mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
Hapo kwenye muda mkuu ndio palinitatiza si unajua sisi huku Kilindi saa hizi inakaribia kabisa saa 4 asubuhi nikajua nimeshapitwaa...! Ahsanteni kwa taarifa ila msisahau muda huo ukifika mumwambie Yericko awahi kama alivyowahi Mahakamani
Na ASIKIMBIE! Yeriko Siku Ile Hakutujuza Hukumu Alikimbia