Press Conference - CHADEMA HQ

Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.
Misukule ya SLAA NA MBOWE ione inavyohangaika. Mtakoma mwaka huunwa 2014, lazima mwishoni kabisa mtaambiwa mkapike majumbanu mwao. Ma-house maid bwana, wanakazi kweli ya kujikomba kwa mabwana zao

Baada ya kuona watu wako kimya hakuna anayeulizia kazi zako za utumishi hatimaye umeamua kufunguka mwenyewe ....but nenda direct usijifanye surrounding around the bush
 
Kitila na mwigamba wameshavuliwa uanachama. Marando amerudisha kadi
 
Watu kwa majidai,huyu mkuu anataka kujionyesha tu kuwa nae fedha zimemtembele wakati anadaiwa madeni ya fedha aliyokopa kwa ajili ya sikukuu za x-mass na mwaka mpya.. Kwa foleni ya Dar utoke sasa mwanza na fastjet utumie saa moja na nusu na kutoka Airport mpaka kwenye kikao ni takribani masaa 4. Majidai mengine bwana !!.
Acha kudanganya watu wewe,leo J2 Nyerere road nyeupe hayo masaa 4 uko kwenu...
 
Ndio tatizo la wachaga wanaamini wao ndio kila kitu

Afrika yote kuna Makabila Makubwa na yenye Nguvu na Ushawishi.Kwa Tanzania Wachaga ni Miongoni mwao.Kenya utawakuta Wakikuyu,Uganda-wabaganda,Rwanda-Watutsi,Afrika kusini-Wazulu,Nigeria-Waibo n.k.Wewe kama ni Miongoni mwa Makabila mnayokimbizana na Mdundiko usiwaonee wivu wenzako.
 
Ndugu yangu Chinga One ametokomea kupanga meza unajua ndugu yangu yupo kiukereketwa zaidi maana decision makers wote ni toka Kaskazini! Mmakonde na chadema wapi na wapi?

Lazima atakuwa mbeba Viti
Mmebakisha bla bla tu mara meza mara gongo,

prezoo anapumulia mashine ya mahakama chezea Chadema.
 
Yerricko Nyerere Leo Dar nyuzi joto ngapi? Mbona hutujuzi maana wengine tupo Shelui Huku vijijini

Juzi alinichekesha kweli ndio nikajua wasomi wetu wengi hawana tofauti kubwa na yule msomi wa Orijino Komedi "Le Profeseri" wamekaa kitahira tahira wanpelekeshwa tu eti anataja nyuzi joto alipokuwa mahakamani sasa sijui ilikuwa inahusu nini pale?
 
Kitila na mwigamba wameshavuliwa uanachama. Marando amerudisha kadi

Marando hawezi kutoka hadi kazi aliyotumwa aimalize! So far so good anafanya kazi vizuri! Ameweza kukijenga ndani ya chama na anaaminiwa sana!

Huyu atakuwa wa mwisho kuondoka na tayari CDM kitakuwa hakipo! Kazi nzuri Marando keep it up!
 
mbona muda unakwenda tu hamna updates.au makamanda bado wako kanisani
 
Lina lya pachoto ni
kunewala... Uchi dachi nnung'unwangu? Habari ja kwachi? Angaa Chilindima
vanipwawa? Avee na mmutuka tangu libus lya NDF

kaka nangu nguvele mbali kidogo na kunewala ngu-pm tumalane somo, nguvele mkoa wa kuluuma
 
Afrika yote kuna Makabila Makubwa na yenye Nguvu na Ushawishi.Kwa Tanzania Wachaga ni Miongoni mwao.Kenya utawakuta Wakikuyu,Uganda-wabaganda,Rwanda-Watutsi,Afrika kusini-Wazulu,Nigeria-Waibo n.k.Wewe kama ni Miongoni mwa Makabila mnayokimbizana na Mdundiko usiwaonee wivu wenzako.
Wachaga wanaushawishi gani sio unaongea tu kufurahisha nafsi?
 
Juzi alinichekesha kweli ndio nikajua wasomi wetu wengi hawana tofauti kubwa na yule msomi wa Orijino Komedi "Le Profeseri" wamekaa kitahira tahira wanpelekeshwa tu eti anataja nyuzi joto alipokuwa mahakamani sasa sijui ilikuwa inahusu nini pale?
Yerricko ni zaidi ya kichaa! Watu wote wa Musoma wanegundua Hilo! Kiboko ya Yerricko ni Nyamuhanga alikuwa campaign manager wake alichomfanyia Mungu anajua!

Nyamuhanga ni mtu maarufu sana pale Musoma
 
Mkuu unajua unaweza kuepuka madhara yatokanayo na wivu ,hofu na chuki kwa kutosoma post zake?Maana kinyume na hapo utaendelea kupata "madhara yasiyotibika"(using Albert Msando's tone!)

Mkuu sio wivu Yericko hujamsoma ni mtu wa mipasho sana, anajidai mzaanaki lakini huyu bwana nina shaka nae..
 
Huwezi kuliunganisha taifa kwa siasa za kilimanjaro na Arusha,au ndo mpango wa kumtafuta rais wa kaskazini unaratibiwa ipasavyo?
Nyerere alishawapiga laana nyie wakabila
 
wakuu inafaa tamko litolewe na ben saanane na yeriko nyerere hii misukule mbowe ya mbowe kwenye ishu za kuuza sura kwenye tv na magazeti inapotezewa sana. yenyewe kazi yao ni nyuma ya keyboard tu. tunataka tuione mana wengine hatuwajui kabisa

Naona una matatizo binafc uwaone ili iweje??Kumbe tayari uko mbioni kuwanyofoa kucha na meno?? usitushirikishe kwenye maovu uliyopania kuyafanya mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom