Bongolander
Mkuu Kusema Israel inaitegemea mAREKANI NI HOJA DHAIFU kwani hata Egypt, Saudia zinasapotiwa na marekani kijeshi lakini ni mataifa URu. Na Iran na nchi za kiarabu zimekuwa zikipewa support na Russia.Pia kuna ushirika mutually mfano; Saudi na USA: iashara ya mafuta, na Silaha na wanashea arch enemy mmoja(Iran).
Hii haimanishi kuwa Saudia ikipigana na Iran itapigwa.
Ukijana Israel na Marekani wana share adui mmoja(Iran) pia wanashirikiana kiintelijensia. mafunzo, na technolojia. The same applies to Great Britain (uncle Sam)
Vilevile Nchi za ulaya zimekuwa zikisapotiwa na Marekani Lakini hii haimaanishi kuwa zenyewe ni dhaifu kwa sababu ya mafungamano na NAto.
Kila taifa lina-enjoy ushirikiano na Marekani. Kwakuwa Marekani ni tajiri na inanguvu za kijeshi.
Kuhusu Nguvu za Israel pale Arabuni. historia inajieleza yenyewe. Sina haja ya kusifia.. pekua kitabu ama articals mbalimbali ujisomee.
Kitu gani kinakushawishi uamini kuwa Israel haiiwezi Iran. Kama ni propaganda Sadam alikuwa juu zaid yao. Tena kipindi kile anatumia makombora ya Scud. alikuwa wa NNe duniani kwa jeshi kubwa. Lakini alipoanza vita na USA. hivi majuzi hakurusha ndege mpaka anakutwa yuko shimoni na ndevu kilo saba.
Iran ni Giant na Israel ina eneo dogo. hata jeshi lake ni Dogo pia. Miakaile vita ilipoanza waisrael waliongeza maeneo kwa kuyateka.
mwaka 1967: The Israel Defense Forces (IDF) consisted of 275,000 troops, compared to the 456,000 soldiers of the combined Iraqi, Syrian, Jordanian and Egyptian armies. Lakini hii haikuzuia waarabu kupigwa.
Tangu mwaka 1948: israel haijawahi kuwazidi Waarabu kwa kila kitu:yaani kuanzia idadi ya ndege, Vifaru, Mizinga, majeshi, eneo, population. lakini hivi vyote haviku Mwezesha Goliath kutokupigwa na Daudi. Israel haijakaa pale middle East kilaini laini.
Uimara wa Iran unatokana na Umoja wao wa kitaifa zaidi. Na pengine wana maeneo mengi ya kujificha. Lakini Vita vitakapo anza udhaifu wa kila mmoja utakuwa dhahiri.
Kuhusu Israel kumiliki Nukes hili pia halina Ukweli. limebaki tetesi tu za mtaani. unless uje na artical. Israel wenyewe hawajawahi kulizungumza hilo. Pia kama israel wana Nuclear, kitu gani kitafanya Iran ishinde vita dhidi ya israel. Labda hujasoma nguvu ya Nyuklia vizuri. Ila kiufupi lile bomu la hiroshima na Nagasaki ni kiduchu tu ya ukweli wa sasa.
Kuhusu Obama kumpuuza Netanyahu: hii inawezekana kwa vile ni chama cha Democratic, ambacho mara zote hakina mafungamano na American jews. Isipokuwa sera za marekani nje ya nchi bado zina mafungamano mazuri na Israel.
pia kwa hali ilivyo duniani. USA wanajua wakijiingiza kijeshi kwa Iran, Ni rahisi kuipa mwanya Russia kuisapoti iran dhidi yao na Israel.Ukichukulia migogoro ya kuiuchumi inayozikumba nchi tajiri na vikwazo kwa Iran na Russia. KWahiyo wanachofanya ni kuepuka kufanya mambo kuwa-complicated. Kwa lugha nyingine. Kama unakumbuka sababu kuu ya israel kusimamisha six day War ilitokana na USSR kutishia kuingia vitani dhidi ya ISrael, kama haitasimamisha vita. Ndipo makubaliano ya kulazimishwa ya amani kati ya Egypt na Israel yakafanyika.
Na mwaka jana taarifa za kiintelijensia zinasema Obama alimtishia netnyau kuwa atatungua ndege zake(Israel) ikiwa zitakwenda kupiga maeneo ya kinyuklia ya iran. Japo Saudia ilimkubalia atumie ardhi yake. Sababu kuu utaona Obama sio mjinga bali anatazama repercussion itakayoibuka kwa mataifa makubwa kama China, Russia, ikiwa yataside upande wa iran. Pia hali hii inaweza kuigawa Europe. especially German. ambayo ni ally mwenzao.
Kama vile Israel isivyotaka Palestine iwe taifa kwa sasa ndivyo Waarabu hawakutaka Israel iwe taifa. Na mpaka tunavyozungumza leo hii Mission accomplished. Israel ni taifa Huru. (sovereign state). Palestine is not.
Pia kutumia matendo ya HAmas kama inferiority ya Israel ni kama kuleta Ubishi usio na maana. Naimani wananchi wa GAZA wanaielewa vizuri IDF vilevile HAmas.
kama nchini israel kungekuwa sio safe heaven Walowezi wasingepewa vitalu wakajenga. Kule. Zionism policy ingeshafeli. Kuhusu Ugaidi hata kenya , Nigeria ugaidi upo. hata china upo ugaidi.
link:
The Six Day War: Myths and Facts - Op-Eds - Arutz Sheva