Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,996
- Thread starter
- #61
Hoja za Mnyika zilikuwa za msingi sana; kitu pekee ambacho hakukisema japo kilikuwa kimeashiriwa katika hoja yake ni duplication of entities. Hoja ziko hivi:
a. Kila mradi una mfumo wake wa Monitoring and Evaluation. Hakuna mradi wowote wa serikali ambao umeanzishwa bila kuwa na mfumo wa kufuatilia au kuwajibika. Wapo watu kuanzia Wizarani ambao wana wajibu wa kufuatilia miradi hii na kuona inakamlika kwa vipindi vyake vyote (phases)
b. Endapo kuna tatizo la utekelezaji basi haja ni kuviwezesha vyombo vilivyopo sasa kufanya kazi zake; hizo bilioni 29 zinaweza kabisa kutumika kuboresha TUme ya Mipango, Takukuru, CAG n.k kuweza kuhakikisha kuwa fedha zinatumika na thamani ya miradi inaendana nafedha zilizotumika.
c. Mnyika na wengine walishindwa kuuliza swali moja la msingi pia - hao watumishi wa hiyo PDU watatoka wapi? Je watakuwa tayari ni watumishi wa umma waliopo sasa au wataletwa kutoka nje? Kama watatoka ndani humu humu nani atawasimamia wao (who will watch the watchers)?