Presidential Delivery Unit - Kitengo kipya chini ya Rais - chatengewa Bilioni 29!

Presidential Delivery Unit - Kitengo kipya chini ya Rais - chatengewa Bilioni 29!

niliahidi kuweka Upinzani walisema nini kuhusiana na hili kwenye hotuba yao hebu jisomee mwenyewe , haya ni mafanikio ya retreat aliyokwenda JK....

3.1.
Tumeya Mipango na Majukumu yake
MheshimiwaSpika,jukumu kubwa la Tume ya Mipango, pamoja na mambo mengine, ni kuratibuutekelezwaji wa Mpango wa Taifa wa Maendeleo. Kambi Rasmi ya Upinzani Bungenihaina mgogoro na utendaji kazi wa tume hii, ila inashangazwa na uundaji wachombo kingine chini ya Ofisi ya Rais ambacho kimsingi kazi zake zingepaswakufanywa na Tume ya Mipango.
Mheshimiwa Spika, Waziri Mkuu, katika hotuba yake ya bajeti alisema kwamba:“Serikali imeona ni muhimu kuongezakasi ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa kuanzisha mfumo imara zaidi wakupanga vipaumbele, kufuatilia na kutathimini utekelezaji wa miradi yakimkakati ya maendeleo. Mfumo huo ambao utasimamiwa na Chombo maalum (President’sDelivery Bureau) chini ya ofisi ya Rais, Ikulu, unazingatia uzoefu wa nchi ya Malaysia”.

Mheshimiwa Spika,
Kambi Rasmi yaUpinzani Bungeni inayoongozwa na CHADEMA inatambua kwamba Serikali imeuchukua mpango huu kutokaMalaysia, kutokana na mkutano wakimataifa wa 'Langkwi' uliofanyika mwezi Juni 2011 ambao Rais Jakaya Kikwete alishirikikwenye “mkutano wa tafakuri” 'Putrajaya' ambapo Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe. Dato'Razak aliuelezea mpango huu kuwa ulileta mabadiliko ya kiuchumi katika nchiyake. Katika mkutano huo wa tafakuri, Waziri Mkuu wa Malysia alisema kwambamafanikio ya mpango huo ulitokana na misingi ifuatayo:

i. Uongozi shupavu na ulio tayarikwa mabadiliko ya kuipeleka nchi mbele.

ii. Kuweka mipango ya kimaendeleo kwa kuzingatiavipaumbele vya kitaifa

iii. Nidhamu katika utendaji nautekelezaji

iv. Uwajibikaji wa serikali na kuwa tayari kukirimadhaifu yake.

Mheshimiwa Spika, mpango huu wa kuanzishwa kwa idara hii ambayo inajitegemea kwenyeOfisi ya Rais tayari umeshaanzishwa kama alivyokiri Waziri Mkuu katika hotubayake na kwamba Rais tayari ameshazindua awamu ya kwanza ya maabara tangu tarehe 22.02.2013,na vipaumbele ambavyo vimepitishwa ni sitakama ifuatavyo: Nishati, Uchukuzi,Kilimo, Elimu, Maji na Ukusanyaji wa Mapato.

Aidha, kwa mwaka huu wa fedha mpango huo umeweka bayana kuwa kwa upande waNishati lengo ni kuongeza uzalishaji wa nishati kutoka Megawati 1,438 hadi kufikia Megawati2,780. Katika usafirishaji kipaumbele ni kufungua korido ya kati kwakufikia uwezo wa kusafirisha tanimilioni 5 ifikapo 2015 na hatimaye tanimilioni 8 ifikapo mwaka 2025. Kwa upande wa elimu kipaumbele ni kuboreshaelimu ya msingi na sekondari na kuhakikisha kuwa kiwango cha ufaulu kinafikia asilimia 70. Kwenye kilimo mkakati kipaumbele ni kufungua mashamba ya kibiasharawakati upande wa maji ni kuhakikishakuwa asilimia 67 ya Watanzaniawanapata maji safi na salama. Kwa upande wa ukusanyaji wa mapato, lengo ni kuhakikishakuwa tunaongeza mapato kwa kiwango cha asilimia50.

Mheshimiwa Spika, Serikali tayari imeshatenga fedha kwenye bajeti ya mwaka huuwa 2013/2014 kiasi cha shilingi bilioni 8 na imeomba fedha kutoka kwa wafadhiliwa nje kiasi cha shilingi bilioni 30 kwa ajili ya kitengo hiki kipya chini yaOfisi ya Rais Ikulu. Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inayoongozwa na CHADEMAinaitaka Serikali kutoa majibu kwa Watanzania juu ya mambo yafuatayo:

i. Je, vipaumbele vya Mpango waTaifa wa Maendeleo wa miaka mitano uliopitishwa na Bunge hili mwaka 2011 ndiovimeachwa au vitatekelezwa sambamba na vipaumbele hivi vipya?

ii. Je, Kwa nini Serikali imeanzishakitengo kipya cha Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) (Kitengocha Usimamizi na Ufanisi wa Utendaji) chini ya Ofisi ya Rais wakati kuna Tumeya Mipango ambayo kimsingi ndiyo yenye wajibu wa kusimamia vipaumbele vya Taifana Mpango mzima wa Maendeleo wa Taifa?

iii. Je, ikitokea tena, Raisakakaribishwa kwenye “mkutano mwingine wa tafakuri” kama uliofanywa na kiongoziwa Malaysia, na kukuta mipango mizuri zaidi, Serikali italazimika tena kupangaupya vipaumbele vya Taifa na Mpango wa utekelezaji kama inavyofanya sasa?

Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na CHADEMA, ni mdau mkubwa wamaendeleo na inauheshimu mpango wa Taifa wa Maendeleo lakini namna Serikaliinavyotekeleza Mpango huo hatuna hakika kama malengo ya Mpango huu yatafikiwa.Kambi Rasmi ya Upinzani haioni sababu yoyote ya msingi ya kuanzisha kitengokipya cha usimamizi wa mpango wa maendeleo wakati Tume ya Mipango ipo.Kinachoonekana dhahiri ni kwamba Serikali hii ya CCM kila kukicha inatafutambinu mbalimbali za kutumia fedha za walipa kodi wa Tanzania bila kujali sanamatatizo ya Watanzania. Nasema hivi kwa sababu kitengo hiki kipyakilichoanzishwa bila sababu ya msingi, hivi punde kitaanza nacho kuombamabilioni ya fedha kwa ajili ya uendeshaji wake wakati tayari kuna Tume yaMipango ambayo ndio mratibu na msimamizi wa Mpango wa Maendeleo.
 
That prove incomptence of the President's Office, Planning Commission!!! Why overlapping resources? Semeni mnataka fungu la mikakati ya miaka 2 ijayo.
 
Hicho kitengo hakina maana yeyote ni mgodi wa kuchimba pesa za umma.

Nahisi kuna mtu ameiba password yako Ritz!!! Big up for being mzalendo on this issue ya chaka la kula hela on overlapping departments!! Tume ya Mipango, then kitengo!!! Kwa nini wasianzishe Monitoring and Evaluation Unit at POPC ili wafanye hiyo kazi?
 
ofisi ya Mkamu wa Rais Mazingira wametengewa shilingi bilioni 3.7 fedha za ndani kwa ajili ya maendeleo , na za nje ni kiasi cha shilingi bilioni 9.271....hii ni pamoja na changamoto zote za mabadiliko ya tabia nchi na ukame unaokaribia kuliangamiza taifa muda mfupi ujao...........
 
wizara ya maendeleo ya jamii ,jinsia na watoto wametengewa kiasi cha shilingi bilioni 23.964 kwa ajili ya matumizi ya kawaida bilioni 14.053 na kwa ajili ya maendeleo bilioni 4.500 ......hii ni pamoja na changamoto za watoto wa mitaani na mateso wanayopata , badala ya kuongeza fedha huku ili wazee wajengewe makazi wao wanajipa za kufuatilia utekelezaji wa miradi .....sijui miradi hiyo ni kwa manufaa ya nani.....
 
ulaji tu kupeana afu Lawrence Mafuru (Former NBC MD)ndo alipewa kazi ya kuanzisha hii kitu sa sjui atapewa na kazi umo umo tena dah!!!
 
Hizo hela wangepeleka kwa CAG aongeze wafanyakazi na wataamu, wawe na kitegongo kinacho jigemea, Value for Money Audit-Ukiwa na idara kama hii hoko unaweka wataalamu wa sector zote, unawonegea adit skills tu

Kumbe muda wote serikali ya CCM inapanga na kutekeleza miradi mbalimbali haikuwa na chombo cha kusimamia miradi hiyo ili kuhakikisha matokeo. Sasa wameamua kuwa ili matokeo ya miradi hiyo yaonekane basi wameamua kuunda chombo kipya ambacho kazi yake itakuwa ni kufuatilia utekelezaji miradi mbalimbali. Sasa najiuliza kama miaka yote hii hawakuwa na vyombo vya kusimamia na kufuatilia miradi hiii walikuwa wanafikiria nini wakati wanaandaa miradi hiyo.

Wenyewe wanaita "Big Results Now"...

Halima Mdee kasema kweli hili ni "chaka la ulaji tu" na kasema yote yanayofanywa na Malaysia siyo lazima na sisi tuige tu kwa 'kucopy na kupaste". Sasa sijui ni wazo la nani hili.

Uchunguzi wangu wa haraka haraka unaonesha kuwa hili ni wazo la wafadhili ambao wanatoa kiasi kikubwa cha fedha; wafadhili wanatoa bilioni 25 na ni vigumu serikali kukataa.

Ilianzia wapi?

Dodoma — TANZANIANS should expect reformed leadership and government in its delivery of development programmes, President Jakaya Kikwete said on Sunday.
The president said this in his closing remarks of a two-day seminar on implementation, monitoring and evaluation framework of National Development Plans and Programmes.
President Kikwete said a team that will evaluate the existing structure will be established and propose an effective delivery unit in the Tanzania context, learning from the Malaysian model.
He has directed all ministries to start setting up and organising their own system of supervision, monitoring and evaluation, as they wait for the national system to be set up by the team.
"The seminar has made a huge difference from the way the government delivers its duties, we have learnt that we need to be focused with clear goals and targets and we already have the Vision 2025.
"We have learnt hat we cannot do everything at the same time," he noted. He said the team will present its report in another government retreat in October, which will kick start the process of adopting and customising the Malaysian Big Fast Results model to suit Tanzanian environment.
"The proposed team will come up with proposals on best way to adopt the Malaysian model so that we can deliver our duties better," he explained. He said 50 years ago, Malaysia was at the same level with Tanzania, but 50 years down the line, Malaysia has made big strides in development.
"The important thing, we have learnt from this is that, we can also make it," he added. President Kikwete expressed gratitude to the Malaysian team that provided the knowledge, noting that they have been generous in sharing the knowledge and experience.
"We have come out of this historic and ground breaking seminar transformed. The public should expect transformed delivery of government responsibilities from now on," he added.
He said the Malaysians took all participants slowly through process of the mechanisms of how to make things happen, analysing issues, and agreeing on how to solve problems, monitoring and evaluation. "It's not rocket science; it's not hard to comprehend. It's simply easy to understand and do. You gave us the ABCs of doing it, I promise we will do it," he stressed.
Reading out the resolutions, the Chief Secretary, Ambassador Ombeni Sefue, said the government commits itself to improve delivery and accountability by emulating the Malaysian model. He said the participants learnt from the experience of Malaysia on framework for implementation monitoring and evaluation of their economic and government transformation programmes to achieve fast results.
He said the way forward a multidisciplinary team drawn from a wide spectrum of stakeholders will be established that will propose and prepare a roadmap for operationalisation of an effective delivery government unit, learning from the Malaysian model.

AllAfrica
 
Ceteris paribus, one must learn from someone who has succeeded in doing things, i.e. learn from one who is successful (legally, I might add!) Malaysia is that someone, that entity that has done well and succeeded. they have put their success here: PEMANDU - Performance Management Delivery Unit

The present system has failed i.e. Tume ya Mipango na associated wizara - must we try and continue kupanda bangi tuvune mchicha? Until when? Shouldn't we try to do something else by looking to who has done it successfully? Contrary to popular beleif this information was in some Tanzania media e.g. MICHUZI: RAIS KIKWETE AFUNGA SEMINA KWA MAWAZIRI YA UTEKELEZAJI WA MFUMO MPYA WA UTENDAJI SERIKALINI

I am all for a government trying to do things better - sasa tutapigia mbuzi gitaa mpaka lini? Tutapiga makonzi kinyago ili iweje?
 
putuuuu, kyiruuuu, ngyileka..mbutanangaaaa, f@u..c$k* 29 bilion
 
Mzee Mwanakijiji, kama ilivyokuwa kawaida yangu huwa naanza na shukrani kwa mada unayoichokoza. Jana nilibahatika kusikia na kumwona John Mnyika (Mb) wa Ubungo akichangia kuhusu na hii Bureau. Maswali yake kuhusu mantiki ya kuwa na chombo hiki yalikuwa mazuri na fikirishi. Hakuwa retrogressive bali alienda mbali kwa kupendekeza fedha inayotengwa kwa chombo hiki ielekezwe kwenye miradi mingine ambayo au imekwama au haijaanzishwa kwa sababu ya ukosefu wa fedha. Maskini pamoja na mawazo mazuri alipingwa na wabunge wa CCM utafikiri labda alitaka pesa ziende mfukoni mwake au mfukoni mwa CDM. Ni bahati mbaya kuwa wabunge wa CCM na serikali yake wanaweka mbele maslahi ya chama kuliko maslahi mapana ya kitaifa.

Sasa ndio hivyo demokrasia ya wengi wape ina kasoro kama alivyowahi kusema Plato maana wakati wa kuunga mkono huwezi kutofautisha mgonjwa, mpumbavu, mwenye utindio wa ubngo, mwizi, mbadhirifu, mzalendo n.k ni nani. Sasa kwa wazalendo kama wewe na mimi na wengine ambao naona wameguswa lazima tuangalie plan B. Tutumie all channels at disposal ili Bunge la CCM majority, serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani wanaokataa kusikiliza pale wanapopotoka na kujisahihisha wajue kuwa the great majority of Tanzanians are not happy. Wenye kuandika fanya hivyo kwa sana, wenye kuitisha kongamano na mikutano fanyeni hivyo na kila aina ya njia ali mradi ujumbe uwafikie watu hawa. Haiwezekani tunakuwa na dublication of bodies na kibaya zaidi inatengwa fungu kubwa kivile cha pesa kufanya kitu ambacho kinafanywa na idara nyingine. Wanaambiwa basi punguza wanakataa. Basi fanya hii bureu iwe integrated na tume ya mipango interms of duties and funds bado hawataki. Sasa washauriwe nini. Lakini kibaya zaid ni kutuona sisi kama wananchi kuwa hatuna akili au hatuwezi kufanya lolote. Sasa wakati ni huu kuwaonyesha kuwa sisi ndio wenye nchi bali wao ni wasimamizi tu tuliowaweka lakini hawana mamlaka juu yetu.

Nawakaribisha wazalendo wengine wachangie ni namna gani tunaweza kuungana na CDM kuendelea kuiambia na kuilazimisha serikali kuachana na vitu kama hii Presidential Bureau, kutoa kandarasi ya ujenzi wa bandari kavu kwa kampuni ya CCM, KUSAINI MIKATABA 17 bilawenye mali au wawakilishi kujua kilichomo na kuweka miradi sehemu watokazo wakubwa wakati sio strategic areas
 
Ceteris paribus, one must learn from someone who has succeeded in doing things, i.e. learn from one who is successful (legally, I might add!) Malaysia is that someone, that entity that has done well and succeeded. they have put their success here: PEMANDU - Performance Management Delivery Unit

The present system has failed i.e. Tume ya Mipango na associated wizara - must we try and continue kupanda bangi tuvune mchicha? Until when? Shouldn't we try to do something else by looking to who has done it successfully? Contrary to popular beleif this information was in some Tanzania media e.g. MICHUZI: RAIS KIKWETE AFUNGA SEMINA KWA MAWAZIRI YA UTEKELEZAJI WA MFUMO MPYA WA UTENDAJI SERIKALINI

I am all for a government trying to do things better - sasa tutapigia mbuzi gitaa mpaka lini? Tutapiga makonzi kinyago ili iweje?

However, the government has not publically confessed the failure of incumbent system. This is yours. If a system fails, do we hold it dear. No. it has to be disbanded. Now seems what you call a failed system is still there chaired by the same person who chair even the bureua. Both have funds and will do the same thing. Such a dubilcation of bodies will lead to sheer interefence one of the setbacks hampering much government funded projects as politians use the loophole to inject their ill interests.
 
Nazani twaweza vunja tume ya mipango na kuanzisha hii unit au kubadili muundo na majukumu ya muundo wa tume ya mipango ili ifanye kazi za hii unit.
 
Huku wataenda kufanya ufuatiliaji , na hatua gani itapaswa kuchukuliwa dhidi ya Kinana? mbona Pinda unaunda tume za kazi gani?

Similar Discussions

Back
Top Bottom