Press Conference - CHADEMA HQ

Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.
Ben Saanane anawatisha wajinga kama wewe usiosoma, mwenyewe nasoma pia.. Tatizo la ben ni kubwa kuliko Zitto, mimi nimemstudy sana huyu kijana he is so ambitious, alafu sio mtu wa kunegotiate, ni more of activists na hana sifa ya kuongoza watu wenye mawazo tofauti atawaua..hana tofauti na godfather wake mboe, na ukitaka kujua ben ni mtu hatari eti role model wake ni valdmir putin na kim jong lee

Ndio Vladmir na Kim ! Usaliti si kutofautiana kimawazo bali ni hujuma.

I'll never ever negotiate with a traitor ! NEVER !
 
Last edited by a moderator:
Ben Saanane anawatisha wajinga kama wewe usiosoma, mwenyewe nasoma pia.. Tatizo la ben ni kubwa kuliko Zitto, mimi nimemstudy sana huyu kijana he is so ambitious, alafu sio mtu wa kunegotiate, ni more of activists na hana sifa ya kuongoza watu wenye mawazo tofauti atawaua..hana tofauti na godfather wake mboe, na ukitaka kujua ben ni mtu hatari eti role model wake ni valdmir putin na kim jong lee

ulitaka role model wake awe alhaj kikwete
 
Last edited by a moderator:
Mkuu acha kuchanganya maada, kwani ni nani anapenda ujangili?? Leo hatulijadili hilo..

Kama huwezi kuunganisha dots basi lazima una upogo ambao hautoki unless urudi shule tena! CCM kuwatumia hao Virus Zitto et al Lengo lao ni kuidhoofisha CDM ili wabaki madarakani! CCM kubaki madarakani; Ujangili utaendelea kushamiri, Sembe itashamiri, Madini yatasombwa, Maliasili including Gas zitaendelea kumilikiwa na wageni 100%... kweli wewe KISEBENGO!
 
Hii thread imeshapoteza maana,kwani hakuna cha updates bali ni mipasho na majungu tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom