Hivi bado kuna wabishi kukusu bingwa,Benitez na Hidink wameshakata tamaa na mechi za wikiendi hii zitaendelea kudhibitisha bingwa ni na nani kwani Chelsea,ManU na Arsenal wanafikiria nusu fainali ya Champs LeagueMatokeo mpaka ya jana tumeyaona kwa haraka haraka kwa msimamo wa ligi ulivyo inaoneka man atautwaa ubingwa. Lakini mimi na msimamo wangu napenda sana achukue Liverpool sababu Chelsea Guus Mwenye ametoa kauli ya kukata tamaa na ubingwa.
Ninavyutaka iwe na si ajabu ikatokea........
Premier
1. Liverpool
2. Man U
3. Arsenal
4. Chelsea
Champions League
Final Asrenal v Chelsea
= Arsenal
FA
Chelsea
Sio mnajimu lakini nina asilimia 90 itatokea
Hivi bado kuna wabishi kukusu bingwa,Benitez na Hidink wameshakata tamaa na mechi za wikiendi hii zitaendelea kudhibitisha bingwa ni na nani kwani Chelsea,ManU na Arsenal wanafikiria nusu fainali ya Champs League
Jamani hivi MBU kakimbilia wapi?
Jamani hivi MBU kakimbilia wapi?
top:
1. Liverpool
2. Manure
3. Chelskum
bottom
1. Hull
2. Shearer
3. Wesbromwich
Kuna rumous kwamba jamaa anataka kupewa U-Moderator wa hilo jukwaaMtafute kwenye jukwaa la mapenzi...
Kuna jamaa anaitwa MBU mbona simuoni huku, ameshakimbia?
Amepuliziwa DAWA, "KAFA"
Jamani hivi MBU kakimbilia wapi?
Mkuu Mbu leo ana Udhuru kafuatili hatma ya Mbegu zake alizopanda Deci.labda kesho kama atakuwa amefanikiwa leo.
Mtafute kwenye jukwaa la mapenzi...
Kuna rumous kwamba jamaa anataka kupewa U-Moderator wa hilo jukwaa
Naskia Wenger hajawahi kumfunga Southgate ngoja tuone leo
Huyo jamaa anaitwa Faustino AsprillaAisee mimi ni mmoja wa mashabiki watakaoumia sana Newcastle ikishuka daraja. Hii timu ni ya EPL. Nakumbuka enzi za akina David Ginola, yule brother aliyekuwa ana kibwenzi (jina nimesahau), na yule mcolombia aliyekua ana footwork (jina nimesahau). Hapo hata kabla Shearer ajarudi nyumbani.
Leo ni do or die gemu. Go Newcastle!!
Newcastle are pathetic...