Primary school!! Ilikuwa burudani kwangu

Mi namkumbuka mwalimu wangu wa sayansi alikuwa anapenda sifa huyo,basi anaingia darasani anaandika ubaoni,SAYANSI,halafu anasema kwa wale watakaoenda sekondari,somo hili linaitwa SCIENCE,TUNGAMO mtaita MASS,UZITO mtaita WEIGHT n.k,yaani alikuwa anajifanya anajua sana!

sio kujifanya alikuwa anajua kweli.

Nakumbuka mi' nilishindwa kupitisha mkono kuzunguka kichwa kushika sikio la upande wa pili, nikatupwa chekechea aka vidudu, lakini baadae maza akaja kwa headticha sijui alitoa kitu kidogo,kesho yake asubuhi nikaitwa nikaungane na wa la kwanza.

Nakumbuka mi' nilishindwa kupitisha mkono kuzunguka kichwa kushika sikio la upande wa pili, nikatupwa chekechea aka vidudu, lakini baadae maza akaja kwa headticha sijui alitoa kitu kidogo,kesho yake asubuhi nikaitwa nikaungane na wa std one.

Nakumbuka kibaoni primary Hai nlikuwa nakula chakula cha waalimu,tunaenda kulima mashamba ya waalim na wazazi wetu walikuwa wanaturuhusu!nayakumbuka sana mashindano ya umitashumta ili kuwa raha sana jamani!waalim wangu tunaheshimiana sana mpaka leo!
Dah siwezi kusahau enzi hizo nipo darasa la SITA Mawenzi Primary ,nilikuwa nasumbuliwa sana na kifua hasa nyakati za baridi.Ilikuwa ni kwenye michezo ya umishumta kabla ya kubadilishwa jina na kuitwa umitashumta ngazi ya mkoa Namba nane ni ya kwangu uwanjani kama SUNDAY OLISEH enzi hizo.BAsi nikabahatika kuchaguliwa timu ya Mkoa ili kwenda kushiriki ngazi ya Taifa Mwaka huo ilikuwa TANGA,Sasa siku ya safari mwalimu wa michezo anashangaa mbona nahemea juu juu kumbe naficha ugonjwa ili nisibakizwe Moshi sema ticha alikuwa muelewa na alinipenda sana akasema nitapona mbele ya safari,Basi huko mbele nilizidiwa mpaka nikalazwa Bombo hospito ilikuwa balaa.

Primary yetu wavulana tulikuwa na tabia ya kuwashika matiti wasichana na kuwatekenya hata ukutane naye wapi ilikuwa lazima umshike tu

Kwa wale waliosoma Karume Primary, Magomeni miaka ya 1980 mnakumbuka mihogo na juice kwa mzee GUDI!!!!???

Nakumbuka shule ya msingi, choo kilikua cha shimo na mlango ni gunia..... si unajua vijijini kuchambia ni magunzi enzi hizo au mlango wenyewe kwa maana ya gunia. Ukiingia chooni ule mlango wetu (gunia) kila sehemu lina kinyesi.... lakini utajidai kuna sehemu ambayo ni safi na utachambia hapo..... Najiulizaga kungekua na magonjwa km siku hz sijui ingekuwaje........ I still have those sensational memories.......

So disgusting.!

Minakumbuka jamaa yangu mmoja alikuwa anapenda kula dengu kilichofuata ilikuwa ni mashuzi tu.

Primary yetu wavulana tulikuwa na tabia ya kuwashika matiti wasichana na kuwatekenya hata ukutane naye wapi ilikuwa lazima umshike tu

kuna haja ya kuanzisha seminary za watoto wa primary xcul.!

nakumbuka siku za usafi zilikuwa jumatatu na alhamisi, kiranja pamoja na mwlm wa zamu walikuwa wanapita kukagua usafi. wanaangalia nywele, meno, uniform, sox viatu na makucha. Wakati niko darasa la sita shule ya msingi Gedeli Nyakato Mza, darasa letu lilikuwa na madirisha makubwa kama milango. Tulikuwa tumeweka watu spesho wa kuangalia ni mwalimu yupi anakuja, kama ni mkali na mtu hajaandika notisi basi ataruka dirisha na kujificha vichakani mpaka mwalimu amalize somo.

Mkuu umenikumbusha enzi za primary tulikaririshwa cku za kuoga ni j pili,jtano,na ijumaa manake ndo zilikuwa cku za kukaguliwa usafi shuleni.

Mi nakumbuka miaka ya 80 nikiwa Mhovu Pr. School. Tulikuwa ntu tatu matata sana ambao kwetu bakora na adhabu zingine si tatizo na kwa maana hiyo hata viongozi walituogopa balaa kwa maana wakithubutu kuturipoti kwa waalimu, tunachapwa ila baadaye njiani kibao tunawageuzia wao: bakora njia nzima hadi nyumbani. Wakituripoti tena tunafanya vilevile basi wakanywea na tukawa tunapeta tu.

Primary yetu wavulana tulikuwa na tabia ya kuwashika matiti wasichana na kuwatekenya hata ukutane naye wapi ilikuwa lazima umshike tu
wewe lazima umesoma primary moja dodoma mie nakumbuka tulikuwa tunavaa magauni ndani kiblauzi sasa wakati wa joto mchana tulikuwa tunatoa viblauzi siku moja nikainama nyonyo nje mwanaume mmoja acha aing'ang'anie siku hiyo nililia nikampeleka kwa teacher mwanaume yule namkumbuka jina mpaka leo sijui yuko wapi mshenzi yule.

nakumbuka siku ya kwanza kuanza std one pale jangwani pr school swanga siku iliahirishwa kesho yake tukaja anza rasmi, kitendo cha kuahirishwa kwa siku ya ufunguzi wa shule kimeishi kwenye mind yangu kila shule niliyopita nilitamani hiyo kitu irudie. nikiwa std four Songea huko tulikuwa na mtindo wa kuwakatia viuno watoto wa kike darasani hasa wakiinama basi unakimbilia nyuma yake unamkatikia km mambo flani hivi. mbaya zaidi mwl alituchanganya kila dawati mnakaa msichana na mvulana basi mie nakimbiia kukaa mwanzoni mwa desk naacha demu akae upande wa ukuta na nahakikisha nawahi kukaa kabla yake, anapokuja yeye si atapita mbele yangu basi namvuta ananikalia basi namkatikia darasa zima linashangilia huo ulikuwa mtindo wa wavulana wote. kuna demu alikuwa mbaya na mchafu wavulana wote walikuwa hawamkatikii hata iweje, ktk kutafuta kuchekesha darasa, kuna siku nilimnyang'anya eni yake nikaitupa chini mbele ya darasa yeye hakujua nachotaka kufanya alipokwenda kuokota hakujua nipo nyuma yake ile kainama tu nikakamata kiuno style ya mbuzi kagoma kwenda katiiiiiiika mtoto darasa zima linashangilia. cha ajabu hakuna hata siku moja mtoto wa kike alishtaki kwa mwl. nikikumbuka namuomba tu mungu anuisamehe!

mkuu walikuwa wanaruhusiwa kuvaa hereni primary???

Mi nakumbuka pale kurasini primary school'kuna mwalimu alikuwa anaitwa kamage alinifanya nichukie shule jamaa alikuwa anachapa bakora mpaka nlikuwa cna hamu ya shule"nakumbuka kulikuwa na mwalimu wa kike anaitwa mwalim awazi alikuwa mrembo balaa'najaribu kukumbuka sa hvi atakuwa yupoje mana ni miaka15 sasa tangu nimalize'ila sitawasahau rafiki zangu costantine maro,james,denis ngido,khalid sultan,john charles,ester philipo,abraham mgeni huyu ni marehemu,ilikuwa raha sana,mbaya zaidi nlikuwa sipendi shule mpaka najishangaa!!!.

Mi nakumbuka miaka ya 80 nikiwa Mhovu Pr. School. Tulikuwa ntu tatu matata sana ambao kwetu bakora na adhabu zingine si tatizo na kwa maana hiyo hata viongozi walituogopa balaa kwa maana wakithubutu kuturipoti kwa waalimu, tunachapwa ila baadaye njiani kibao tunawageuzia wao: bakora njia nzima hadi nyumbani. Wakituripoti tena tunafanya vilevile basi wakanywea na tukawa tunapeta tu.

Mh.! Mie hata nlikuwa sijazaliwa..

wewe lazima umesoma primary moja dodoma mie nakumbuka tulikuwa tunavaa magauni ndani kiblauzi sasa wakati wa joto mchana tulikuwa tunatoa viblauzi siku moja nikainama nyonyo nje mwanaume mmoja acha aing'ang'anie siku hiyo nililia nikampeleka kwa teacher mwanaume yule namkumbuka jina mpaka leo sijui yuko wapi mshenzi yule.

Mmh.! Kweli hafai kabisa, mara mia angeiramba kwa juu tu ya c*uchu..akaiacha , mshenzi kabisa

Hivi hiki kizazi cha dot.com wana haya mambo? au wenyewe saiz ni kuuza nyago tu huko Facebook?

Similar Discussions

Back
Top Bottom