Prime Minister Netanyahau speech on Congress

Prime Minister Netanyahau speech on Congress

Swali ni moja tu Je Natanyahu anaweza kwenda vitani na Iran, kama anaweza anangojea nini.
 
Anapata rasilimali watu kwa ajili ya technologia hasa za kivita kutoka Israel.

Sio kweli. Asilimia kubwa ya budget ya ulinzi israel inatoka USA. Hata nuclear alizonazo muisreal zimetoka usa. hiyo technolojia ipi? wataalamu wa kivita US wanatuka kila pande ya dunia. jews ni sehemu ndogo sana ya wataalamu hao na hata wasipokuwepo hawana madhara yeyote kwa mmarekani.

Acheni kuaminishiana uongo. Kwa kifupi israel bila USA sio lolote kwenye dunia hii.

Cheki kauli hii ya kujikomba kwa muamerika kutoka kwa Netanyahu: The values that unite us are more strong than the values that divide us
 
Nilikua naangalia aljazeera jana usiku, kumbe migogoro ya ya masharaki ya kati karibu yote inachochewa na USA, ISRAEL NA IRAN, sasa naona israel hataki kuona IRAN inakuwa na nguvu kwenye siasa za mashariki, kwa maana baghdad,damascus, na sanaa
 
ndikulonda

Kwa mawazo na akili kama hizi kaI bado ni kubwa kumbadilisha mtanzania.

Hivi kuna watu karne hii wanaamini na kuendekeza mambo ya chi ya ahadi sijui utabiri wa nani na taifa teule?

Aisee siku mkiujua ukweli mtakuwa huru.
 
Last edited by a moderator:
Ungekua unajua hayo yote usingeandika ule uongo kule juu...punguzen ushabik na mue mnajisomea kwanza kabla ya kuandika.

Uongo upo wapi vitengo vilivyo ndani ya hayo makampuni ambavyo vilihusika moja kwa moja vinamilikiwa na USA.
 
jebibay

Pole sana kwa kukusaidia kwa mfano ndani ya Rafael Adanced defence system kitengo cha makombora ambacho kipo chini ya kampuni ya Raytheon kinamilikiwa na USA.

Iron dome system inatumia teknolojia ya Patriot air ans missile defence system ambayo wangunduzi wake ni kampuni ya Raytheon ya USA.

Katika design ya iron dome system Raytheon ndiyo walipewa tender na Israel ya design itakayofaa kwa kutungua "unguided rockets" kutoka kwa wapalestina.
 
Last edited by a moderator:
Sasa anaenda kufanya nini marekani? hii ni mara ya tatu anaenda kuwapigia magoti na hata hivyo Obama kamvalia miwani ya mbao.
aende tu akashambulia yaishe.
SirChief
 
Last edited by a moderator:
Abunuas
Thubutu yake. Aende peke yake hana huo ubavu. Piga ua bila NATO na US hawezi. Narudia hawezi.
 
Last edited by a moderator:
Israel ndo chanzo cha migogoro yote mashariki ya kati, na sehemu mbalimbali za dunia. dunia bila chokochoko za israel kupitia misaada ya US ni sehemu salama kabisa kuishi.

Real jews needs to stop this utters nonsense query with her neighbours.
PACHOTO
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa nini bado unaendelea kumanipulate information na kuongeza na nyingine za uongo? inakusaidia nini? kwenye ulimwengu wa sasa wa internet hivi ni nani unaweza kumdanganya?

Hakuna kitengo kwenye kampuni hiyo ya Waisrael kinachomilikiwa na wamerekani kama unavyodai. Hapa unasema uongo wa wazi au umesikia maneno kijiweni na wewe ukaamua kuja ku-spew hayo maneno hapa bila kufuatilia usahihi wake.

Kilichopo ni ushirikiano kati ya hayo makampuni na mojawapo ya ushirikiano ni ule wa kutegengeneza system ya David's Sling. Israel wana systems kadhaa za defense ambazo ni Iron Dome, arrow 2, arrow 3, David's Sling na ninadhani kuna nyingine moja.

David's Sling (Magic Wind) ndio ambayo inatengenezwa kwa ushirikiano na hiyo kampuni ya ki-marekani Raytheon. David's Sling imekuwa designed kuzuia makombora ya masafa ya kati na masafa marefu. Hii vile vile inategemewa kureplace patriot defense system iliyotengenezwa na Wamarekani.

Iron Dome enterely imetengenezwa na waisrael kwa ajili ya kudeal na short range rockets and missiles kutoka Gaza na Lebanon (walipo Hezbollah).

Iron Dome ina kazi tofauti na David' Sling ambayo inafanya kazi zilizokuwa zinafanywa na Patriot Defense system na haitumii technolojia ya Patriot kama unavyodai.

Mwanzoni Iron Dome ilifadhiliwa na waisrael wenyewe na baadaye wamerekani nao wameamua kuchangia katika kufadhili hii system.

July 2014 ndipo ilipoamuliwa kwamba wamerakani kupitia Raytheon wafanye co-production ya Iron Dome nchini marekani. Kwa maneno mengine ni wamerekani wata-produce systems za Iron Dome ya Israel kule kule marekani.

Yaani wata-transfer technology hii ya Israel na kwenda kufanya production Marekani.

Hizi information ziko widely available na yeyote mwenye mtandao anaweza akazipata.
MEANDU
 
Last edited by a moderator:
crabat

Mkuu. Japo unajizuia lakini posts zako zinaonyesha fanatically ni jinsi gani unaichukia Israel kiasi kwamba simple facts unakuwa kama huzioni vile.

I know ungetamani Israel ibondwe na waarabu. But you forgot the high Price walioitoa Israel iliyopelekea kuweza kusimanisha taifa lao lenye nguvu kuliko yote pale middle East.

Pia unasahau ukweli kuwa vision na mission ya Hamas in kulifuta taifa la israel na kusimamisha utawala wa kiislamu. Na hii IPO kwenye katiba yao na every day wanaendelea kuhujumu ili sikumoja waweze kutimiza malengo. Bahati mbaya nyingine ni kuwa vision hii wana share all Muslims around the world and all Arabs. But against all odds Israel survives.

Which implies kuwa kama Arabs wangekuwa na mfupa mgumu basi ni wazi Israel isingekuwepo Leo hii.
Hizi hoja sijui ,"Fataki za hamas" ni kauli za ugaidi, uhalifu wa kivita na uchochezi. Vilevile Hazina weight. ukizingatia vita sio kama mchezo wa mpira wa miguu wa kulinganisha who wins and who loses.

Jeshi la Israel lilijengwa kwa lengo kuu la kujilinda(IDF)-Israel defence Force. That's it.

Sio kuwaangamiza waarabu na wala katika ya Israel haitamki kuwaangamiza waarabu wote.

So sometimes I wonder what if.

Sijui hali itakuwaje ikiwa Israel itatangaza kuwafuta waarabu kwenye USO wa dunia.kwasababu mpaka sasa mission na vision ya Israel is full accomplished lakini ile ya waarabu ya kuwafuta Israel is still a nightmere wish.

Israel wamebakiza one major issue to deal with. Kuhakikisha Iran hairutubishi madini ya uranium. Sio kupigana na Iran la! Bali Kuhakikisha Iran haitengenezi Bomu la nyuklia. Upo hapo?
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini sasa Israeli watengeneze nuclear bombs maana wanayo...2013
 
2013

IDF ni jeshi sawa na ISIS wanapewa mafunzo ya kuchukia wasio wayahudi ni extremists wa kiyahudi.

Limefanya uharamia sio gaza ma west bank tu bali uharamia wa kivita huko shabra na shatila Lebanon.

Liliua watu raia kwa maelfu.

Wamehusika na mauaji kwa wapelistine wengi sana.

Ni jeshi lisilo heshimu utu wa wasio mayahudi.

Linatumika kuwazuia wakristo kufika na kuwa huru kuzuru sehemu za historia na wanatamani wayavunje ili musiende kule.

Kelele za wapalestine ndio zinazuia hali hio.

Ndani ya palestine kuna 15% christians na wote wapo pamoja kudai haki zao Taifa lao.

Offcially palestine inatambuliwa na nchi 100 duniani ikiwamo Tanzania.

Mandela alisema bila ya uhuru wa palestine south bado kuwa huru.

Nyerere aliwafukuza wayahudi kwa sababu ni washenzi na waki support Aperthied policies na kuikalia Palestine.

Quraan inaeleza namna wayahudi walivo kuwa washenzi juu ya kupewa neema na Allah hivyo inahitimisha laana kwao.

Hii ndio maana laana itawafikia tu kila mara kwani ni wachafuzi.

Kupewa ardhi na wazungu hapo palestine sio guarantee kuwa wazungu wanawapenda

Its actual fact walifanya hivyo to get rid of them waondoke ulaya.

Chuki dhidi ya wayahudi sio hitler pekee ulaya nzima iliwachukia na Allies hawakuingia vita na hitler kwa sababu atawaua mayshudi bali kumzuia safari yake ya kuzikalia nchi za europe.

Nchi zote zaidi ya 110 zipo kwa kutambuliwa na sheria za kimataifa kupitia UN.

Un hawatambui mipaka kwa kutumia vigezo vya dini au historia.

Inabidi Un iidhinishe taifa lolote jipya ili kutambulika rasmi kama raifa huru.

UN inatambua kuwepo kwa Palestine na unaitambua kuwa ipi chini ya ukoloni na ukaliaji kimabavu wa israel

Kunacho zuia ni kura ta veto tu ya usa.

Lakini soon itakubaliwa kwani usa anajiina pekee ndio kikwazo bila sababu.

Wewe endelea kubakia kuwa goyim
 
Last edited by a moderator:
Kipindi cha Obama madarakani kimelihatarisha taifa la Israel kwaadui zake kuliko wakati wowote wa rais mwingine yeyeto. Na sii Israel to bali dunia nzima maana katika kipindi chake ndio vikundi kama boko haramu, Isis vimepata nguvu na mataifa kama Iran na Korea kaskazini kufanya majaribio ya silaha zao bila pressure yoyote.
 
crabat

Kwa taarifa yako hamas walirusha zaid ya 4000 rockets to israel kati ya izo 50% zilikua intercepted na iron dome na nyingine zilianguka jangwani(off target)....we hujiuliz kwa nni kati ya izo rockets zilizorushwa human casualty iliku very minimal yaani mtu 1?

Mkuu unajua kuwa maroketi yanayotengenezwa gaza ni ya kianyeji na hayana guidance system yoyote? Na unajua kuwa kama radar za Israel zilikia na kuwa code red watu wanaingia kwenye bunkers?

Unajua kati ya waliouawa Gaza militants walikuwa wangapi? na kwanini?
 
2013

Mkubwa umezungumza vizuri suala la Fanatism, nikijaribu kuangalia arguments nyingi za watu ni kama zinaelekea kwenye ushabiki wa kidini na sio facts.

Unajua si kweli kuwa Israel ni taifa lenye nguvu zaidi mashariki ya Kati. Kama ni kweli ingekuwa ni vizuri ukionyesha takwimu zinazothibitisha nguvu ya Israel ukilinganisha na nchi nyingine zote za middle East.

Kama unaongelea silaha za nyuklia, inawezekana ni kweli ni wao tu wenye silaha za nyuklia, lakini kumbuka kuwa kuna jambo limeshangaza wengi lakini hataki kuliongelea. Hamas kuua wanajeshi kadhaa wa Israel na kuonesha weakness ya IDF. And here we are talking of a terror group, not conventional army. I wonder what this will mean to you.

Sijui kama unajua Israel inategemea karibu kila kitu kutoka kwa Marekani, na jeuri yote na kelele zote za Israel zinatokana na Marekani sio Israel yenyewe. Hata ukiangalia ndege, vifaru, magari na defense systems za Israel unaona kuwa ni za Marekani. Ndio maana Israel inakuwa na wasiwasi sana inaposikia Russia au nchi za Ulaya zinataka kuwapatia teknolojia au silaha watu wengine wa mashariki ya kati.

Unaposema Israel ime accomplish mission yake sijui una maana gani (safe haven for jewish people), and i wonder whether you know that the country we call Israel today is the outcome of European efforts to get jews out of Europe. Na unaposema waarabu wanataka kuiangamiza Israel sijui una maana gani. Una maana waarabu wote? maana Jordan ni waarabu na allies wa Israel, Misri nako kuna waarabu wengi allies wa Israel. Unajua kuwa Iran ina wayahudi?

Security analyses zinaonesha kuwa hata kama ikitokea vita kati ya Iran na Israel, uwezekano wa Israel kushinda ni mdogo sana, even with nuclear bombs, na si jambo la busara kabisa. Without US, Iran ni ngoma nzito kwa Israel. Kama utakuwa unafuatilia kwa karibu unaweza kuona kuwa jumuiya ya kimataifa imempuuza Netanyahu, hata Marekani kwenyewe jewish people wengi wanaona Obama is right and Bibi is wrong,

Ni vizuri tukiwa tunajadili kwa facts na sio kwa kufuata Biblia au Koran.
 
Last edited by a moderator:
Nyetanyahu ni warmingaring na anakumbatiwa na congress men from republic ambao vita kwao ndo kama walokole na makanisa.

Chambuzi nyingi zimefanyika baada ya kuongea pumba zake... mfano 1993 Nyetanyau akiwa mbunge alisema IRAN inamiaka 3 mbele itakua na silaha za nuclear baadae tena 2007 akasema ayoayo 2013/14 UN akasema Iran imefikia 70% na ina mwaka mmoja mbele, sasa hizi pumba zaidi ya miaka 20 hivi huhu PM wa Israel hajioni mwehu na viongozi wengi.

Washamuona hamnazo viongozi km hawa ndo wameifanya IRAK iwe ivi leo yani ni mauaji na bado watu wanakuja na oja mfu za kidini..uko US kwenye wayahudi waliandama kumpinga nyatanyau kua hawakilishi wayahudi ila ushetani wake wa kuona damu inamwagika kila kona ya dunia, hivi wamarekani ni wehu kiasi gani pale nyetanyahu anapo compare IRAN ni sawa na kundi la IS kisa IRAN eti ISLAMIC RUPUBLIC OR IRAN ni Sawa na ISLAMIC STATE OF IRAK/SYRIA.
 
Back
Top Bottom