Press Conference - CHADEMA HQ

Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.
tupo pamoja mpaka kieleweke,.

Wapi magamba!
 
Ushawishi wa ujambazi,utapeli na ukabila
Ukisoma historia ya tanzania vizuri matapeli ya uchagani hayana historia ya ushijaa ndo maana wanaume wao watawala walikaa sana na kuwatesa kwa kuwatawala kwa sababu ni mapoyoyo
hapa umeacha hoja ya msingi umekimbilia kwenye historia .
 
Yericko Nyerere asipotupia update hii taarifa ya chadema kwa vyombo vya habari haitanoga kwa kweli, nasubiri ile mipasho yake ya kwenye update..
 
Last edited by a moderator:
Ushawishi wa ujambazi,utapeli na ukabila
Ukisoma historia ya tanzania vizuri matapeli ya uchagani hayana historia ya ushijaa ndo maana wanaume wao watawala walikaa sana na kuwatesa kwa kuwatawala kwa sababu ni mapoyoyo
We shujaa embu taja kabila lako...
 
Acha kusoma magazeti ya Udaku.Punguza hasira

Mkuu wewe ni zaidi ya Kaspersky ...Mwaka huu hakuna kirus kitakachobaki ....nimeipenda version mpya ya CDM...Zitto et al ...TUPA KULE bila hata ya ku-restart ...
 
asante , nishakamata mchemsho na nina tusker zangu 2 mezani nazitafuna taratiiibu huku nikikusubiri .
 
Hii antivirus software ya CDM ya sasa kiboko, hata Kaspersky haioni ndani... Zitto et al tupa kule...

Mkuu tz kwa sasa ilipofika inahitaji chama kama CDM . . . . . . . . hata USA na ulaya yote wanakimezea mate wakitamani kiwe cha mataifa yao maana wanajua fika kuwa hata wao wamefika hapo walipo kutokana na think tank kama ya CDM!!
Zitto bye bye!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mbona kwa sasa ni saa tano kweli chadema wanapumulia mashine.
 
Hii kazi ya updates ungemuaachia Yericko Nyerere yule bwana ni hodari wa hekaya...ataanza sasa ni majira ya asubuh saa tatu, tupo kaskazini mwa dsm mtaa wa ufipa, nyuzi joto ni 26, naona watu wamevalia kombakti ukitaka kujua hali zao ni shwari, maara namuona kamanda mnyikaa...hiki ndicho kitu anachoweza, yaani umbeya
Hivi mtu kukutanabaisha kinagaubaga ni umbeya?, wee jamaa kweli una matatizo.
 
We shujaa embu taja kabila lako...

Sasa wewe uzao wa watumwa walioshindikana kuuzwa hata kwa dinar moja unauhalali gani wa kuwanyooshea kidole hao wachagga wenyekujulikana dunia nzima kama Jews wa Africa?
 
My fellow citizens, when will we stop politics, and think about future generation? We have seen our economy is in bad shape, our national debt is tremendously increasing, and the state of our infrastructures is in really mess! But my fellow citizens our leaders doesn't not like to address this issues instead they're only focusing on staying in power! Jamani let's discuss issues of national interests here! Ruling party supporters embu lioneni hili, la sivyo tutaendelea na vicious circle generation to generations!lazima tutoke hapa hata kwa kusucrifice maisha but vijukuu na vitukuu vyetu viwe na better life than ours!
 
Mnasumbuka na nini? wahariri wamekwisha andika habari kwa ajili ya kesho. maamuzi ya jana yanajulikana labda kusubiri official statement tu.
"Kitila,Mwigamba wafukuzwa CHADEMA,Zito kufuatia"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom