preta upo juu

Kiongozi hii "KEIWAI" K.Y ina stand for "KEKI YETU" au "KATIBA YETU" au ? Na kazi yake nini ? Nasubiri jibu niko Malabrikanti Bar mda huu.

Hahahahaha......we mwache mfungua thread jf haijui anaisikia tu,msitu hauvamiwi kwa wembe mkuu.
 
Hahahahaha......we mwache mfungua thread jf haijui anaisikia tu,msitu hauvamiwi kwa wembe mkuu.
We musee upo?
Wazee wenzetu wako wapi?
Namtafuta Asprin na Kaizer nimewakumbuka sana coz sijawaona tangu zamani za kale
 
Last edited by a moderator:
Nimekuona Preta
Kwanza hongera kwa kurudi kwenye Avatal yako
 
Last edited by a moderator:
Wacheni kukatisha watu tamaa jamani, jaribu tu bahati yako mwaego. Ukifanikiwa nitonye na mimi nirushe ndoana yangu...he he he!.
 
uwiiiiiiiiii......watu mna mambo........e e......

Muone vile anavyokopesakopesa macho!
Siku zote huwa tunatazamana usoni leo vipi uso umekushuka? Macho chini , kwanini sasa?
Ni hashuo au ? Au kwa kua ulikuwa JUU?
Sasa kwani nilikupandisha mie?
Haya shem mi naondoka tulikuita sana ukatunyamazia
 
Back
Top Bottom