Press Conference - CHADEMA HQ

Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.
Sio uongo wewe ni underground ambaye huna kazi (jobless) mbowe na slaa wanakutumia kwa payrol ya 300000 kwa mwezi

Ila mkuu Ben Saanane ni mysterious creature kwa sababu alienda india kufnya masters kalipiwa na serikali (scholorship maalumu hii) amerudi hajulikani anaishi wapi, anafanya nini, ila nasikia anajenga lijumba imefika kwene lenter, anatembelea luxury car, muda wotekashinda facebook, twiira, targid, bbm, watsap, JF, linkeding, hi5 na kwenye blogs. Bora @yericko analima matikiti maji, na ana kampuni ya ujenzi... Huyu ben saanane anawezekana akaw ni kama Ned Lude wa kwenye Luddism movement.
 
Last edited by a moderator:
Utamuota sana Alberto Msando muulize Tundu Lissu anamjua vizuri na wewe karipoti kule fesibuk.

kwa msaada wa ikulu anaweza kushinda kila kesi,lisu amjue nini wakati alianza kumuomba jaji amfikirie mteja wake ni mbunge na mwenyekiti wa pac hivyo watu wa mwandiga watakosa mwakilishi..
 
Ila mkuu Ben Saanane ni mysterious creature kwa sababu alienda india kufnya masters kalipiwa na serikali (scholorship maalumu hii) amerudi hajulikani anaishi wapi, anafanya nini, ila nasikia anajenga lijumba imefika kwene lenter, anatembelea luxury car, muda wotekashinda facebook, twiira, targid, bbm, watsap, JF, linkeding, hi5 na kwenye blogs. Bora @yericko analima matikiti maji, na ana kampuni ya ujenzi... Huyu ben saanane anawezekana akaw ni kama Ned Lude wa kwenye Luddism movement.

Acha wivu wa kike
 
Last edited by a moderator:
Mbowe ni mtu ambaye anaendekeza ukanda na ukabila sana ndo maana anatamani sana kumsajili fisadi EL na Sumay
 
Ila mkuu Ben Saanane ni mysterious creature kwa sababu alienda india kufnya masters kalipiwa na serikali (scholorship maalumu hii) amerudi hajulikani anaishi wapi, anafanya nini, ila nasikia anajenga lijumba imefika kwene lenter, anatembelea luxury car, muda wotekashinda facebook, twiira, targid, bbm, watsap, JF, linkeding, hi5 na kwenye blogs. Bora @yericko analima matikiti maji, na ana kampuni ya ujenzi... Huyu ben saanane anawezekana akaw ni kama Ned Lude wa kwenye Luddism movement.

Unaweza kuthibitisha haya.Acha ujinga huu hapa
 
Last edited by a moderator:
sio kwa mwanaccm tu kwa mtu yeyote yule anayeargue na mwenzake

UKABILA na UDINI unahubiriwa sana na wana CCM na ndio ajenda yao kuu ya Mijadala na kushambulia wapinzani wao.Fuatilia Posts na Pro CCM karibu wote utauona ukweli huu.Sisi wengine huwa tunajaribu kuwa'counter attack' Kifalsafa kwa kutumia UDINI na UKABILA huohuo ili Wajitambue.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom