Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,884
Reaction score
14,630
Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni. Kwa watoto wetu, kama tumekosea kwa namna yoyote ile, tunaomba msamaha."
==

President William Ruto: Our Neighbours From Tanzania, If We Have Wronged You In Any Way, Forgive Us...To Our Friends In Uganda If There's Anything Wrong That Kenyans Have Done, Forgive Us, To Our Children, If There Is Any Misstep, We Apologise."

Who to forgive other?
FB_IMG_17484217772389685.jpg
 
😂😂

Tangu Enzi za Nyerere Kenya ni cha mtoto kwa Tanganyika

Walijipendekeza kumkamata Oscer lakini Nyerere akawapuuza na kuwaagiza wamwachie aende zake aendako 🇹🇿
 
Bw. Ruto kwani hao vimbelembele ni serekali ilivituma, au kuwashwawashwa kwao na kiherehere chao?
 
Amesemea wapi!?,kama ni video weka Link, kama ni tweeter(X) weka link, haya mambo ya kuunganisha picha ni kama maneno aliyokuwa anaunganishiwa Mugabe kumbe ni siyo kweli. Na watu watajaa hapa kujadili story za vijiweni.
 
Wakome, sisi hatutaki ugomvi so wa mind ishu zao yetu hayawahusu
 
Huyo ni Ruto lakini GeZ bado wanaendelea kutoa dozi kwa bimkubwa na wabunge akina msukuma na vile vimama.😆😁
 
Amesemea wapi!?,kama ni video weka Link, kama ni tweeter(X) weka link, haya mambo ya kuunganisha picha ni kama maneno aliyokuwa anaunganishiwa Mugabe kumbe ni siyo kweli. Na watu watajaa hapa kujadili story za vijiweni.
Aliitisha Ibada ya taifa zima na ilikuwa mubashara runinga zote za Kenya 🇰🇪
 
😂😂

Tangu Enzi za Nyerere Kenya ni cha mtoto kwa Tanganyika

Walijipendekeza kumkamata Oscer lakini Nyerere akawapuuza na kuwaagiza wamwachie aende zake aendako 🇹🇿
The how come kiuchumi wako ju? Gdp wise? Na ni moja ya nchi pendwa na big tech dunian? Fact kwamba meta wamechagua kenya kuweka mitambo yao na sio tz? Why?
 
Hili nalo ni dongo kwasababu tumemteka raia wao na kumtendea uovu pasipo sababu.

Halafu tuwekee hapana hotuba yake nzima tujue alikuwa anaongea nini hasa.
 
Back
Top Bottom