Prime Minister Netanyahau speech on Congress

Prime Minister Netanyahau speech on Congress

Not very long from now watu watatambua kuwa hali halisi ni tofauti na ndoto. Naona kila inapokuja kujadili suala la Israel na waarabu, kuna baadhi ya watu akili zao wanapeleka kwenye biblia as if things is 21 century are same as they were in 20th. They behave like some republican senators.

Realities are well far away from myths and believes
 
this speech is one of the most disrespectful things that has ever occurred in the congress. They should never expect the unanimity of ideals in their union, however they can stay united. For the republican party allow this man to speak over their president is a disgrace and a disrespect to the republican party itself. This is treason..!!

They call it treason gate. Now looks like GOP is behaving line a stupid person, whose main mission is just to oppose oppose oppose.....looks like the speech itself did not help BIBI that march, his support dwindled even further. Though he has a slight short of retaining premiership as a loser, still his government is very unlikely to last.
 
Israel is selfish and only care for themselves and their country. What Obama did is to care world peace. Israel is the bad diplomatic country over there. There's a reason why most of the world hates them, it can't be coincidence at all. No wonder people over the history have tried to wipe them off the face of the earth because of their actions.

Well i wonder how that is true. By history may be you mean since 1948, because that is when they as country started to exist. When they were being killed they did not have a country, the country they have now started to exist in 1948.
Unless some zealot comes and tell you according to the bible they had a country, the fact is the country called Israel is way younger than Tanganyika and Zanzibar.
 
Bongolander of course the history of Israel state starts in 1948 but the real Israelites (people) if they are available their history is way back in the BCs.
 
Last edited by a moderator:
2013
Uncle Sam is not Great Britain

sawa mkuu nimekutana na terminologies hapa ya Uncle Sam na John Bull
Did-the-USA-save-Britains-ass-in-WW2-Uncle-Sam-and-John-Bull-slug-it-out-300x300.jpg
1_123125_123073_2240479_2258782_100702_ex_unclesamtn.jpg.CROP.original-original.jpg
John-Bull.jpg
Z
 
Bongolander of course the history of Israel state starts in 1948 but the real Israelites (people) if they are available their history is way back in the BCs.
mh! I think otherwise.. Palestines are Arabs in general But Jews are the reason of Israel existence.
To add more salt in a wound (Gangrene)Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said Monday there would be no Palestinian state if he were reelected
 
2013

Porojo at its best mpk leo mnaongelea habari za mwaka 67, shtuka usingizini mkuu, things are change na iran wako vizuri kwa sasa.
Hata kipindi hkile walikuwa vizuri mbona.. hayo maneno tu yako kwenye kanga.. matendo ndo kila kitu..
 
2013

IDF ni jeshi sawa na ISIS wanapewa mafunzo ya kuchukia wasio wayahudi ni extremists wa kiyahudi.

Limefanya uharamia sio gaza ma west bank tu bali uharamia wa kivita huko shabra na shatila Lebanon.

Liliua watu raia kwa maelfu.

Wamehusika na mauaji kwa wapelistine wengi sana.

Ni jeshi lisilo heshimu utu wa wasio mayahudi.

Linatumika kuwazuia wakristo kufika na kuwa huru kuzuru sehemu za historia na wanatamani wayavunje ili musiende kule.

Kelele za wapalestine ndio zinazuia hali hio.

Ndani ya palestine kuna 15% christians na wote wapo pamoja kudai haki zao Taifa lao.

Offcially palestine inatambuliwa na nchi 100 duniani ikiwamo Tanzania.

Mandela alisema bila ya uhuru wa palestine south bado kuwa huru.

Nyerere aliwafukuza wayahudi kwa sababu ni washenzi na waki support Aperthied policies na kuikalia Palestine.

Quraan inaeleza namna wayahudi walivo kuwa washenzi juu ya kupewa neema na Allah hivyo inahitimisha laana kwao.

Hii ndio maana laana itawafikia tu kila mara kwani ni wachafuzi.

Kupewa ardhi na wazungu hapo palestine sio guarantee kuwa wazungu wanawapenda

Its actual fact walifanya hivyo to get rid of them waondoke ulaya.

Chuki dhidi ya wayahudi sio hitler pekee ulaya nzima iliwachukia na Allies hawakuingia vita na hitler kwa sababu atawaua mayshudi bali kumzuia safari yake ya kuzikalia nchi za europe.

Nchi zote zaidi ya 110 zipo kwa kutambuliwa na sheria za kimataifa kupitia UN.

Un hawatambui mipaka kwa kutumia vigezo vya dini au historia.

Inabidi Un iidhinishe taifa lolote jipya ili kutambulika rasmi kama raifa huru.

UN inatambua kuwepo kwa Palestine na unaitambua kuwa ipi chini ya ukoloni na ukaliaji kimabavu wa israel

Kunacho zuia ni kura ta veto tu ya usa.

Lakini soon itakubaliwa kwani usa anajiina pekee ndio kikwazo bila sababu.

Wewe endelea kubakia kuwa goyim
Mkuu pitia kidogo taarifa tofauti > Achana na hizo zinazopikwa na Qatar medias naAljazeera. Mtafute kijana wa Mwasisi wa kundi la Hamas. Anaitwa MosabHAssan Yousef.. Usikilize Yourtube, mikutano yake. Umsikilize maswali anayoulizwa na kile anahojibu. ujue the dark side of hamas and Muslim world ambao huwa huambiwi au ukiambiwa unasimamiwa akili ufikiri wanavyotaka. I hope you''l learn something entirely new there..
 
Mkuu pitia kidogo taarifa tofauti > Achana na hizo zinazopikwa na Qatar medias naAljazeera. Mtafute kijana wa Mwasisi wa kundi la Hamas. Anaitwa MosabHAssan Yousef.. Usikilize Yourtube, mikutano yake. Umsikilize maswali anayoulizwa na kile anahojibu. ujue the dark side of hamas and Muslim world ambao huwa huambiwi au ukiambiwa unasimamiwa akili ufikiri wanavyotaka. I hope you''l learn something entirely new there..

Mkuu unatakiwa kuangalia mambo in very objective way. Two wrongs will never make a right. Unyama wa waarabu dhidi ya wayahudi unatokana na ukatili dhidi yao. Ukumbuke kuwa wazungu Ulaya walisema no more jews in Europe, tatizo wanalokutana nalo waarabu sasa walikutana nalo wazungu zamani sana ndio maana waliamua kuwarudisha middle east. Pamoja na kuwa napinga sana ugaidi na unyama dhidi ya wayahudi, lakini ujue kabisa kuwa kuna watu wanaopenda unyama huo ili kuhalalisha uwepo wao kisiasa
 
Hata kipindi hkile walikuwa vizuri mbona.. hayo maneno tu yako kwenye kanga.. matendo ndo kila kitu..

hebu tujadili yanayoendelea tuachane na mambo ya miaka 40 iliyopita .....labda nikuulize we unadhani nini solution ya kudum ambayo itamaliza mgogoro mashariki ya kati?
 
hebu tujadili yanayoendelea tuachane na mambo ya miaka 40 iliyopita .....labda nikuulize we unadhani nini solution ya kudum ambayo itamaliza mgogoro mashariki ya kati?

Solution pale ni USA na RUssia kuondoa mikono na interests zao, kitu ambacho hakiwezekani tena kwani mashindano ya kiuchumi na kiushirika yanawalazimu kupata wafuasi pale...
Na ninahisi weapons business ina flourish mahali pale kwani waarabu ni rahisi kuwakoroga wakaanza kuchinjana..

Plan B:
Kikundi cha Kigaidi cha HAMAS kipigwe Ban. Kile ndio Tatizo la Amani pale mashariki ya kati. kuna tofauti kati ya Resistance na Revenge. Hiki kikundi NDio kinachobaka ustawi wa wapalestina.Kimebeba extremist ideology za kuangamiza taifa la Israel( Na hiii ipo hadi kwenye katiba yao. ) na ku-humiliate wapalestina wanaojaribu kuokoa maisha yao inapotokea vurugu. Ndio kinafanya Israel iendelee kuweka ngumu kwenye baadhi stipulations. Ndio kinachotekeleza mashambulizi ya kigaidi dhidi ya Raia wa Israel wasio na HAtia. Na kupelekea kuibuka kwa vurugu. Nitoe mfano: Hii vita ya GAZA wao ndio waliokuwa wameshikilia maamuzi iishe ama iendelee. Ninaimani kutokana na Ego, Taifa huru(sovereighty state) kama Israel halitakubali kujisalimisha kwa magaidi.

hata hivyo kikundi hicho cha kuchimba tunnel na kuua watu hakijapewa pressure inaostahili ili kitokomee.
 
kama ixrael n jembe c wakashambulie iran km wataweza?ixrael kila xiku wanajambajamba kuwa wanaxhamblia iran
 
Back
Top Bottom