preta na michelle | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

preta na michelle

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tunalazimika, Jan 9, 2011.

 1. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  unajua tangu ni join jamvini nimekuwa bush na ni-browse kwa handet ambayo ki-ukweli capacity yake ni ndogo kuweza kuona Avatar za wana jf na hivyo mim nilikuwa nimejijengea Avatar zangu mwenyewe za kisaikolojia ambazo kwa kweli baada ya ku-browse kwny moderm nimekuja kuona utofauti mkubwa sana. kwamfano kutokana na Preta kujishebedua sana na mwarabu wake nilijua ndo Kisura wa Jf yeye na Husnyo-kumbe bwana kisura ni Michelle:smiling:. nilikuwa kama story ile ya kipofu na kuku-nadhani wengi mnaikumbuka(kipofu alipobahatika siku moja kuona kwa sekunde alifanikiwa kumuona jogoo-basi akiambiwa hili ni ghorofa, anauliza eti ni kubwa kuliko jogoo)-nilikuwa kipofu kabisa-am enjoying to see your Avatar
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Una uhakika gani wenyewe wanafanana na hizo avatar ?
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kijana, punguza pombe.
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tena anaonekana huko bush alikuwa anatumia chimpumu.Hatuwezi kuwalinganisha Preta na Michelle kwakuwa Preta tumeshamzoea nahisi kama ni mdogo wangu nitakuwa 'biased',Michelle bado mgeni.
   
 5. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  leo cjanywa, nipo kwenye dose ya klolokwin
   
 6. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  ukiwa na watoto wawili, mmoja anajifanya askar na mwingine mwizi jua hapo una kiongoz na chinga_the same to avatar
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Heee! Husninyo kaingiaje hapo na mtoto wa watu hajaweka avatar wala nini.
   
 8. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  kama preta mdogo wako, mi nishemeji yako wa ku_addopt maana mwarabu ndie preta ana mpenda kuliko mm
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Si umesoma jamaa tayari ana idea kichwani kwake mnavyoonekana .
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Dont mind in my Mind you are a KISURA, mcheshi, na mchangamfu mwenye tabasamu zuri...
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haya huyu mwingine tena 'the power of the mind' hahaha!
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  you mean her
  [​IMG][​IMG]
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  sijamind jamani.
  Nimeshangaa tu.
  Upo Mzima wewe?
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  haya maassumptions nayo sio mazuri.
   
 15. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  kwsbb ulinikataa ulipotaka mbegu ya kizungu nikakwambia ni mzungu wa mashamba ya miwa mtibwa_nina miaka ming huku
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  ngoja nifanye mpango niweke kipicha tuipumzishe hiyo power of mind.
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  wote hao wahusika uliwataja hapo juu..
  mmmmhhh itabidi nikupigie nikupe story..
  wote ni super kwa kweli...

  hata siku moja usije jaji mtu ajili ya avatar ''
  take care
  AD
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahhahhahahah lol mie hilo neno sasa naliogopa kishenzi yaani ...
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  The Following User Says Thank You to uporoto01 For This Useful Post:

  afrodenzi (Today) ​
   
 20. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Good idea hata mimi mawazoni tayari na picha yako lol! 'ana lips paana akicheka ana mwaanya'
   
Loading...