Prime Minister Netanyahau speech on Congress

Prime Minister Netanyahau speech on Congress

MEANDU

Jiulize inakuaje Congress inamwalika Netanyahu awahutubie bila hata ya Obama kujua.Obama hana lolote ni mpagani kama wapagani wengine.

Hajui mambo ya kiungu na unabii unasema nini juu ya Israel sasa. Kumbuka bila Israel,Marekani si chochote.

Netanyahu ameingia Marekani kuhutubia congress bila Obama kujua halafu unasema Obama Obama.

Zama ndani ya imani halafu utajua kinachoendelea Israel katika ulimwengu wa roho.
 
Last edited by a moderator:
Elungata netanyahu katika hotuba yake amenukuu maneno ya Moses alipowatoa wana wa israel utumwani misri kwenda kwenye promised land.

Israel haitaki historia ya vifo vya wayahudi ijirudie duniani.
 
Last edited by a moderator:
@SirChief

Siyo kila kitu unachogoogle ni sahihi. kamsikilize vizuri netanyau kwenye hotuba yake leo. Ila kwa kukusaidia tu Danny ailikuwa mkuu wa kitengo cha utafiti. Wapo wataalamu wengine zaidi yake waliofanya hiyo kazi. Na nukuu maneno yake.

"We picked the best in the entire country," Gold told Yisrael Hayom (Israel Today) in 2012. "We had 70-year-old missile experts working alongside 25-year-old engineers fresh out of college, working shoulder to shoulder without any hierarchy. It was like running 15 serious start-up companies at the same time, all of which have to work in harmony with one another and be successful in record time."


Vilevile kwa kukusaidia tu:


Iron Dome is comprised of three key components:

(1) the design and tracking radar, built by the Elta defense company;
(2) the battle management and weapon control system, designed by the mPrest Systems software company; and,
(3) the missile firing unit, manufactured by Rafael Advanced Defense Systems Ltd

 
Mlaleo

Childish and rubbish, Israel hana ubavu wa kuipiga Iran hata siku moja
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1425428142.037357.jpg
 
SirChief
Diplomacy 101: Don't bite the hand that feeds you.
 
Last edited by a moderator:
SirChief

Defence gani anashindwa na fataki za hamas tu itakuwa misiles.
 
Last edited by a moderator:
Nyetanyau Liar say Sarkozy

"He's a liar," Sarkozy says of Israeli PM, a French website reports
"You're tired of him; what about me?" the site quotes Obama as responding
Neither leader's office would comment on the report
An Israeli lawmaker says the report is "unpleasant" but not news

Journalists covering last week's economic summit overheard French President Nicolas Sarkozy blasting Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu as a "liar" during a talk with U.S. President Barack Obama, according to published reports.

The private conversation was inadvertently carried by open microphones before an Obama-Sarkozy news conference on the sidelines of the Group of 20 economic summit in the French resort of Cannes. Its contents were first reported by the French website Arret Sur Images, which said reporters heard Sarkozy's comments in French and Obama's reply through a translator.

"I can't stand him. He's a liar," Sarkozy said of Netanyahu, according to the website.

Obama replied, "You're tired of him; what about me? I have to deal with him every day," the site reported.

Arret Sur Images ("Freeze Frame" said journalists had listened in on the conversation but had agreed not to report it. The Reuters and Associated Press news services confirmed that report Tuesday.

"We didn't record it, and to use it would force us to admit that we had cheated," Arret Sur Images quoted one of the reporters who heard the conversation, whom it did not name. "Also, it would have caused great problems for the people responsible for the event's organization."

Dan Israel, the Arret Sur Images writer who broke the story, told CNN that about three minutes of the leaders' private conversation could be heard.

"It was a mistake by the organization for the G-20 summit," Israel said. He said journalists agreed among themselves to consider the remarks off the record because they didn't want to get a summit staffer heard into a "rough patch" after he disclosed that the audio could be heard. But the word spread rapidly among journalists in Paris, prompting Arret Sur Images to start chasing the report, he said.

"Some of them did give me the quotes, and others just confirmed the quotes," Israel said.

The report was met with silence from the Elysee Palace, the French president's office, which did not respond to requests for comment.

In Washington, White House spokesman Jay Carney said he had no comment on the conversation or Obama's response but said, "The president's position has been quite clear on the issue of efforts by the Palestinians to achieve through the U.N. what can only be achieved effectively through direct negotiations."

Netanyahu's office also had no comment. But in the United States, the Anti-Defamation League said it was "deeply disappointed and saddened" by the private conversation, warning that it could hurt ties between Israel and two key players in the Middle East peace process.

"President Obama's response to Mr. Sarkozy implies that he agrees with the French leader," ADL Director Abe Foxman said in a written statement. "In light of the revelations here, we hope that the Obama administration will do everything it can to reassure Israel that the relationship remains on a sure footing and to reinvigorate the trust between President Obama and Prime Minister Netanyahu, which clearly is not what it should be."

A member of Netanyahu's coalition in the Knesset, Israel's parliament, said "there is not much love lost" between the Israeli leader and his counterparts.

"It's unpleasant," said Einat Wilf, whose Independence party is allied with Netanyahu's ruling Likud. "Of course, we would all like to be loved and all love to have great relationships with each other, and I'm sure it would be nicer to know that our prime minister is loved. But at the end of the day, what did Machiavelli say? It's more important to be feared than loved."

Israeli opposition leaders have questioned Netanyahu's honesty before, but Labor Party lawmaker Daniel Ben-Simon said he was "ashamed" that the leaders of two of Israel's top allies "could characterize my prime minister as a liar."

"If the most friendly leaders say that about my prime minister, what do others say about him who are not as friendly?" said Ben-Simon, the head of the Israeli-French Parliamentary Association."If he lies to them, he must be lying to Israelis as well."
CNN
 
Obama kashamjibu na kumwambia hana jipya stori zake ni zile zile za kila siku ambazo ni kulaumu tu bila suluhisho kulitoa.

Nmemsikiliza BBC asubuhi kamdis vibaya na kutupilia mbali upuuz wake. Kasema hana jipya, hana plan B ya kutatua tatizo zaidi ya kuleta porojo tu.
 
SirChief hakusema Danny peke yake ndiye mhusika kama ambavyo unaeleza hapa.....alikutajia Danny katika kupinga maneno yako ya uongo (au ya ujinga) kwamba Iron Dome ni technolojia ya wamarekani, kwa sababu Danny ni kati ya watu muhimu kwenye hiyo project na hivyo ni rahisi ku-google na kupata information zake ikiwa ni pamoja na wengine wote waliohusika.

Kwenye post yako aliyokujibu wewe ulisema kwamba Iron Dome ni technologia ya Marekani ! (Obviously kwa hili ulionyesha jinsi ambavyo hujui lolote kuhusiana na Iron Dome) na SirChief akakujibu kwamba sivyo kwa facts.

Sasa wewe unakuja hapa as if unampinga lakini facts zote ulizozitoa hapa chini zina-confirm alichokwambia SirChief kwamba Iron Dome ni technologia ya wa-israel. Ni kweli wamerekani wamechangia ku-fund hii project lakini si ya kwao na hata kama wasingechangia bado isingeleta tofauti kubwa.

Nadhani uli-google baada ya jamaa kukupa challenge lakini information uliyoitoa ime-confirm alichokwambia !. Ulitakiwa ugoogle kabla ya kuja hapa mwanzoni na ku-spew u-ignorant wako.

Na kukuthibitishia kwamba ulikuwa hujui lolote kabla ya jamaa kukujibu na wewe ku-google na kujifanya sasa ni expert, nadhani utakubaliana na mimi kwamba mtu anayejua haya yote uliyoyaandika hapa chini hawezi tena mtu huyo huyo akasema kwamba Iron Dome ni technolojia ya wamarekani.
MEANDU
 
Last edited by a moderator:
MEANDU
Ni kweli ina system Marekali alitoa msaada wa fedha wa system ya kukonctrol Radar na Missile attack vingine walijitegemea.
 

Attachments

  • 1425445799766.jpg
    1425445799766.jpg
    60.8 KB · Views: 115
Last edited by a moderator:
MEANDU

Kwa nyongeza tu hii battle management system and control ndio US waliyoigaramia na hapa Balozi wa Us akitembelea ilipo system Tel aviv.
 

Attachments

  • 1425446940624.jpg
    1425446940624.jpg
    90.9 KB · Views: 105
Last edited by a moderator:
crabat

Kwa taarifa yako hamas walirusha zaid ya 4000 rockets to israel kati ya izo 50% zilikua intercepted na iron dome na nyingine zilianguka jangwani(off target)....we hujiuliz kwa nni kati ya izo rockets zilizorushwa human casualty iliku very minimal yaani mtu 1?
 
Last edited by a moderator:
SirChief

Ni fataki au fire works kama za wahindu wanazo ripua wakati wa diwali.sio rocket
 
Last edited by a moderator:
Mbona miaka iliyopita Israeli ilisambaratishwa yote, kipindi hicho mungu alikuwa nani mpaka wa Israeli wakapigwa na kusambaratika wote, mpaka waliporejea 1948,na naamini watasambaratika tena na kupigwa vzr tu, subiri USA ianguke
 
MEANDU

Ungekua unajua hayo yote usingeandika ule uongo kule juu punguzeni ushabiki na mue mnajisomea kwanza kabla ya kuandika.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom