Pro-Hillary leo wako wapi?

Pro-Hillary leo wako wapi?

USA Baby..
Ila kusema ukweli sijawahi kukosea kama nilivokosea kwa Trump.

Kwanza, nilikosea kudhani kuwa hawezi kabisa hata kutangaza nia ya kugombea urais kwa sababu hayuko serious. Akatangaza nia.

Pili, nikakosea kusema kuwa hata akigombea basi hatavuka hata duru ya kwanza ya mchuano wa ndani ya chama chake. Jamaa katusua mpaka akapata uteuzi.

Tatu, alipopata uteuzi nikasema kuwa hawezi kabisa kumshinda Hillary na kwamba atagaragazwa vibaya mno. Napo nikakosea.

Na ile video ya 'grab them by the pussy' ilipovuja ndo nikazidi kujipa imani kuwa hawezi kabisa kupenya mbele ya Hillary. Sasa ona kilichotokea!

Nne, I am done betting against Donald Trump. I am done because I don't like to be that wrong.

I will never again bet against him. Never.
 
Hahah pole sana mkuu ww na Nabii TB Joshua, Achana na kitu kinaitwa Siasa.

Nakumbuka ulitaka kuweka $ 10,000 na BAK kama Trump akishinda ( km niko sahihi)

Sema nimependa sana DEMOKRASIA yenu hakuna Kulalamika mtu ana shindwa kihalali kabisa.

Kudos
 
Teh teh teh....mbona wale pro-Hillary walokuwa wanashangalia opinion polls pamoja na 'ushindi' wa Hillary kwenye debates leo siwaoni humu?

Manake walikuwa na ngebe kama wale wapenzi wa Golden State Warriors Raimundo lakini leo kimyaaaaaa.

Trump ni kama Cleveland Cavaliers....against all odds kaishangaza dunia😀😀😀.

Watu walivyokuwa wanaziamini opinion polls utadhani uchaguzi huwa unafanyika kwa hizo polls.

Somo la huu uchaguzi:

1] Upendeleo wa waziwazi wa vyombo vya habari ni mbaya sana. Unaweza ukatengeneza backlash.

2] Opinion polls si lolote si chochote. Ziamini at your own risk.

3] Kushinda debates si kushinda uchaguzi. Niliseme hili mara ngapi?

4] Trump kawashikisha adabu wengi kwa kutumia nguvu ya umma

5] Wamarekani mara nyingi huwa hawatoi mihula mitatu kwa chama kimoja. Hili nalo niliseme mara ngapi?
hahaha what a zero...Trump kashinda kwa sababu was running against people like you lakini your tiny brain like ubuyu huwezi jua hilo pole sana
 
Pole jipe mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23].

Halafu ushamaliza kulia?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nadhani tanzania waliona mbali sana na kuanza kuleta sheria za kupiga kabali vyanzo vya habari

Trump defeated establishments kwa kutumia nguvu ya access to info

Salute to him... There is surely mageuzi ya kweli duniani sasa
 
Mi nimefurahi mainstream media walivyoumbuka tu.
 
Mimi nilisema napenda Trump ashinde ili nione jinsi drama zitakavyokuwa

Nisubiri kuona wale Celeb wakitimka US.... Nisubiri kuona huuuuuuuuuuge wall kwenye mpaka wa Mexico....... Hivi hc atashtakiwa?,......Hivi wahamiaji haram watatimuliwa?

Kwa mtazamo wangu,Trump anaweza akawa Rais mzuri kutokea kuongoza us kwa miaka ya karibuni...... Jinsi watu wanavyoshangaa ushindi wake leo, ndivyo watakavyo shangaa mafanikio ya uongozi wake...... Trump tayari anazo nyumba zote tatu, tusubiri muda utatupa majibu ya mshangao kama yaliyotokea jana.
 
Ila kusema ukweli sijawahi kukosea kama nilivokosea kwa Trump.

Kwanza, nilikosea kudhani kuwa hawezi kabisa hata kutangaza nia ya kugombea urais kwa sababu hayuko serious. Akatangaza nia.

Pili, nikakosea kusema kuwa hata akigombea basi hatavuka hata duru ya kwanza ya mchuano wa ndani ya chama chake. Jamaa katusua mpaka akapata uteuzi.

Tatu, alipopata uteuzi nikasema kuwa hawezi kabisa kumshinda Hillary na kwamba atagaragazwa vibaya mno. Napo nikakosea.

Na ile video ya 'grab them by the pussy' ilipovuja ndo nikazidi kujipa imani kuwa hawezi kabisa kupenya mbele ya Hillary. Sasa ona kilichotokea!

Nne, I am done betting against Donald Trump. I am done because I don't like to be that wrong.

I will never again bet against him. Never.
Mbona unakua muwazi hivyo kiasi cha kutisha mkuu!!? Unakua muwazi kiasi cha kumkaribia Trump.
 
hahaha what a zero...Trump kashinda kwa sababu was running against people like you lakini your tiny brain like ubuyu huwezi jua hilo pole sana
Koba haupo peke yako katika hili. Mbona Nyani Ngabu na yeye amekiri vizuri tu kuhusu alivyokosea tangu awali!!
Kwanini usikubali kujifunza kitu, ubishi wa kibongo hautakusaidia.
 
Mi nimefurahi mainstream media walivyoumbuka tu.
Tunaelekea mwisho wamainstream media... Ndio maana at&t ksona avute mgomba wake autumie kama kilainishi tu cha kuingia kwenye tasnia

One good thing ni kwamba sasa tunashuhudia the end of mainstreams na miestablishment na wale wanakwerekwe wa "sisi ndio sisi" au " we are too big to fail"
 
Nisubiri kuona wale Celeb wakitimka US....

Sidhani kabisa kama kuna atakayehama Marekani. Hao walikuwa wanabipu tu. Kwanza watimke waende wapi?

Ona huyu yeye eti alisema atahamia Jupiter kama Trump akishinda😀. Nasubiri kwa hamu siku atayoenda huko Jupiter.

Cher Threatens to Move to Jupiter If Donald Trump Is Elected President

Kwa mtazamo wangu,Trump anaweza akawa Rais mzuri kutokea kuongoza us kwa miaka ya karibuni...... Jinsi watu wanavyoshangaa ushindi wake leo, ndivyo watakavyo shangaa mafanikio ya uongozi wake...... Trump tayari anazo nyumba zote tatu, tusubiri muda utatupa majibu ya mshangao kama yaliyotokea jana.

Mimi nishasema I'm not betting against him again. Never.

Mtu aliyewagaragaza akina Bush, Obama, na Clinton si wa kumchukulia poa huyo.

Jamaa ni kama amepiga kampeni peke yake na kawaburuza wote hao.

Hakuna kashfa iliyomkwamisha akiwa mgombea.

Sasa nini kitachomkwamisha akiwa rais na chemba zote mbili za bunge zikishikiliwa na chama chake?
 
Inaitwa wasiompenda kaja mboyoyo mingi mama anabebwa na media toka mwanzo BBC, TB Joshua,CNN ni ugoro mtupu hata kutangaza matokeo jana walikuwa wanajichanganya sana
 
CNN na wenzao MSNBC jana walikuwa nyuma ya FOX news katika kutangaza mshindi wa majimbo.

Hapa nilipo natamani hao CNN ningewatoa kabisa katika channel lineup yangu ya Direct TV.
 
Hivi Trump atatusaidia nini waafrika?
 
CNN ndo walikuwa in shock

hata kutangaza mshindi walishindwa....

kama walikuwa bado hawaamini.....

Sijui Hilary ana mkosi gani hadi Michigan nako wameenda Red...
 
CNN na wenzao MSNBC jana walikuwa nyuma ya FOX news katika kutangaza mshindi wa majimbo.

Hapa nilipo natamani hao CNN ningewatoa kabisa katika channel lineup yangu ya Direct TV.

CNN hadi Wolf kakutwa hajajiandaa
hadi Trump anaongea hawajamtangaza mshindi

sura za watangazaji zilikuwa kama msibani vile
 
3e6d6a619fe285ed7844d8d3acb7bcc9.jpg

Nadhani mmeelewa.

Hilary alipokuwa first Lady alienda West Bank na mke wa Yaasir Arafat...
akaona jinsi waisraeli wanavyo wanyanyasa wapalestina...

Waisrael wakamtangaza kuwa adui wao.....
kuna sehemu nilisoma hata alipokuwa anagombea u senator aliambiwa Jews dont like her

unaweza kupata hisia labda wamem set up
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom