Press Conference - CHADEMA HQ

Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.
@Ilboru,

Anafanya makusudi tu huyo.Msamehe!

Much respect Mkuu...Ila hawa Waliberali inabidi kwenda nao mwendo mdundo, wana act as if kupanda kwa gharama za maisha haiwahusu, kupanda kwa umeme kwao sherehe, Kuuawa kwa Tembo kwao Shwari tu, wananchi kuuawa kwao safi, biashara ya sembe kwao faida, Kugawa madini yetu kwa wageni kwao safiii...kukosekana kwa huduma za kijamii kwao vicheko ...hawa ni zaidi ya punguani...lazima waondolewe wote ili Tanzania yenye Neema ipatikane kama Mungu alivyotaka!...
 
Wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
safi sana tunataka mtupatie hiyo
 
Sipati Picha Bonge La Chama Likianzishwa Pale ZZK , Pale MABELE , Pale KITILA. Huku MTWA MKULU Hakuna Ukabila Hakuna Kujuana Hakuna Usaliti, Democracy Si Uhaini , Upinzani Wa Kweli MBONA MTATUJUA 2015!
Naona umhimu wa wazo lako naomba iwe hivyo mkuu ngoma itakuwa bomba kweli.
 
Mkuu kama ulikuwa hujui kama mimi ni kwamba Ben Saanane analipwa million moja (1,000,000Tsh) kwa mwezi kwa kazi hii hii unayoitaja ya kushinda facebook, twiira(twitter hawezi kuitumia hayumo), targid, bbm, watsap, JF, linkeding, hi5 na kwenye blogs na hii ndiyo proffesional yake aliosomea India! Ukistajabu ya CHADEMA utashangaa ya Ben! #amezoeavyakunyongahuyu !

Hebu thibitisha haya madai yako.Kwenye Cv ya Ben haionyeshi hayo mambo uliyoainisha hapa kua ndio aliyosomea India.....so prove your allegation beyond a reasonable doubt ueleweke.
 
Much respect Mkuu...Ila hawa Waliberali inabidi kwenda nao mwendo mdundo, wana act as if kupanda kwa gharama za maisha haiwahusu, kupanda kwa umeme kwao sherehe, Kuuawa kwa Tembo kwao Shwari tu, wananchi kuuawa kwao safi, biashara ya sembe kwao faida, Kugawa madini yetu kwa wageni kwao safiii...kukosekana kwa huduma za kijamii kwao vicheko ...hawa ni zaidi ya punguani...lazima waondolewe wote ili Tanzania yenye Neema ipatikane kama Mungu alivyotaka!...

Mkuu acha kuchanganya maada, kwani ni nani anapenda ujangili?? Leo hatulijadili hilo..
 
Ben Saanane anawatisha wajinga kama wewe usiosoma, mwenyewe nasoma pia.. Tatizo la ben ni kubwa kuliko Zitto, mimi nimemstudy sana huyu kijana he is so ambitious, alafu sio mtu wa kunegotiate, ni more of activists na hana sifa ya kuongoza watu wenye mawazo tofauti atawaua..hana tofauti na godfather wake mboe, na ukitaka kujua ben ni mtu hatari eti role model wake ni valdmir putin na kim jong lee

Aliyekuita Kisebengo kakupatia hasa!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwani kisabengo siyo yule dada yako mkubwa wa pale bondeni mliyegombana siku ile mkakusanya watu rundo.

Loh Kumbe kuna KISEBENGO Remix...ok! inaonekana ajira ya pale Lumumba criteria mojawapo inayotumika ni shurti uwe na tabia hizo ee... understood mom!
 
Yaani mimi nitishike kwa siasa nyepesi?By the way leo namaliza adhabu yangu ya mwaka 1 ya kusimamishwa kugombea cheo chochote.What a Coincidence?

Hongera kutoka jela...hata Mandela alifungwa gerezani na mwisho akawa Rais!
 
Sometimes huwa siwaelewi blacks wenzangu kabisa! Yaani wewe badala ya kukubali kuwa Ben Saanane ni zaidi ya mashine na mitambo ya NASA wewe unaanza kuponda kwa kutoa data za kusadikika ...Huo mshahara wa elfu thelathini unao msingizia unaweza kununua kifurushi cha kiasi gani? Unafikiri ni kwanini Zitto alikuwa anamatumaini kwa Ben kuliko wale wachumia tumbo wengine? Kwa taarifa yako Ben ni bingwa wa kakati ni si mvivu wa kusoma na kujiendeleza kama akina Shonza wenye kuamini viungo vyao zaidi!... Mpe Ben Heshima yake anayostahili hata kama humpendi! Haya yanayotokea leo ni utaalam na ujuzi wa Ben wa kuweza kuwatoa virus wote kwa utaalam wa hali ya juu... Edo Snowden alichukizwa na mfumo...Ben amechukizwa na CCM inayouza madini yetu yote kwa wageni, amechukizwa na CCM kwa kushindwa kuwapatia maendeleo yanayolingana na utajiri wetu...Tuko wengi tulioandaliwa vizuri chini ya Mwl na sasa CCM mtaipata fresh...
@Juliana Shonza karibu utudhibitishie hapo (bold) ukweli wake na tupate kujua ni viungo gani unatumia katika kujiendeleza zaidi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom