Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,355
- 13,147
Obama kajikuta yupo peke yake.
Yeye kabakisha Miaka Miwili na Wamarekani wamemstukia Liislam Obama... kuwa ni jitu hatari kwa maslahi ya Marekani ndio maana wamemualika Kusudi Netanyahu... kumuonesha yeye si lolote kuhusu Usalama wa Israel na Marekani ni kitu Kimoja.
Netanyahu alishaidhinisha Ndege zikamalize Mitambo yote ya Irani ya Nuclear Obama akatia Kibessi kuwa ataitungua Ndege yeyote itakayokatisha anga la Iraq ambalo lipo chini yake.. Netanyahu akaagiza ma pirot waanze mazoezi ya kupita chini kwa chini hadi Marekani alipoomba utulivu kuwa ataongea na iran asimamishe huo Mpango.
Mpango ukaanza huku Obama akiacha Muda usogee ili Irani imalize Mipango ya Makombora... Sasa Mpango huo ndio upo Njiani kukamilika na Irani kesha Nunua silaha na kuzimodify sana hadi ishakuwa Tishia na Kwa marekani pia... huku Russia akichochea moto huu.
Netanyahu kaona isiwe Shida kama Obama anakwepa basi Wamarekani wa Kweli wanaihitaji zaidi Israel maana Marekani inaendeshwa na Jews sio Kenyan.
Ushindi upo Mbele Iran lazima apigwe.