufafanuzi wa msaada wa fedha uliotolewa na rugemalira kwenye shule yake

-anasema watu wanaona kujiuzulu ni 'fashion' ila yeye hayuko katika 'fashion' hiyo

-nikijiuzulu hata rais atanishangaa maana katika yale mapendekezo ya bunge hakuna sehemu iliyonitaka kujiuzulu.

-amesema kaja kufafanua sakata, hawezi kujiuzulu

-lengo la kuzungumza na waandishi wa habari ni kuzungumza yale niliyokosa nafasi ya kujitetea wakati wa sakata la tegetaescrow

-yeye aliomba mchango wa shule, akijiuzulu anasema atakuwa hajaitendea haki jamii

*hajajiuzulu na sasa ni kipindi cha maswali na majibu
huyu mama anafaa sana ni mchapakazi na nimsomi. Ulionaga wapi msomi akawa mbuzi wa kafara? Hawa wasomi maprofesa ni watendaji wenye uthubutu na ambao huchapa kazi nzuri na nzito. Hatakiwi kujiuzuru maana hizo pesa sio zake bali ni za kuwasaidia wanawake kupata elimu katika shule zake kabambe zenye viwango vya hali ya juu.
 
ni kweli mkuu tum tumchague akisaidiwa na kakaake rugemalira, singasinga seth wa iptl, chenge, prof. Muongo pamoja na werema itakuwa combination poa sana kwa kupiga dili kubwa ndani na nje ya nchi.
huyu mama anafaa sana ni mchapakazi na nimsomi. Ulionaga wapi msomi akawa mbuzi wa kafara? Hawa wasomi maprofesa ni watendaji wenye uthubutu na ambao huchapa kazi nzuri na nzito. Hatakiwi kujiuzuru maana hizo pesa sio zake bali ni za kuwasaidia wanawake kupata elimu katika shule zake kabambe zenye viwango vya hali ya juu.
 
nimefatlia sana maelezo yake prof. Anna tibaijuka nikagundua kwamba ni mwanamke mkweli sana anayejitoa kwa jamii na kuwaletea watanzania maendeleo.

Amewahi kuchakalika sana kutafuta pesa nje ya nchi na ndani ya nchi ili kuwasaidia watanzania katika taasisi ambazo yeye ni muanzilishi.

Anafaa hata tumpe uongozi mkubwa zaidi ya hapo, sure.

Ukweli, nilikuwa ninampenda na kumuamini sana mama Tibaijuka, ila baada ya kuona yumo kwenye mgao wa fedha za sisi walipa kodi, sitaweza tena kurudisha upendo kwa mama.

Hakika, mama hata afanyeje hawezi kujisafisha. Ule mgao wa fedha, yeye kapata sawa na mzee Andrew Chenge tena siku moja! Hakika mama ni miogoni mwa wezi wa fedha za umma Tanzania!
 
●Ilikuwaje alipolipwa tu, kesho yake akazitoa zote.?

●llikuwaje 1.6B kuichukua kwa njia ya cash?

Anna we anna
 
kumbe unataka ukwe? Ww toka ulipoangukiaga chooni bado hujapona tu akili zako? Mwishowe utachizika
huyu mama anafaa sana ni mchapakazi na nimsomi. Ulionaga wapi msomi akawa mbuzi wa kafara? Hawa wasomi maprofesa ni watendaji wenye uthubutu na ambao huchapa kazi nzuri na nzito. Hatakiwi kujiuzuru maana hizo pesa sio zake bali ni za kuwasaidia wanawake kupata elimu katika shule zake kabambe zenye viwango vya hali ya juu.

Yuko single unaweza kumapproach kama anakuvutia,tusichotaka ni kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi, Kama wewe ni msichana nena Babro Johnson ukasaidiwe 'bure'!
 
mambo mengine aibu! Tibaijuka atuwekeee maombi yake hapa ya kuomba msaada huo kwa rugemalira. Tutajua ni kiasi gani aliomba, lini, na ilikuwaje akapata msaada huo. Kama ni-coincidence (kwamba alipotuma maombi yake kwa rugemalira) na wengine akina muhongo, chenge...nao walikuwa wametuma maombi yao kwa mtu yule yule (bilashaka noa watakuwa na sababu za maombi yao). Oneni aibu, ombeni msamaha, achieni ngazi za kisiasa.....

Ninachokiona ktk hili prof muhongo na prof tiba wanataka kumwaga mboga kama 'prof' jk atawarazimisha kujiudhuru. Hii ni faida si kwa watanzania tu bali hata nchi wahisani ambao pesa zao kwa muda mlefu zimeibwa na watu wachache ktk nchi hii.

usifikirie kwa kutumia makalio kama dr. Masaburi alivyowaambia wabunge wa mkoa wa dar es salaam.
Hela hela hela hela ,,, nenda na wewe kwa mzee wa era za ugoro ukamuombe. Cc watanzania hatuna tatizo na ela za rugemalila kwani zililipiwa kodi na ni ela safi.
 
Back
Top Bottom