Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Wengine Primary school atukusoma bongo
<br /><font size="3"><b>mkuu walikuwa wanaruhusiwa kuvaa hereni primary???</b></font>
wewe lazima umesoma primary moja dodoma mie nakumbuka tulikuwa tunavaa magauni ndani kiblauzi sasa wakati wa joto mchana tulikuwa tunatoa viblauzi siku moja nikainama nyonyo nje mwanaume mmoja acha aing'ang'anie siku hiyo nililia nikampeleka kwa teacher mwanaume yule namkumbuka jina mpaka leo sijui yuko wapi mshenzi yule.
Nimemaliza la saba hapo 1997. wewe ulimaliza lini? Unaweza kuni-pm?nakumbuka siku za usafi zilikuwa jumatatu na alhamisi, kiranja pamoja na mwlm wa zamu walikuwa wanapita kukagua usafi. wanaangalia nywele, meno, uniform, sox viatu na makucha. Wakati niko darasa la sita shule ya msingi Gedeli Nyakato Mza, darasa letu lilikuwa na madirisha makubwa kama milango. Tulikuwa tumeweka watu spesho wa kuangalia ni mwalimu yupi anakuja, kama ni mkali na mtu hajaandika notisi basi ataruka dirisha na kujificha vichakani mpaka mwalimu amalize somo.
<br />Unakumbuka ile staili ya kutupa vioo chini karibu na wasichana kusudi uone chupi au nani......?!
Una hitaji kukutana nae?wewe lazima umesoma primary moja dodoma mie nakumbuka tulikuwa tunavaa magauni ndani kiblauzi sasa wakati wa joto mchana tulikuwa tunatoa viblauzi siku moja nikainama nyonyo nje mwanaume mmoja acha aing'ang'anie siku hiyo nililia nikampeleka kwa teacher mwanaume yule namkumbuka jina mpaka leo sijui yuko wapi mshenzi yule.