Prime Minister Netanyahau speech on Congress

Prime Minister Netanyahau speech on Congress

TEKNOLOJIA
Hahaa... John Bolton is more than Dick Cheney and George W Bush combined.
 
Last edited by a moderator:
The values that unite us are more strong than the values that divide us:Nyetanyau kwa US
 
ndikulonda

Pole sana ndugu naona unasoma usichokijua. hao waisreal bila marekani hawana lolote kasome tena urudi. kama israel peke yake ana jeuri kaenda kulialia congress kfanya nini? kwa kifupi makubaliano ya USA na irani yanasainiwa ndani ya wiki chache zijazo na netanyau atabaki kaduwaa.

Teknolojia yote ya Iron dome defence system ni ya USA na pesa yote inayogarimia jeshi wanapewa na USA.
 
Last edited by a moderator:
Meandu, ni kweli dunia inabadilika lakini Mungu habadiliki.
Hata dunia nzima ingeunda jeshi moja dhidi ya Israel haitafanikiwa.Israel itashinda tu.

Sasa siakapige. kelele za nini? awaache waamerika waendelee na masiha yao.

Hitler aliwachinja wayahudi zaidi ya mil6. huyo mungu wao alikuwa ameenda likizo? kama sio jumuia za kimataifa kuwaokoa wangebaki historia tu.
 
Netanyahu amekula clap za kutosha... I guess wengi pale ni republican. I bet
Uchaguzi ujao netnyahu atashinda tena na kupewa tena madaraka ya kuendesha taifa la Israel.
 
Hitler aliwachinja wayahudi zaidi ya mil 6. mbona huyo mungu wao hakuwaokoa mpaka pale binadamu wengine walipoenda kuwaokoa? akili zako zimejaa matoke kumbe. obama hakutaka ugeni wake kwa sababu march 17 israel watakuwa kwenye uchaguzi na ofisi ya obama isingependa kuwa bias. jamaa anatafuta kick ya uchaguzi wapumbavu kama nyie waifia dini mnafikiria upuuzi-dini tu.

Bila shaka wewe na mimi tutakubaliana Iran ni karibu kutoka israel kuliko marekani. haikuwa na haja ya kusafiri kote huko, angeshambulia tu pale Iran. labda kama mexico au canada ndo inaitwa iran siku hizi basi hapo sawa.

ndikulonda
 
Last edited by a moderator:
ndikulonda

Sasa we tofauti na wanaounga mkono boko haramu ni ipi sasa?
 
Last edited by a moderator:
2013

Na lengo lake ndo hilo, jamaa ameng,ang,ania madaraka sijui anataka kuwa masiha. Maana wayahudi wanaamini kiongozi wa israel atakaefanikiwa kulijenga hekalu la tatu pale jerusalemu ndo atakuwa ndiye masiha anaesubiriwa.
 
Last edited by a moderator:
MEANDU

Unasema hivyo kwa sababu hujui Mungu anafanya nini juu ya Israel.

Amini nakuambia,hayo makubaliano wanayoenda kusainiana Obama na Iran yatabaki kwenye makaratasi tu lakini Israel itakivuruga tu kile kinu cha nyukilia cha Iran;utake usiake.
 
Last edited by a moderator:
crabat

Kwani kulikuwa na vita kati ya jews na hitler mkuu? acha mihemko.
 
Last edited by a moderator:
Abunuas

Mkuu mwaka Jana netanyahu alishajipanga kuishambulia Iran. Obama akamwambia akiona ndege inakwenda kule kupiga vinu vya Iran ataidondosha.

Japo Saudi walikuwa radi kuwapa njia. Kwahiyo Obama ana uzito katika hili.

Kuhusu netnyahu kujipa kiki za uchaguzi hii ni so obvious.
 
Last edited by a moderator:
Elungata

We unafurahia Iran kumiliki nyuklia wakati unajua waarabu ni wauaji. Isis wamekaa hapo iraq na vi eikei vote seven. Wameshachinja maelfu. Sasa dunia itabaki kweli ikiwa Hawa vichaa watamiliki mushroom boom?

Waarabu wenyewe wamekula kopi ya manabii wa Israel. Hivi moses anafurahia kuona watoto wake wananyanyasika kwenye promised land? Tafakari?
 
Last edited by a moderator:
crabat

We unafkiri israel haijui kwamba iran ita retaliate?..na je we unafikiri israel hana uhakika na air defence system yake kama ina uwezo wa kuzuia hayo makombora?..mossad watakua wanajua A to Z.

BTW sithani kama israel yuko tayar ku risk maisha ya raia wake kama anajua defense system yake haiko vizuri...ana uhakika ukiona ivo.
 
Last edited by a moderator:
ndikulonda

Nakupa pole tena na kasome zaidi utafaidikia. Kama hujui tu ni kuwa israel ana kinu cha nyuklia kama aliconacho irani.

Obama kamwambia netanyau aanze kwanza yeye kuondoa chake ndiyo aseme cha Iran.
 
Last edited by a moderator:
2013

Iran are not Arabs but Persians au wafursi kwa kiswahili sanifu.

May be umejichanganya kwa kuwa Shiite muslims wanaunganishwa na Iran duniani.

Lakini Iran km Iran si waarabu kama unavyoona Afghanistan kule wale ni half wahindi half kama Warusi.
 
Last edited by a moderator:
MEANDU

Iron dome ni ya US? Hivi unamjua founder wa iyo system ni nani?..Unamjua DANY GOLD wewe? embu google apo ndo ujue kama iron dome ni y US au la.

Halafu kuhusu us kuchangia budget yote ya ulinzi Israel sio kweli ngoja nikufunze kidogo.

Israel ana GDP ya $291 bl na anatumia $17b kwe military spending..na kati ya izo US anachangia $3 bl so izo $14bl zinatka kwe mikono ya wayahudi wenyewe.

Mkuu uwe na tabia ya kujisomea kidogo chuki haziwezi badili ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom