Prime Minister Netanyahau speech on Congress

Prime Minister Netanyahau speech on Congress

Matajiri wengi Israel ni Jewish -American! Wenzetu intelijensia Yao "Mossad " haipepesi macho!
 
sembuli

Nje ya congress wapo waisrael wanampiga netanyau kuwa hayo mawazo ni yake binafsi na siyo ya waisrael, Aljazeera wamewaonyesha.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa kasema hata asiposaidiwa atapiga mwenyewe, Ila kaamua kumshirikisha kiujirani mwema.
 
MEANDU
Hizi Tv kama Aljazeera zipo kujibu tv za kimagaribu tena kwa propaganda na ndio malengo ya kuanzishwa kwake.
 
Last edited by a moderator:
MEANDU
Kaka waisrael wapo Israel, hao wanaompinga nje marekani ni waarabu wamevaa mwamvuli wa Israel.

Ni mbinu Ya kivita Ya Israel ambayo " surprise ur enermy by hitting first fast and hard.
 
Last edited by a moderator:
Analialia nini sasa, yeye kama kidume apige tu iran wazichape, ukiona hivi ujue ni dalili za uoga.

Wewe baada ya kulianzisha unaanza kulilia watu ooooh ntaenda mwenyewe!!! Si uende sasa tukuone, au humuoni Mrusi akitaka lake, yeye hulianzisha tu, nenda kapigane acha kelele.
 
sembuli nakubaliana na wewe kua intelijensia yao "MOSADI" haipepesi macho.
 
Last edited by a moderator:
The Boss

Netanyahu has got a stone heart when it comes to Palestines and Arab neighbors. I needed to understand why, could it be because of losing his brother( Yoni Netanyahu) in Entebbe rescue operation that he doesnt want to reconcile with the past? The world is moving forward he is stagnating there.
 
Last edited by a moderator:
Ta Muganyizi

Propaganda tupu. Wamarekani nao wanaweza kuamini hilo kuwa Iran ana uwezo wa kuisambaratisha US. Wayahudi kwa hila na gilba nawakubali. Hata Jesus walimletea hila na fitina chungu nzima.

Tukisema Israel haina ubavu wa kuipiga Iran Ishmael anasema wanaweza. Ona sasa Netanyahu anatumia hata uongo na upotoshaji ili asaidiwe.
Iran inaweza kuwa defeated only kama NATO na US wakiamua, siyo.Israel.

Kamwe Muisrael peke yake hamuwezi Muiran.
 
Last edited by a moderator:
Ma Goyim hawakosekani lazima wataji onesha.
 
lusungo
Inawezekana, calculations zilivokaa, speech sasa halafu uchaguzi in few weeks.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom