Premier League 08/09-Nini utabiri wako?

you guys are all out of your minds, i don't say this to be mean but just look at it, liverpool will win the title and Arsenal will finish in the third place
Mkubwa karibu sana JF
 
I agree, wamedraw leo tena na Pompey, Shearer alisema kama wanataka kupona inabidi washinde mechi zao za nyumbani, next sunday they are up against the mighty Liverpool at Anfield!

Na kwa uchezaji wa New Castle ingekua bora waache kupoteza nguvu zao kutafuta kubaki EPL.....wafikirie champioship. Haiitaji utabiri sana kuona kwamba timu mbili lazima zinakaribia kuthibitisha kwamba zinashuka daraja.
 
Utabiri wako ni mzuri na nimeupenda sana!kwanza nisije sahau kukupa pole kwa kichapo cha j'mosi tulichowapa.mimi timu 3 za mwisho hatutofautiani,Ni WBA,Newcastle na Hull city,Middle hatashuka daraja,ila nina utabiri wa kushangaza kidogo:

1 Chelsea 83
2 Liver 82
3 Man utd 79
4 Arsenal 75
Nimejaribu kupredict matokeo ya mechi zilizobaki na huo ndio mtazamo wangu.
18 Newcastle pts 37
19 Hull 36
20 WBA 27
Nasisitiza huo ni mtazamo wangu.

aise ulikosea utabiri kwa Man U sasa wana 80 points na bado kuvuna points toka kwa Arsenal, Hull, Wigan na Man City.
 
Naona Newcastle wamejitahiki kupanda nafasi ya 17 but kazi wanayo next fixtures
Newcastle VS Fulham
Bolton VS Hull
 
Who will join Wolves in promotion to the PL? Utabiri wangu ni Birmingham watachukua automatic promotion iliyobaki na Reading watarudi through play offs wakishinda final yao kati yao na Sheffield United.

Birmingham- YES, Reading- NO but I was almost there, play off final itakuwa kati ya Sheffield United V Burnley ( Unawakumbuka hawa? waliwatoa Arsenal, Chelsea na Fulham kwenye Carling Cup) ambao jana waliibanjua Reading kwenye semi final na kupelekea Steve Copell kubwaga manyanga. Sheffield waliwafunga Preston ambao kwa kweli wanatia huruma, wamejiwekea rekodi ya kucheza play offs nane na hawajawahi kuwa promoted. Nadhani Sheffield watashinda hii game.
 
Utabiri wako ni mzuri na nimeupenda sana!kwanza nisije sahau kukupa pole kwa kichapo cha j'mosi tulichowapa.mimi timu 3 za mwisho hatutofautiani,Ni WBA,Newcastle na Hull city,Middle hatashuka daraja,ila nina utabiri wa kushangaza kidogo:

1 Chelsea 83
2 Liver 82
3 Man utd 79
4 Arsenal 75

Nasisitiza huo ni mtazamo wangu.


Kwa kweli sasa naona mbio za ubingwa zimeisha rasmi jana,Bello!utabiri wako wa Man utd kuwa bingwa sidhani kama inawezekana miujiza kutokea kubadili ukweli huo,jana timu yetu ya Chelsea ilionekana wachezaji wamechoka sana,kwa sasa tunajiribu kucheza bahati nasibu ambayo mchezeshaji ni Man utd na yeye mwenyewe ni mshiriki,sijui kama inawezekana aamue kumpe ushindi mshiriki mwingine.Tujaribu kujipanga kwenye final FA na CL.

Hivi jamani nani anajua aliko huyu muungwana? Maana sijamsikia tena asije naye akawa amejitundika maana utabiri wake hakutimia ata kidogo.
 
Newcatle wanastahili kushuka ,washapigwa bao moja na kiungo wao Sebastian Basong kapewa kadi nyekundu Hull City wao droo 1-1 game inaendelea
 
Last edited:
Mkuu Belo bado mechi za mwisho zitakuwa na umuhimu sana. Kwa mfano Newcastle wakishinda ugenini kwa Aston Villa watakuwa na point 37. Miujiza ikitokea na Hull wakaifunga Man United 38. Na, endapo Sunderland watafungwa na Chelsea (which is a must) na kama watakuwa wamefungwa na Portsmouth Jumatatu basi watabaki na 36. Hivyo watashuka daraja WBA, Middlesbrough na Sunderland. Vinginevyo Sunderland anaweza kupona (hasa akishinda Jumatatu) basi yeyote kati ya Hull na Newcastle atajiunga na WBA na Midos.
 
Bingwa Man Utd.

Nashukuru ujumbe wangu ulitimia maana walishaanza kuongea baada ya kuona tunajiamini wakaanza kuongelea issue ya relegation, anyway its good hopefully Newcastle wanakwenda na maji maana wamekalia kuti kavu ingawa ningefurahia Boro wakishuka
 
Chini napo kumezidi kunoga baada ya leo Sunderland kubanjuliwa 3-1 na Pompey, hao wanaungana na Boro, Newcastle na Hull kutoa timu mbili zitakazoshuka. Sidhani kama Newcastle ana jeuri ya kwenda Villa Park ashinde, Boro hatakuwa na ubavu wa kumpiga Hammer at least goli nne, Hull ana uwezo wa kushinda game ya Man U kwa kuwa its so obvious Fergie atapumzisha bunduki zake na kinaweza kuwatokea kilichowapata Barca wikiendi hii, Sunderland atafungwa na Chelsea lakini hatashuka. Newcastle and Boro down!
 
Upo sawa kabisa katika utabiiri wako hapo juu nami naiona picha kama hiyo..yaani namsikitikia sana manager allan kwa kibarua kigumu alichokuwa nacho mbele ya safari kwenye division one, mechi iliyopita ilitakiwa washinde pale nyumbani wakashindwa, hapo wakawa wamejitengenezea Jeneza lao la kurest in peace... watakuwa na kazi ngumu kurudi kwenye PL kama wenzao wakina Leeds United
 
As it stands now, Boro, West brom and and NewyC going down....

Sunderland are 3-1 down to chelskum; Hull is 1-0 down, Boro is 2-1 down at westham


Newcy needs just a draw as it stands na zimebaki ten mins or so
 
As it stands now, Boro, West brom and and NewyC going down....

Sunderland are 3-1 down to chelskum; Hull is 1-0 down, Boro is 2-1 down at westham


Newcy needs just a draw as it stands na zimebaki ten mins or so

Confirmed!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Boro and Newcastle are relegated

Owen Dissed LIverpool for relegation!!! Knunk..knunk huhuuuuuuuuuuuu

No shed no tears for Shearer... he thought he was a superman!!!!
 
Ngoja nitoe utabiri wangu
  1. Man U
  2. Liverpool
  3. Chelsea
  4. Arsenal
  5. Everton
  6. Aston Villa
  7. Spurs
  8. West Ham
  9. Fulham
  10. Man City
Nafasi ya 2 na 3 Chelsea na Liverpool wanaweza badilishanaTimu zitakazoshuka
Middlesbrough
Newcastle
West Bromwich Albion
Msimamo baada ya ligi kwisha
  1. Man U
  2. Liverpool
  3. Chelsea
  4. Arsenal
  5. Everton
  6. Aston Villa
  7. Fulham
  8. Spurs
  9. West Ham
  10. Man City
CHAMPIONS-Manchester United
TOP SCORER-Nicholas Anelka
GOLDEN GLOVES-Edwin Van De Sar
 
I think Newcastle will be another TOO GOOD but WENT DOWN team, the likes of Leeds United enzi za kina Alan Smith na West Ham enzi za kina Joe Cole. Wataungana na West Brom na Middo's.

NB;Bingwa Kuntankinte ameshawasilisha hapo juu.

I got it right uhh?

BTW; Newcastle, they mess up things themselves, how did they dare chase Big Sam bomba ya kocha yule, inhali timu ilikuwa at the 10th position?, halafu nasikia Shearer ndio aliye piga jungu pale jamaa akatimuliwa, leo hii yamemkuta!..Lol!, kweli every thing which goes around comes around!
 
Back
Top Bottom