Press Conference - CHADEMA HQ

Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.
shikamoo saa 8
Sometimes huwa siwaelewi blacks wenzangu kabisa! Yaani wewe badala ya kukubali kuwa Ben Saanane ni zaidi ya mashine na mitambo ya NASA wewe unaanza kuponda kwa kutoa data za kusadikika ...Huo mshahara wa elfu thelathini unao msingizia unaweza kununua kifurushi cha kiasi gani? Unafikiri ni kwanini Zitto alikuwa anamatumaini kwa Ben kuliko wale wachumia tumbo wengine? Kwa taarifa yako Ben ni bingwa wa kakati ni si mvivu wa kusoma na kujiendeleza kama akina Shonza wenye kuamini viungo vyao zaidi!... Mpe Ben Heshima yake anayostahili hata kama humpendi! Haya yanayotokea leo ni utaalam na ujuzi wa Ben wa kuweza kuwatoa virus wote kwa utaalam wa hali ya juu... Edo Snowden alichukizwa na mfumo...Ben amechukizwa na CCM inayouza madini yetu yote kwa wageni, amechukizwa na CCM kwa kushindwa kuwapatia maendeleo yanayolingana na utajiri wetu...Tuko wengi tulioandaliwa vizuri chini ya Mwl na sasa CCM mtaipata fresh...
 
Yaani mimi nitishike kwa siasa nyepesi?By the way leo namaliza adhabu yangu ya mwaka 1 ya kusimamishwa kugombea cheo chochote.What a Coincidence?

karibu kwenye jumuiya ya ushindi , nimekufuatilia tangu uliposimamishwa , mwenendo wako umekuwa wa kupigiwa mfano , hongera !
 
Mbowe ni mtu ambaye anaendekeza ukanda na ukabila sana ndo maana anatamani sana kumsajili fisadi EL na Sumay

mh. rais kila kitu nilichofanya kwenye richmond ni kwa maagizo yako-edward lowassa
 
Yaani mimi nitishike kwa siasa nyepesi?By the way leo namaliza adhabu yangu ya mwaka 1 ya kusimamishwa kugombea cheo chochote.What a Coincidence?

Vipi mkuu, bado una nia ya kuwa mwenyekiti wa bavicha??
 
Sometimes huwa siwaelewi blacks wenzangu kabisa! Yaani wewe badala ya kukubali kuwa Ben Saanane ni zaidi ya mashine na mitambo ya NASA wewe unaanza kuponda kwa kutoa data za kusadikika ...Huo mshahara wa elfu thelathini unao msingizia unaweza kununua kifurushi cha kiasi gani? Unafikiri ni kwanini Zitto alikuwa anamatumaini kwa Ben kuliko wale wachumia tumbo wengine? Kwa taarifa yako Ben ni bingwa wa kakati ni si mvivu wa kusoma na kujiendeleza kama akina Shonza wenye kuamini viungo vyao zaidi!... Mpe Ben Heshima yake anayostahili hata kama humpendi! Haya yanayotokea leo ni utaalam na ujuzi wa Ben wa kuweza kuwatoa virus wote kwa utaalam wa hali ya juu... Edo Snowden alichukizwa na mfumo...Ben amechukizwa na CCM inayouza madini yetu yote kwa wageni, amechukizwa na CCM kwa kushindwa kuwapatia maendeleo yanayolingana na utajiri wetu...Tuko wengi tulioandaliwa vizuri chini ya Mwl na sasa CCM mtaipata fresh...

@Ilboru,

Anafanya makusudi tu huyo.Msamehe!
 
Ila mkuu Ben Saanane ni mysterious creature kwa sababu alienda india kufnya masters kalipiwa na serikali (scholorship maalumu hii) amerudi hajulikani anaishi wapi, anafanya nini, ila nasikia anajenga lijumba imefika kwene lenter, anatembelea luxury car, muda wotekashinda facebook, twiira, targid, bbm, watsap, JF, linkeding, hi5 na kwenye blogs. Bora @yericko analima matikiti maji, na ana kampuni ya ujenzi... Huyu ben saanane anawezekana akaw ni kama Ned Lude wa kwenye Luddism movement.
Mkuu kama ulikuwa hujui kama mimi ni kwamba Ben Saanane analipwa million moja (1,000,000Tsh) kwa mwezi kwa kazi hii hii unayoitaja ya kushinda facebook, twiira(twitter hawezi kuitumia hayumo), targid, bbm, watsap, JF, linkeding, hi5 na kwenye blogs na hii ndiyo proffesional yake aliosomea India! Ukistajabu ya CHADEMA utashangaa ya Ben! #amezoeavyakunyongahuyu !
 
Sometimes huwa siwaelewi blacks wenzangu kabisa! Yaani wewe badala ya kukubali kuwa Ben Saanane ni zaidi ya mashine na mitambo ya NASA wewe unaanza kuponda kwa kutoa data za kusadikika ...Huo mshahara wa elfu thelathini unao msingizia unaweza kununua kifurushi cha kiasi gani? Unafikiri ni kwanini Zitto alikuwa anamatumaini kwa Ben kuliko wale wachumia tumbo wengine? Kwa taarifa yako Ben ni bingwa wa kakati ni si mvivu wa kusoma na kujiendeleza kama akina Shonza wenye kuamini viungo vyao zaidi!... Mpe Ben Heshima yake anayostahili hata kama humpendi! Haya yanayotokea leo ni utaalam na ujuzi wa Ben wa kuweza kuwatoa virus wote kwa utaalam wa hali ya juu... Edo Snowden alichukizwa na mfumo...Ben amechukizwa na CCM inayouza madini yetu yote kwa wageni, amechukizwa na CCM kwa kushindwa kuwapatia maendeleo yanayolingana na utajiri wetu...Tuko wengi tulioandaliwa vizuri chini ya Mwl na sasa CCM mtaipata fresh...

Ben Saanane anawatisha wajinga kama wewe usiosoma, mwenyewe nasoma pia.. Tatizo la ben ni kubwa kuliko Zitto, mimi nimemstudy sana huyu kijana he is so ambitious, alafu sio mtu wa kunegotiate, ni more of activists na hana sifa ya kuongoza watu wenye mawazo tofauti atawaua..hana tofauti na godfather wake mboe, na ukitaka kujua ben ni mtu hatari eti role model wake ni valdmir putin na kim jong lee
 
Last edited by a moderator:
Sipati Picha Bonge La Chama Likianzishwa Pale ZZK , Pale MABELE , Pale KITILA. Huku MTWA MKULU Hakuna Ukabila Hakuna Kujuana Hakuna Usaliti, Democracy Si Uhaini , Upinzani Wa Kweli MBONA MTATUJUA 2015!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom