Gonzi Samuel Rai is a Kenyan politician and a former member of Kenyan parliament from Kinango Constituency in Kwale County. He was first elected to the parliament in 1992 on the ticket of Kenya African National Union (KANU), and 2002 and 2007 on the ticket of Forum for the Restoration of Democracy–People (FORD-People) and won the election on the ticket of The National Alliance (TNA) in the 2013 parliamentary election. His legislative interest focuses on defence, security and public accounts.
Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuanza kwa operesheni ya nchi nzima dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali na wanaoendesha biashara ndogo ndogo, maduka ya rejareja, vibanda na biashara za kuzunguka mitaani. Wafanyabiashara hao wameelekezwa kufunga biashara zao.
Hatua hiyo inalenga kuzuia...
Habari ndugu wana jamii forums.
Nimeshtushwa sana na kauli ya kiuchochezi na kibaguzi iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto juu ya amri ya kuanza kukamata wageni wote wanaofanya biashara ndogondogo nchini humo ambazo zinafanywa na wazawa.
Chanzo: https://m.youtube.com/watch?v=xLnVt-2g1wA...
Leo Agosti 8, nchini Kenya tukio kubwa ni engagement ya Charlene Ruto ambaye ni binti wa Rais Ruto. Katika tukio hilo, ametambulisha mumewe mtarajiwa ambaye ni Mtanzania Isaya Yunge. Historia yake si kubwa sana mtandaoni ila nimepata hints hizi. Kwanza jamaa kasoma IFM Bachelor of Science Degree...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
afrika
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
hafla
kati
kenya
mkutano
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
na raisraisraiswakenya
ruto
ufunguzi
ushirikiano
wakati
waziri
waziri mkuu
william
william ruto
Rais Samia akiongea katika Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Kenya, tarehe 04 Mei, 2026, JNICC Dar es Salaam, amesema Gen Z wanaojifanya wa East Africa tusiwavumilie kuharibu demokrasia yetu
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wa Kenya Mheshimiwa William Rutto Anatarajiwa kuwasili Nchini kwa ziara ya kikazi Kwa Mualiko Maalumu Wa Rais wetu Mpendwa na Mbeba Maono wa Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ambapo Mheshimiwa William Rutto katika ziara hiyo Atatua pia...
Rais wa Jamhuri ya Kenya Wiliam Ruto, anatarajiwa kuja Tanzania na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, May 5, 2026 siku ya Jumanne Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Spika Daniel Baran Sillo (MB), ametoa taarifa hiyo kwa Wabunge wa Tanzania kuhusu ujio wa ugeni wa Rais wa Jamhuri ya...
Wakuu,
Nimeona battle inayoendelea kati ya Rais wa Kenya na aliyekuwa Naibu Rais wake Rigathi Gachagua ambapo kwa Tanzania nafasi yake ni sawa na Makamu wa Rais.
Gachagua alichagulia kuwa Naibu Rais Agosti 2022 lakini Oktoba 2024 aliondolewa madarakani akikabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo...
Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Samoei Ruto, amemtumia salamu za pongezi Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, kufuatia kutangazwa kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu uliokamilika nchini humo tarehe 17 Januari, 2026.
Katika barua yake rasmi iliyotolewa leo Januari 18, 2026, Rais Ruto...
Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni. Kwa watoto wetu, kama tumekosea kwa namna yoyote ile, tunaomba msamaha."
==
President William Ruto...
Mei 2025
Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani.
Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi.
Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
Jumanne wiki hii, Rais William Ruto wa Kenya aliwasili Beijing na kuanza ziara ya siku tano nchini China. Ziara hii inafanyika baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuanza “vita vya ushuru” dhidi ya dunia nzima, na Bw. Ruto ni rais wa kwanza wa nchi ya Afrika kutembelea China katika kipindi...
Siku chache baada ya Rais William Ruto kukataza kupiga marufuku michango ya wanasiasa kwenye nyumba za ibada viongozi wa chama cha Kenya Kwanza wakiongozwa na Farouk Kibet wamefanya harambee iliyoleta pamoja makanisa 25 ambapo jumla ya Ksh.11 milioni ilikusanywa
Wakizungumza katika Kaunti ya...
Wakuu,
Siku kadhaa baada ya Rais William Ruto kutoa mchango wa shilingi milioni 20 kwa kanisa moja jijini Nairobi na kuahidi milioni 100, hisia kali zimeibuka nchini Kenya.
Hivi sasa, Wakenya wanne wakilitaka kanisa hilo kuwasilisha kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) shilingi...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
First Lady Rachel Ruto held a meeting with Dr. Joyce Kithure, spouse of the DP which focused on promoting sustainable school feeding in Kenya through food production on school grounds
Super bilionea toka Mombasa, Imran Kholsa, ameendelea kuthibitisha kuwa pesa kwake si tatizo, akigeuza harusi ya mtoto wake kuwa tukio la mwaka
Ni baada ya kutenga kiasi cha dola 1,350,000 (sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 3) kwajili ya Diamond Platnumz na Nandy kutoa burudani kwenye...
Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir.
Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30, kufuatia uchaguzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi kutoka nchi saba wanachama, zikiwemo Kenya, Uganda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.