Premier League 08/09-Nini utabiri wako?

Una maana katika point 21 Man U ataambulia pointi 8 ? basi una msimamo mkali sana

Katika futbal, lolote linaweza kutokea; usihofu sn kwani mnaweza kuchukua nafasi ya pili then liver wakachukua 3rd.
Kwa mtazamo wangu, katika michezo yote duniani MPIRA ndio UNAPENDWA ZAIDI na ndio MCHEZO WENYE MATOKEO YA AJABU ZAIDI
:confused:
 
Wakati huo huo Middles wana mechi moja tu ya kushinda dhidi ya Newcastle.

Sunday, 26 April 2009
Arsenal v Middlesbrough

Saturday, 02 May 2009
Middlesbrough v Man Utd

Monday, 11 May 2009
Newcastle v Middlesbrough

Saturday, 16 May 2009
Middlesbrough v Aston Villa

Game za New castle zilizobaki hizi hapa.........

Monday, 27 April 2009
Newcastle v Portsmouth, 20:00

Sunday, 03 May 2009
Liverpool v Newcastle, 13:30

Monday, 11 May 2009
Newcastle v Middlesbrough, 20:00

Saturday, 16 May 2009
Newcastle v Fulham

Sunday, 24 May 2009
Aston Villa v Newcastle, 16:00

Naamini Boro watapona kwa kuwa wana record nzuri sana kila wanapokutana na vigogo na ukiwalinganisha na Magpie- wao wana kikosi kizuri zaidi, utaona kwamba wote wanatakiwa kucheza na Villa, nadhani matokeo ya hizi timu mbili kwenye hiyo game ndo yatakuwa crucial. Good stuff Nziku.
 
TOP
1. Manchester Utd
2. Liverpool
3. Chelsea

BOTTOM

18. Blackburn Rovers
19. Middlesbrough
20. WBA
 
TOP:
1. Liverpool
2. Manure
3. Chelskum

Bottom
1. Hull
2. Shearer
3. Wesbromwich
 
Hakuna namna ya kuwasaidia Hull.lazima washuke.Newcastle na Middles wanaweza wakabadilishana ila zaidi zaidi kiama kinawadondokea Newcastle.Kuhusu Chelsea kuwa bingwa mtakubaliana na mimi mwisho wa msimu,Man atamaliza nafasi ya tatu,na matokeo ya leo ni kama ifuatavyo
Man utd 1-1 Portsmouth
Chelsea 3-0 Everton.
Na safari ya Man utd Champions league inaishia kwa the gunners.
Ni mtazamo wangu,msipandishe sana jazba mashabiki wa Man utd.mtakubaliana na mimi baaada ya mechi za leo.
 
Najua rafiki yangu Belo anaweza asikubaliane na mtazamo wako; but ktk boli hilo linawezekana :confused:
 
Nani alijua mvua za magoli zingemiminika jana, kila mtu alijua kuwa Asernal wangechinjiliwa mbali. Utabili kwa mechi zilizobzki ni mgumu.
EPL bingwa ni Liver. Chelsea, ManU then Asernal.
ECL Man hana jinsi kwani hakatizi kwa Asernal.
Finali Barca na Arsenal, patamu hapo.
 
Najua rafiki yangu Belo anaweza asikubaliane na mtazamo wako; but ktk boli hilo linawezekana :confused:
Kwa mahesabu kama Chelsea wakichukua ubingwa na ManU kushika nafasi ya 3 na West Bromwich hawatashuka daraja
 
Hakuna namna ya kuwasaidia Hull.lazima washuke.Newcastle na Middles wanaweza wakabadilishana ila zaidi zaidi kiama kinawadondokea Newcastle.Kuhusu Chelsea kuwa bingwa mtakubaliana na mimi mwisho wa msimu,Man atamaliza nafasi ya tatu,na matokeo ya leo ni kama ifuatavyo
Man utd 1-1 Portsmouth
Chelsea 3-0 Everton.
Na safari ya Man utd Champions league inaishia kwa the gunners.
Ni mtazamo wangu,msipandishe sana jazba mashabiki wa Man utd.mtakubaliana na mimi baaada ya mechi za leo.

Dua la mwewe!!!

Man Utd 2-0 Portsmouth
Chelsia 0-0 Eva
 
Kuhusu bingwa mtapiga kelele sana but bingwa ni MAN U

Kwa kweli sasa naona mbio za ubingwa zimeisha rasmi jana,Bello!utabiri wako wa Man utd kuwa bingwa sidhani kama inawezekana miujiza kutokea kubadili ukweli huo,jana timu yetu ya Chelsea ilionekana wachezaji wamechoka sana,kwa sasa tunajiribu kucheza bahati nasibu ambayo mchezeshaji ni Man utd na yeye mwenyewe ni mshiriki,sijui kama inawezekana aamue kumpe ushindi mshiriki mwingine.Tujaribu kujipanga kwenye final FA na CL.
 
Hii thread nadhani inastahili kufungwa kwa sasa hasa yakizingatiwa matokeo ya mechi za jana. Au mnaonaje wadau?
 
Chelsea inabidi muangalie sana hiyo fainali ya FA na Everton ,wana defend na mkienda penati basi mshatoka nafikiri baada ya game 2 huenda tukatangazwa mabingwa
 
Kuna jamaa anaitwa MBU mbona simuoni huku, ameshakimbia?
 
Hii thread nadhani inastahili kufungwa kwa sasa hasa yakizingatiwa matokeo ya mechi za jana. Au mnaonaje wadau?

Mkuu uko sahihi ukiangalia msimamo kwa timu nne za juu ....sasa attention kubwa inabaki kwenye bottom.....nani wataungana na WB (sidhani kama kuna muujiza wa kuifanya isishuke) ili kujiunga championship? Is it Magpies? Mido? Blackburn? Hull? or even Sunderland, Portsmouth na Bolton?
 
Matokeo mpaka ya jana tumeyaona kwa haraka haraka kwa msimamo wa ligi ulivyo inaoneka man atautwaa ubingwa. Lakini mimi na msimamo wangu napenda sana achukue Liverpool sababu Chelsea Guus Mwenye ametoa kauli ya kukata tamaa na ubingwa.
Ninavyutaka iwe na si ajabu ikatokea........

Premier
1. Liverpool
2. Man U
3. Arsenal
4. Chelsea

Champions League
Final Asrenal v Chelsea

= Arsenal

FA

Chelsea

Sio mnajimu lakini nina asilimia 90 itatokea
 
Back
Top Bottom