preta upo juu

preta upo juu

Jamani sijamtongoza preta lakini hakina akinipa nafasi hiyo lazima niitumie vizuri


Lakini mbona pm zangu hajibu
 
We tongoza tu jamvini,iko siku utatokewa na njemba ina panga na keiwai,shauri lako.

Bishanga mtu mzima hatishiwi nyau
Kama naingia anga zako sema mkuu
 
bado sijakata tamaa atatokea tu nilimwona mara moja tu
Nawaahidi hakuna kitakachoharibika
 
Jamani sijamtongoza preta lakini hakina akinipa nafasi hiyo lazima niitumie vizuri


Lakini mbona pm zangu hajibu

check na mtu chake....anaweza toa ruksa....mi sina neno....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom