Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,145
- 143,764
Teh teh teh....mbona wale pro-Hillary walokuwa wanashangalia opinion polls pamoja na 'ushindi' wa Hillary kwenye debates leo siwaoni humu?
Manake walikuwa na ngebe kama wale wapenzi wa Golden State Warriors Raimundo lakini leo kimyaaaaaa.
Trump ni kama Cleveland Cavaliers....against all odds kaishangaza dunia😀😀😀.
Watu walivyokuwa wanaziamini opinion polls utadhani uchaguzi huwa unafanyika kwa hizo polls.
Somo la huu uchaguzi:
1] Upendeleo wa waziwazi wa vyombo vya habari ni mbaya sana. Unaweza ukatengeneza backlash.
2] Opinion polls si lolote si chochote. Ziamini at your own risk.
3] Kushinda debates si kushinda uchaguzi. Niliseme hili mara ngapi?
4] Trump kawashikisha adabu wengi kwa kutumia nguvu ya umma
5] Wamarekani mara nyingi huwa hawatoi mihula mitatu kwa chama kimoja. Hili nalo niliseme mara ngapi?